Mjini mipango,na mjini ukiona umepotea kwenye ramani unatafuta pa kutokea..Mwanasiasa Mbatia lengo lake limetimia.
Alijua tokavmwanzo hawezi shinda, ila jina lake limetajwa saba na vyombo vya habari na litakuwa kwenye kumbukumbu za mahakama!
Kapata kiki
Matusi ndiyo kipimo cha mtu aliyeshindwa hoja. Pole sana. Rudi shuleMpumbavu!
Mjinga wewe!Matusi ndiyo kipimo cha mtu aliyeshindwa hoja. Pole sana. Rudi shule
Hii barua itakuwa imechongwa usiku wa mananeHata mimi nimeishangaa hii barua. Au walibadili gia angani ili kunlfunika kombe mwanaharam apite?
Katibu wa bunge alipohojiwa alisema yeye hajaandikiwa barua bali amepata nakala ya barua ya spika kwenda kwa katibu mkuu wa chama chake kwa ajili ya kujiengua katika nafasi hiyo.
Hajapoteza muda anasaidia juhudi za kuwafumbua macho waTz kuwa hapa kwetu mhimili ni mmoja tuMbatia alikuwa anapoteza muda
Hajapoteza muda anasaidia juhudi za kuwafumbua macho waTz kuwa hapa kwetu mhimili ni mmoja tuMbatia alikuwa anapoteza muda
Ameamua Kuandika barua upya kurekebisha makosa mawili. Moja kuandika barua yote kwa herufi kubwa, na Pili kumwandikia barua ya kujiuzulu Katibu wa Bunge badala ya Katibu Mkuu wa CCM kama alivyofanya mwanzo.
Leo tarehe 28.01.2022 Mahakama Kuu ya Tanzania chini ya majaji watatu wakiongozwa na Jaji Mgeta, imetupilia mbali kesi ya kikatiba Na 2 ya 2022 iliyofunguliwa na Mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi, Francis Mbatia dhidi ya aliyekuwa Spika wa bunge, Job Ndugai.
Mahakama imeeleza kuwa kesi hiyo haina mashiko kwa kuwa hakuna ukiukwaji wa Katiba uliofanywa. Mahakama imetambua barua iliyotolewa mahakamani na Wakili mkuu wa Serikali kuonesha kuwa Ndugai aliandika barua ya kujiuzulu kwenda kwa Katibu wa Bunge na nakala kwa Katibu Mkuu wa CCM ni halali na hivyo alifuata taratibu zote.
Nakala ya barua iliyotambuliwa na Mahakama ni hii hapa.
Pia soma
- James Mbatia amkingia kifua Spika Ndugai, kwenda mahakamani kuzuia mchakato wa kutafuta Spika mpya (07/01/2022)
- Ndugai amefuata utaratibu wa kujiuzulu Uspika kwa mujibu wa Katiba. Mbatia hayupo sahihi na kesi yake haina mashiko (08/01/2022)
- Kutoka Mahakama Kuu: Kesi ya James Mbatia kupinga mchakato wa Job Ndugai kujiuzulu Uspika (27/01/2022)
Nafikiri una kitu cha kujifunza zaidi! Soma hizi nakala then rudi tena utuambue ilikuwa sawa? Hii barua imendikwa tu katikati hapa baada ya kuona wataumbuka ila barua aliandikiwa katibu wa CCM na sio Katibu wa Bunge na mpaka Katibu wa Bunge alitoka kueleza kuwa anasubiri Katibu Mkuu wa Chama amjulishe ndo atasema kitu na barua zipo! Na ndiyo maana ata wameamua kufuta kwenye website zao za bunge na page social mediaView attachment 2098606Mbatia ana haki kikatiba kufanya alichofanya, ila angesoma vizuri ibara ya 149 (1-2) asingesumbuka. Kinachotajwa ni taarifa kwa mtu au kikao husika, na hakuna palipokatazwa nakala. Aidha, shauri lake halina tija kabisa kisiasa. Tukomae kudai katiba mpya na bora, basi!
Inavunja katiba, lakini hiyo mihimili ya Bunge na Mahakama ilikwijisalimisha miguuni mwa serikali na kujiua. Ni ya wasaka tonge.Vipi kuhusu rais kushinikiza spika kujiuzulu na kuondoa dhana nzima ya uhuru na kujitegemea kwa mihimili kwa minajili ya kuleta checks and balance, hii yenyewe haijavunja katiba...
Kabisa!Wastage of time n resources