Bondpost
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 6,594
- 9,338
Kaka usiseme kesi za mtikila hazikuwahi kupenya, amesaidia sana mabadiliko ya sheria nyingi sana nchini kwa mfano sheria ya kuweka watu kizuizini,sheria ya kuzuia mikutano ya kisiasa nk sheria nyingi sana.Tulimwambia Mbatia akatuona hatufai, Hakuna kesi ya kikatiba ambayo ilishawahi kupenya - Angechungulia kesi zote za kikatiba za Maheremu Mtikila kama zilishawahi kupenya...
Tuulize sisi wanasheria na ndio maana yeye ni mtu pekee aliyetunukiwa shahada ya Sheria ya heshima na TLS only him na wanasheria tuliona ni sawa kabisa jamaa was a true hero.