Mahakama Kuu Zanzibar yaamuru Cryprian Musiba kumlipa Fatma Karume Tzs 7.5 bilioni

Ndio maana nikasema, kama kosa limefanywa na Mtanzania huku Tanzania au mfano Kenya au nchi nyingine yeyote ile, hukumu ikatolewa na nchi hizo na mshtakiwa akiwa Tanzania basi wadai wataisajili katika mahakama za Tanzania ili iweze kuwa enforced ( kama hii ni kesi ya kibiashara) kinyume na hapo kuna extradition , pia wanaweza kumpata Musiba kwa style hiyo, hivyo jambo la kwamba maamuzi ya mahakama za Zanzibar hazina nguvu huku bara, hilo halipo... ni jambo la enforcement tu na attachment of earnings order toka bara au Zanzibar - kwenda kwa Musiba ili kulipa deni kwa amri ya mahakama toka Zanzibar / Bara (nchi) ambapo hukumu yake imesajiliwa bara pia Zanzibar... mfano ni ile kesi ya madai ya mkulima wa south africa na ndege zetu... kesi za madai haziishi na interest zitaendelea kuongezeka tu siku hadi siku.. Dawa ya Deni ni kulipa hadi kulimaliza au mpaka kifo
Sasa kwa nini hakufungua madai Tza bara!
Anajua anachofikilia au kutarajia kisinge wezekana.. Sasa twende upande wa Mdaiwa:Hato lipa hizo pesa aidha anazo au hana..
Itaangaliwa wakati kesi imefunguliwa hadi hukumu kama mdaiwa ushiliki wake ulikuaje ili Tza bara waipokee hukumu/Ikitokea imepokelewa Mdaiwa ikamlazimu kulipa ana hiyari kubwa ya mazungumzo alipe vipi.

-Tukumbuke uwezo wa malipo ni kwa mdaiwa hata atalipa Tsh 250 kila mwezi sawa tuu huo ndio uwezo wake!
Vinginevyo watalaam wa miamala ya kisheria wakae chini...

History ya madai dizaini hii ni kuisumbua mahakama tuu.. Hakuna malipo hapo, Keep your eyes open...
Ikitokea mdaiwa kaenda jela, mdaiwa itabidi amuhudumie kipindi chote yupo jela! Up to her..
 
Screenshot_20210812-144558~3.png
 
Kupitia ukurasa wake wa Twitter Wakili msomi, Fatma Karume aka Shangazi, ameandika hivi;

Hamjambo? Mnaomjua Cyprian Musiba mwambieni Mahakama Kuu ya Zanzibar, ndio pale VUGA, yametoa HUKUMU leo. Yamesema ni yeye na GAZETI lake wameandika UONGO dhidi yangu.
Sasa anatafute 7.5 billion za kunilipa!. Namshukuru sana Advocate Wangu!.


Billion 7.5 ilihali sponsor ameshakufa na kwa upande mwingine biashara zake zimemuendea kombo hadi kushindwa kuwalipa Wafanyakazi mbona atajua hajui!.

Watu wa karibu wa Musiba mnaweza kumpa hizi habari maana ni kitambo hatujamuona huko Twitter republican huyo aliyekuwa "Mwanaharakati huru" wa kumtetea hayati Magufuli.
Mbona huyo Wakili Fatma Karume kaandika kishambenga sana, halafu kaniboa kumhusisha Jiwe Magufuli kwenye hilo bandiko lake
 
Back
Top Bottom