Mahakama Kuu yatupilia mbali kesi ya kupinga Ndugai kujiuzulu Uspika. Yasema hakuna ukiukwaji wa Katiba uliofanywa

Nafikiri una kitu cha kujifunza zaidi! Soma hizi nakala then rudi tena utuambue ilikuwa sawa? Hii barua imendikwa tu katikati hapa baada ya kuona wataumbuka ila barua aliandikiwa katibu wa CCM na sio Katibu wa Bunge na mpaka Katibu wa Bunge alitoka kueleza kuwa anasubiri Katibu Mkuu wa Chama amjulishe ndo atasema kitu na barua zipo! Na ndiyo maana ata wameamua kufuta kwenye website zao za bunge na page social mediaView attachment 2098606View attachment 2098608View attachment 2098609
Vyovyote vile, kuna tija gani ya Ndugai kubaki spika? Tunataka katiba mpya na bora, siyo hii mbovu!
 
Ile haikuwa barua bali TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Sawa, lakini pia katibu wa Bunge alikiri kupokea nakala ya barua aliyoandikiwa katibu mkuu wa CCM na Ndugai. Aidha katibu mkuu wa CCM alimwandikia barua katibu wa Bunge kuhusu kujiuzulu kwa Ndugai!

Huoni kuwa kuna barua ya kificho iliyoandikwa na Ndugai kwenda kwa katibu wa Bunge baada ya kesi kufunguliwa.
 
Nafikiri barua halisi umeiona. Tujadili ishu zingine
 
Sawa, lakini pia katibu wa Bunge alikiri kupokea nakala ya barua aliyoandikiwa katibu mkuu wa CCM na Ndugai. Aidha katibu mkuu wa CCM alimwandikia barua katibu wa Bunge kuhusu kujiuzulu kwa Ndugai!

Huoni kuwa kuna barua ya kificho iliyoandikwa na Ndugai kwenda kwa katibu wa Bunge baada ya kesi kufunguliwa.

Unaijua unaisikia?
 
Kama kuna barua nyingine, iweke hapa na sisi tuione. Tuliyoona wengine (na pengine wewe pia) ni Press Release, sio barua!
Sina sababu ya kuiweka hapa wakati katibu wa Bunge alikiri kupokea nakala ya barua aliyoandikiwa katibu mkuu wa CCM na pia barua kutoka kwa katibu mkuu wa CCM.
 
Kilichotokea sasa ni kuwa bunge limefuta taarifa zote kwa umma zilizokuwa katika tovuti yake parliament.go.tz zikionesha taarifa ya umma kutoka kwa Ndugai na taarifa kwa umma kutoka kwa Katibu wa Bunge zote zikionesha kuwa kilichowasilishwa bungeni ni nakala. Kwa sasa tovuti ya bunge ina barua ya kuwaita wabunge tu ila zile taarifa kwa umma wamezifuta. Pia kwenye ukurasa wao wa twitter wamefuta tweets hizo zilizokua na taarifa kwa umma.๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Bunge butu kabisa. Kilichotokea ni โ€œcoupโ€ Bungeni
 
Back
Top Bottom