Magufuli: Nikiondoka watakaokuja wataweza?

Magufuli: Nikiondoka watakaokuja wataweza?

Awamu ya nne na ya tano maraisi walihama na wizara zao ikulu.Kikwete alikuwa waziri wa mambo ya nchi za nje kabla ya kuwa Raisi .Aliipenda Sana ile kazi ya uwaziri wa mambo ya nchi za nje aliposhika uraisi alikuwa akisafiri Sana kwa mambo ya nchi za nje.Raisi Magufuli alipokuwa waziri wa ujenzi aliipenda Sana hiyo wizara na aliposhika uraisi anafanya kazi zaidi ya wizara ya ujenzi na miundombinu Yake aliyokuwa akiipenda Sana akiwa waziri wa ujenzi.Wakati wa Kikwete waziri wa mambo ya nchi za nje alifunikwa na Kikwete wakati huu waziri wa ujenzi kafunikwa na Magufuli.
we ni poyoyo
 
Kama kanapitia hizi komenti za wadau.katakuwa kanajuta kutapika utumbo hadharani!
 
Ninaomba mungu iwe hivyo. Akae sana tupate maendeleo. Hii ndivyo ilikuwa kwa Singapore ilipo mpata kiongozi wake aliyewaletea maendeleo. Alikaa zaidi ya miaka 10. Malaysia vile vile. Nyie mnafuata hao wazungu wanaofadika tukiendelea kuwa masikini. Wanaohusudu na kushangilia viongozi wetu (wa kiAfrica) wakiwa mafisadi. Hao wanawasifia sana na kuwalinda! Hawaandiki mabaya yao kwenye magazeti yao. Tumeisha mpata mkombozi kwanini tumutake afuate mi
Unaonaje ukimlinganisha Magufuli na viongozi wenye akili sawa na yeye?!

1. Museven anakaribia miaka 40 sasa, ameleta maendeleo gani Uganda?

2. Kagame anakaribia miaka 20 sasa madarakani; ameleta maendeleo gani Uganda?

3. Mugabe amekaa madarakani kwa karibu miaka 40, ameacha maendeleo gani Zimbabwe?

4. Omar Al-Bashir amekaa Sudani kwa miaka 30; ameacha maendeleo gani ya maana pale Sudan?
 
Kuna mzee mmoja hajawahi kupiga kura ula aliposikia ni JP alijiandikisha na kumpigia kura, amepita na mambo ni hayoooo!! Kila la heri JP, endelea kupambana na mafisadi tupo nyuma yako . Uzalendo ni kazi!!!!
 
Awamu ya nne na ya tano maraisi walihama na wizara zao ikulu.Kikwete alikuwa waziri wa mambo ya nchi za nje kabla ya kuwa Raisi .Aliipenda Sana ile kazi ya uwaziri wa mambo ya nchi za nje aliposhika uraisi alikuwa akisafiri Sana kwa mambo ya nchi za nje.Raisi Magufuli alipokuwa waziri wa ujenzi aliipenda Sana hiyo wizara na aliposhika uraisi anafanya kazi zaidi ya wizara ya ujenzi na miundombinu Yake aliyokuwa akiipenda Sana akiwa waziri wa ujenzi.Wakati wa Kikwete waziri wa mambo ya nchi za nje alifunikwa na Kikwete wakati huu waziri wa ujenzi kafunikwa na Magufuli.

You are absolutely right!
 
Miradi mingi inayotekelezwa Sasa ilikuwa planned miaka mingi iliyopita. Kwa hiyo anayofanya sasa Kuna watu waliyaanzisha lakini hawakuweza kuyakamilisha kwa sababu muda wao uliisha wakaondoka madarakani, Hivyo Basi yeye siyo special sana kiasi kwamba watanzania walio baki hawana uwezo wa kuongoza isipokuwa yeye tu. Kwenye hili hata tunaomuunga mkono tutamkataa.
Kwa jeuri ipi sasa !! WaTz wanyonge sana
 
Ninaomba mungu iwe hivyo. Akae sana tupate maendeleo. Hii ndivyo ilikuwa kwa Singapore ilipo mpata kiongozi wake aliyewaletea maendeleo. Alikaa zaidi ya miaka 10. Malaysia vile vile. Nyie mnafuata hao wazungu wanaofaidika tukiendelea kuwa masikini. Wanaohusudu na kushangilia viongozi wetu (wa kiAfrica) wakiwa mafisadi. Hao wanawasifia sana na kuwalinda! Hawaandiki mabaya yao kwenye magazeti yao. Tumeisha mpata mkombozi kwanini tumutake afuate mihula miwili? We are shooting ourselves in the feet.
Kwa hiyo nchi zote zilizopata maendeleo viongozi wake waling'ang'ania madarakani?
 
Kuingoza nchi na kuiletea maendeleo kama ilivyo sasa kutokana na kazi hiyo kuwa ngumu na kuhutaji viongozi kujitoa kwa moyo katika kufanikisha hilo.

Ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Agosti 1, alipokuwa akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa jengo la tatu la abiria katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), jijini Dar es Salaam ambapo amesema kuwa Tanzania sasa imekuwa mfano wa kuigwa na nchi nyingine.

“Mara nyingi tumeambiwa kuwa Tanzania ni masikini, ninaomba neno hilo tulifute kwani nchi yetu ni tajiri lakini tulitaka kuaminishwa na watu waliotaka kututumia, kuna miradi imetumia matrilioni ya fedha saa nyingine ninajiuliza kweli hili limewezekana, tumeweza maana yake kila palipo na nia Mungu yupo pamoja na sisi,” amesema.

“Siwezi nikasimama mbele za watu nikasema haya ni kwasababu yangu kwani mimi ni dereva tu lakini pia huwa ninajiuliza ikitokea siku Mungu akanichukua hao watakaokuja watayamaliza kweli kwasababu panahitaji moyo, unafanya hivi huku unatukanwa lakini inabidi ufanye kwaajili ya Watanzania, inahitaji kujitoa sadaka ya kweli,” amesema.

“Ninamshukuru Mungu kwa kuendelea kulisimamia taifa hili na ninawashukuru Watanzania wenzangu kwa kuendelea kuniombea na kunipa moyo, nchi yetu sasa imekuwa ya mfano watu wanatuogopa sasa, wapo wanaouliza mnapata wapi fedha mimi ninasema zilikuwa kwa mafisadi sasa zinaenda kwa Watanzania,” amesema.
WTF!!!
 

Attachments

  • IMG_20190730_231819.jpg
    IMG_20190730_231819.jpg
    20.7 KB · Views: 23
"Nchi yetu ni tajiri, Watanzania tunaweza, Jengo hili limegharimu Mabilioni ya fedha zaidi ya bilioni 700, fedha hizi zimetolewa na Watanzania kwa asilimia 100, ambapo asilimia 15 fedha taslimu na 85% tumekopa , na mkopo huu utarejeshwa kupitia kodi zetu" - JPM #UzinduziTerminal3
 
Tukiacha ushabiki wa vyama kusema ule ukweli JPM amejitahidi sana katika kuweka mambo sawa, kaifanya Tanzania kuwa nchi ya watanzania wote na sio mali ya kikundi fulani kama ilivyokua imezoeleka, ni kiongozi mwenye maono , yale ayafanyayo leo impact yake itakuja kuonekana miaka ijayo.
Yote tunakubaliana na you, I'll vyote hivi having thamani kama uhai wa binaadamu mwenzako.
 
Kama kuna Rais atakuja kukumbukwa na vizazi na vizazi vya taifa hili, basi ni Ndugu John joseph Magufuli.

Kwa dhati kabisa ndani ya Moyo wangu namshukuru Mungu kwa ajili yake. Huyu Rais Ametoka kwa Mungu na Mungu Ametupa kama zawadi watanzania.

Mimi ni mfanyabiashara na mchumi. Nikiitazama tanzania miaka 10 ijayo tanzania itakua imepaa kabisa katika nyanja ya uchumi, kutokana na miradi inayo jengwa na serikali chini ya Mtukufu wetu Ndg Magufuli.

chamsingi.
watanzania tuache tabia ya kulalamikia serikali. Serikali haiko kumtajirisha mwananchi kwa kumwekea pesa mifukoni.

kazi ya serikali ni kujenga miundo mbinu ya kisasa naya uhakika. Itakayomwezesha mwananchi kuitumia na kujiingizia kipato na kukuza uchumi wake.

Mfano mdogotu reli ya SGR Hii itakua mkombozi mkubwa sana kwetu wafanyabiashara kwa kusafirisha bidhaa zetu mikoani na kwa bei nafuu. Kutakaopelekea mfumuko wa bei kwa wananchi kushuka.

niwito wangu kwa kila mtanzania kumwunga mkono ndugu yetu Magufuli na kumwombea.
Umemkufuru Mungu. Mungu hadhihakiwi.

Nyerere , Mandela, Felix H. Boigney walikuwa na hekima sana.

Ghadaffi alifanya zaidi ya haya yanayofanyika Tz ameondoka akiwa amejificha chini ya daraja.
 
Back
Top Bottom