tamuuuuu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 22,769
- 31,249
zesh nakupendaNimejiuliza kama wewe sijapata jibu
zesh nakupendaNimejiuliza kama wewe sijapata jibu
Hii sasa kaiona kama nchi yake yani hafikirii mtu mwingine kuongoza yeye akiwa hai.
Unajua anaweza kujuta ni kwa nini alisema hayo maneno.Kumbe siku hizi sio kama Zamani kumbukumbu zilikuwa zinapoteaga.Lakini siku hizi mzee Choma hata macoputer yako, jamaa wanazishusha tu.Vinginevyo angesema hajasema.Alisha wahi kusema muda wake wakuondoka ukifika, hatachelewa hata SAA moja.
Nakupenda piazesh nakupenda
Na steringi wetu ni komando kipensi...... Mbona tutasaga meno......Picha linaanzaa sasa
Alisha wahi kusema muda wake wakuondoka ukifika, hatachelewa hata SAA moja.
AaamiiinEe Mungu shusha mkono,mchukue mja wako sasa!
Kama CCM kiliweza Kumteua Yeye kuwa ' Flag Bearer ' wake na sasa anafanya hayo mambo makubwa na mazuri basi ni CCM hiyo hiyo tena itampata ' Flag Bearer ' mwingine na huenda akawa ni Mchapakazi, Mtu mzuri na Kipenzi cha Watanzania wengi kama siyo wote kuliko hata Yeye, hivyo nae ataweza Kuifanya Tanzania yetu hii mambo makubwa na ya Kimaendeleo. Alianza Hayati Mwalimu, akaja Mzee Mwinyi, akafuata Mzee Mkapa, halafu Mzee Kikwete na sasa Yeye na atakuja mwingine tena. CCM haikaukiwi Watu wazuri na haina rekodi ya Kukosea katika Kuteuwa Wagombea wake.
Tukiacha ushabiki wa vyama kusema ule ukweli JPM amejitahidi sana katika kuweka mambo sawa, kaifanya Tanzania kuwa nchi ya watanzania wote na sio mali ya kikundi fulani kama ilivyokua imezoeleka, ni kiongozi mwenye maono , yale ayafanyayo leo impact yake itakuja kuonekana miaka ijayo.
Tulia mama.Na hii inakufanya wewe usiwe mwenyekiti wa wapumbavu?
Afanye yote lakini aache kuguza miili na roho yetu, kwani sisi hatupendi kuishi kama yeye na mademu zake?Kuingoza nchi na kuiletea maendeleo kama ilivyo sasa kutokana na kazi hiyo kuwa ngumu na kuhutaji viongozi kujitoa kwa moyo katika kufanikisha hilo.
Ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Agosti 1, alipokuwa akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa jengo la tatu la abiria katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), jijini Dar es Salaam ambapo amesema kuwa Tanzania sasa imekuwa mfano wa kuigwa na nchi nyingine.
“Mara nyingi tumeambiwa kuwa Tanzania ni masikini, ninaomba neno hilo tulifute kwani nchi yetu ni tajiri lakini tulitaka kuaminishwa na watu waliotaka kututumia, kuna miradi imetumia matrilioni ya fedha saa nyingine ninajiuliza kweli hili limewezekana, tumeweza maana yake kila palipo na nia Mungu yupo pamoja na sisi,” amesema.
“Siwezi nikasimama mbele za watu nikasema haya ni kwasababu yangu kwani mimi ni dereva tu lakini pia huwa ninajiuliza ikitokea siku Mungu akanichukua hao watakaokuja watayamaliza kweli kwasababu panahitaji moyo, unafanya hivi huku unatukanwa lakini inabidi ufanye kwaajili ya Watanzania, inahitaji kujitoa sadaka ya kweli,” amesema.
“Ninamshukuru Mungu kwa kuendelea kulisimamia taifa hili na ninawashukuru Watanzania wenzangu kwa kuendelea kuniombea na kunipa moyo, nchi yetu sasa imekuwa ya mfano watu wanatuogopa sasa, wapo wanaouliza mnapata wapi fedha mimi ninasema zilikuwa kwa mafisadi sasa zinaenda kwa Watanzania,” amesema.