Hahahh. Kweli muheshimiwa hakukosea aliposema unafanya mazuri huku unatukanwaKafanya kipi cha maana kwanza tuanzie hapo
Hahahh. Kweli muheshimiwa hakukosea aliposema unafanya mazuri huku unatukanwaKafanya kipi cha maana kwanza tuanzie hapo
upo nje ya tanzania mkuu
Naona mkulu kuondoka itaweza kuwa ni mtihaniKwahiyo hataki kuondoka?
Ni vizuri ungesoma ni kwa nini China aliikopesha USA,sio kwamba USA alikuwa na shida ya hela mpaka akopeshwe na China na sio kwamba China amemkopesha USA kwa kupenda la hasha ni sababu ya sheria za kiuchumi.Bora deni likue tu lakini tunaona miradi kama hiyo, kwani hakuna nchi isiyodaiwa waulize USA wana deni kiasi gani kwa wachina.
Ninaomba mungu iwe hivyo. Akae sana tupate maendeleo. Hii ndivyo ilikuwa kwa Singapore ilipo mpata kiongozi wake aliyewaletea maendeleo. Alikaa zaidi ya miaka 10. Malaysia vile vile. Nyie mnafuata hao wazungu wanaofadika tukiendelea kuwa masikini. Wanaohusudu na kushangilia viongozi wetu (wa kiAfrica) wakiwa mafisadi. Hao wanawasifia sana na kuwalinda! Hawaandiki mabaya yao kwenye magazeti yao. Tumeisha mpata mkombozi kwanini tumutake afuate miHii sasa kaiona kama nchi yake yani hafikirii mtu mwingine kuongoza yeye akiwa hai.
Ninaomba mungu iwe hivyo. Akae sana tupate maendeleo. Hii ndivyo ilikuwa kwa Singapore ilipo mpata kiongozi wake aliyewaletea maendeleo. Alikaa zaidi ya miaka 10. Malaysia vile vile. Nyie mnafuata hao wazungu wanaofaidika tukiendelea kuwa masikini. Wanaohusudu na kushangilia viongozi wetu (wa kiAfrica) wakiwa mafisadi. Hao wanawasifia sana na kuwalinda! Hawaandiki mabaya yao kwenye magazeti yao. Tumeisha mpata mkombozi kwanini tumutake afuate mihula miwili? We are shooting ourselves in the feet.Hii sasa kaiona kama nchi yake yani hafikirii mtu mwingine kuongoza yeye akiwa hai.
Ninaomba mungu iwe hivyo. Akae sana tupate maendeleo. Hii ndivyo ilikuwa kwa Singapore ilipo mpata kiongozi wake aliyewaletea maendeleo. Alikaa zaidi ya miaka 10. Malaysia vile vile. Nyie mnafuata hao wazungu wanaofaidika tukiendelea kuwa masikini. Wanaohusudu na kushangilia viongozi wetu (wa kiAfrica) wakiwa mafisadi. Hao wanawasifia sana na kuwalinda! Hawaandiki mabaya yao kwenye magazeti yao. Tumeisha mpata mkombozi kwanini tumutake afuate mihula miwili? We are shooting ourselves in the feet.
Tena anasema "Mungu akinichukua" hii kauli inaonyesha jamaa hana mpango wa kuachia madaraka hadi afe, kwa nini asingesema "nikimaliza kipindi changu?"
Hata hivyo jiwe must go. Twende na membe
Nkurunzinza huyu mshamba yaani watu 50m+ akosekane wa kumzidi?Alisha wahi kusema muda wake wakuondoka ukifika, hatachelewa hata SAA moja.
Hahahh. Kweli muheshimiwa hakukosea aliposema unafanya mazuri huku unatukanwa
Aha,aha,ahaKafanya kipi cha maana kwanza tuanzie hapo