Mahakama Kuu yatupilia mbali kesi ya kupinga Ndugai kujiuzulu Uspika. Yasema hakuna ukiukwaji wa Katiba uliofanywa

Leo tarehe 28.01.2022 Mahakama Kuu ya Tanzania chini ya majaji watatu wakiongozwa na Jaji Mgeta, imetupilia mbali kesi ya kikatiba Na 2 ya 2022 iliyofunguliwa na Mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi, Francis Mbatia dhidi ya aliyekuwa Spika wa bunge, Job Ndugai...
Ndiyo mjue kuwa hapa hakuna mahakama ni matawi ya CCM
 
Kilichotokea sasa ni kuwa bunge limefuta taarifa zote kwa umma zilizokuwa katika tovuti yake parliament.go.tz zikionesha taarifa ya umma kutoka kwa Ndugai na taarifa kwa umma kutoka kwa Katibu wa Bunge zote zikionesha kuwa kilichowasilishwa bungeni ni nakala. Kwa sasa tovuti ya bunge ina barua ya kuwaita wabunge tu ila zile taarifa kwa umma wamezifuta. Pia kwenye ukurasa wao wa twitter wamefuta tweets hizo zilizokua na taarifa kwa umma.🤣🤣
Ndiyo ujue kuna maigizo tupu
 
Tulimwambia Mbatia akatuona hatufai, Hakuna kesi ya kikatiba ambayo ilishawahi kupenya - Angechungulia kesi zote za kikatiba za Maheremu Mtikila kama zilishawahi kupenya.

CCM ishachagua Spika tayari afu eti mtu agomeshe Jobo kuachia ngazi wakati kashasema ati nchi itapigwa mnada - hiiiii.
CCM ipo juu ya mamlaka zote
 
Kilichotokea sasa ni kuwa bunge limefuta taarifa zote kwa umma zilizokuwa katika tovuti yake parliament.go.tz zikionesha taarifa ya umma kutoka kwa Ndugai na taarifa kwa umma kutoka kwa Katibu wa Bunge zote zikionesha kuwa kilichowasilishwa bungeni ni nakala. Kwa sasa tovuti ya bunge ina barua ya kuwaita wabunge tu ila zile taarifa kwa umma wamezifuta. Pia kwenye ukurasa wao wa twitter wamefuta tweets hizo zilizokua na taarifa kwa umma.🤣🤣
Nchi hii inahitaji maombezi maalum!
 
Huyu Mbatia hafai kuwa mwenyekiti wa NCCR kwa sababu anatumia vibaya cheo chake na pia anafuja fedha ya chama kwa kufanya maamuzi yasiyo na manufaa kwa chama.
 
Kilichotokea sasa ni kuwa bunge limefuta taarifa zote kwa umma zilizokuwa katika tovuti yake parliament.go.tz zikionesha taarifa ya umma kutoka kwa Ndugai na taarifa kwa umma kutoka kwa Katibu wa Bunge zote zikionesha kuwa kilichowasilishwa bungeni ni nakala. Kwa sasa tovuti ya bunge ina barua ya kuwaita wabunge tu ila zile taarifa kwa umma wamezifuta. Pia kwenye ukurasa wao wa twitter wamefuta tweets hizo zilizokua na taarifa kwa umma.🤣🤣
Katibu wa Bunge amewekwa mfukoni hastahili nafasi hiyo!
 
Uzembe wako wa kutofuatilia story usituambukize!
Kama ni habari za story tu za mtaani sawa. Hizo tunazijua. Uliposema uliona barua ndiyo nikaona mwenzetu ulienda mbali umeona na barua hiyo kwa macho yako! Kumbe nawe ni mwenzangu tu wa story. Next time try to remain precisely on what you have seen.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Tulimwambia Mbatia akatuona hatufai, Hakuna kesi ya kikatiba ambayo ilishawahi kupenya - Angechungulia kesi zote za kikatiba za Maheremu Mtikila kama zilishawahi kupenya.

CCM ishachagua Spika tayari afu eti mtu agomeshe Jobo kuachia ngazi wakati kashasema ati nchi itapigwa mnada - hiiiii.

Kwa hiyo unafikiri Mbatia hakulijua hilo kabla ? Ishu hapa siyo kukataliwa bali ni hatua, na hatua tumepiga kuelekea uelekeo sahihi, imesaidia watu hata kujishughulisha na Katiba yetu inavyokanyagwa, kuna mtu ambaye alikuwa hana uelewa wowote kapata kitu.

Mapambano yanaendelea, …
 
Tweet zilizofutwa ni hizi. Unaweza kuziona kwa kubonyeza hapa https://t.co/GGmi8FeuUq

Screenshot_20220128-125335_Chrome.jpg

Screenshot_20220128-125346_Chrome.jpg
 
Leo tarehe 28.01.2022 Mahakama Kuu ya Tanzania chini ya majaji watatu wakiongozwa na Jaji Mgeta, imetupilia mbali kesi ya kikatiba Na 2 ya 2022 iliyofunguliwa na Mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi, Francis Mbatia dhidi ya aliyekuwa Spika wa bunge, Job Ndugai...
Yanii hii kesi naiona nyepesi sana ata kama hujui sheria ila hapa majaji wamechemka vibaya mno! Akate rufaa tu labda
 
Mbatia hakua akimkingia kifua Job alichofanya ni kuhakikisha ya Ibrahim hayajirudii.
 
Hata mimi nimeishangaa hii barua. Au walibadili gia angani ili kunlfunika kombe mwanaharam apite?

Katibu wa bunge alipohojiwa alisema yeye hajaandikiwa barua bali amepata nakala ya barua ya spika kwenda kwa katibu mkuu wa chama chake kwa ajili ya kujiengua katika nafasi hiyo.

Wame tengeneza barua halisi inayokidhi matakwa ya katiba kuepuka kudhalilika

Maana katiba ipo wazi kabisa.
 
Back
Top Bottom