Musiba VS Fatma Karume; Yanayojiri Mahakamani Vuga Zanzibar

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,761
71,145
Leo ndio Leo.

Matambo, nyodo, ubabe na utegemezi wa kinga ndio yataonekana katika mahakama kuu ya Vuga huko Zanzibar katika kesi ya Musiba (anayejiita mwanaharakati huru) na Fatma Karume mwanasheria maarufu kama Shangazi.
Walio Zanzibar wasiache kuliweka jamvi letu kuwa live kwa kutupia za hapa na pale kwa kinachoendelea huko.

Ila la kwanza kujiuliza, je Musiba atahudhuria kesi "nchi jirani?"
 
Leo ndio Leo. Matambo, nyodo, ubabe na utegemezi wa kinga ndio yataonekana katika mahakama kuu ya Vuga huko Zanzibar katika kesi ya Musiba (anayejiita mwanaharakati huru) na Fatma Karume mwanasheria maarufu kama Shangazi.
Walio Zanzibar wasiache kuliweka jamvi letu kuwa live kwa kutupia za hapa na pale kwa kinachoendelea huko.
Ila LA kwanza kujiuliza, jee Musiba atahudhuria kesi "nchi jirani?"
Vipi kuhusu ulinzi wake? Wale wasomali wa Prado iliyonunuliwa pale Victoria wameondoka na Kinana?
 
Najaribu kujiuliza wakili atakaye muwakilisha Musiba ni wa aina gani? Na kutokea bara au zenji?
Hakuna watu wanafiki kama wanasheria wanajua umeua na mashahidi wameshuhudia lakini wanavuta mkwanja na anakwambia kesi ndogo hiii, unashinda. Mfano ni apo Kenya. Kesi ya Tob Cohen na yule mke wake. Yule wakili anajigamba unashinda bila Aibu
 
Back
Top Bottom