Wewe upo nchi gani?huwajui wanaokula raha kuliko binadamu yoyote duniani?Tukiacha ushabiki wa vyama kusema ule ukweli JPM amejitahidi sana katika kuweka mambo sawa, kaifanya Tanzania kuwa nchi ya watanzania wote na sio mali ya kikundi fulani kama ilivyokua imezoeleka, ni kiongozi mwenye maono , yale ayafanyayo leo impact yake itakuja kuonekana miaka ijayo.
Tukiacha ushabiki wa vyama kusema ule ukweli JPM amejitahidi sana katika kuweka mambo sawa, kaifanya Tanzania kuwa nchi ya watanzania wote na sio mali ya kikundi fulani kama ilivyokua imezoeleka, ni kiongozi mwenye maono , yale ayafanyayo leo impact yake itakuja kuonekana miaka ijayo.
kanuni ya sifa... muungwana hajisifu husifiwa.Kuingoza nchi na kuiletea maendeleo kama ilivyo sasa kutokana na kazi hiyo kuwa ngumu na kuhutaji viongozi kujitoa kwa moyo katika kufanikisha hilo.
Ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Agosti 1, alipokuwa akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa jengo la tatu la abiria katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), jijini Dar es Salaam ambapo amesema kuwa Tanzania sasa imekuwa mfano wa kuigwa na nchi nyingine.
“Mara nyingi tumeambiwa kuwa Tanzania ni masikini, ninaomba neno hilo tulifute kwani nchi yetu ni tajiri lakini tulitaka kuaminishwa na watu waliotaka kututumia, kuna miradi imetumia matrilioni ya fedha saa nyingine ninajiuliza kweli hili limewezekana, tumeweza maana yake kila palipo na nia Mungu yupo pamoja na sisi,” amesema.
“Siwezi nikasimama mbele za watu nikasema haya ni kwasababu yangu kwani mimi ni dereva tu lakini pia huwa ninajiuliza ikitokea siku Mungu akanichukua hao watakaokuja watayamaliza kweli kwasababu panahitaji moyo, unafanya hivi huku unatukanwa lakini inabidi ufanye kwaajili ya Watanzania, inahitaji kujitoa sadaka ya kweli,” amesema.
“Ninamshukuru Mungu kwa kuendelea kulisimamia taifa hili na ninawashukuru Watanzania wenzangu kwa kuendelea kuniombea na kunipa moyo, nchi yetu sasa imekuwa ya mfano watu wanatuogopa sasa, wapo wanaouliza mnapata wapi fedha mimi ninasema zilikuwa kwa mafisadi sasa zinaenda kwa Watanzania,” amesema.
Kama kuna Rais atakuja kukumbukwa na vizazi na vizazi vya taifa hili, basi ni Ndugu John joseph Magufuli.
Kwa dhati kabisa ndani ya Moyo wangu namshukuru Mungu kwa ajili yake. Huyu Rais Ametoka kwa Mungu na Mungu Ametupa kama zawadi watanzania.
Mimi ni mfanyabiashara na mchumi. Nikiitazama tanzania miaka 10 ijayo tanzania itakua imepaa kabisa katika nyanja ya uchumi, kutokana na miradi inayo jengwa na serikali chini ya Mtukufu wetu Ndg Magufuli.
chamsingi.
watanzania tuache tabia ya kulalamikia serikali. Serikali haiko kumtajirisha mwananchi kwa kumwekea pesa mifukoni.
kazi ya serikali ni kujenga miundo mbinu ya kisasa naya uhakika. Itakayomwezesha mwananchi kuitumia na kujiingizia kipato na kukuza uchumi wake.
Mfano mdogotu reli ya SGR Hii itakua mkombozi mkubwa sana kwetu wafanyabiashara kwa kusafirisha bidhaa zetu mikoani na kwa bei nafuu. Kutakaopelekea mfumuko wa bei kwa wananchi kushuka.
niwito wangu kwa kila mtanzania kumwunga mkono ndugu yetu Magufuli na kumwombea.
kagoda, meremeta, kilimo kwanza, escrow m EPA, ujenzi wa chuo kikuu cha cha dodoma, HESLB, Nssf ,Twiga bankcorp, Gas ya mtwara, NBC, TPB, radar, richmond, when combined together unajia ni bei gan ilipigwa? au hata hizo zilipotea JPM akiwa rais?Labda mwenzetu wewe unajua trillion 2.4 zilipo
Huyu inaonekana hana mawazo ya kuachia madaraka , watanzania tujiandae kisaikolojia
Stupid !!Mshamba tu huyo kachanganyikiwa
Yaani Hana tofauti na wazee wa Vijiweni
Anajikuta Genius.....na catalyst yake
Ushamba mzigo....
Huyo si ni Israel????Kwa hiyo ye kuondoka hadi afe
Nani ana namba ya malaika gabriel hapo karibu ?
Si ana ushamba wa madaraka..kwanini AKIKOSOLEWA anasema AMETUKANWA?
Acha kujiona unafaa hapa jamvini kwa kuwa na mawazo mfu kwa dada zetu ,eti hivi nyie mabint ! Hujielew ww usilazimishe watu waamini ktk upumbavu wako!!Hivi nyie mabinti wa Siku hizi mnatatizo gani
Haya turuhusu Ushoga kwa kuwa Marekani pia Wameruhusu Ushoga kwa raia wao
We unafurahia Deni kuongezeka kwa kuanzisha Miradi isiyo na manufaa yoyote kwa raia wa kawaida
Haya kale Mataaluma ya Reli
Kama CCM kiliweza Kumteua Yeye kuwa ' Flag Bearer ' wake na sasa anafanya hayo mambo makubwa na mazuri basi ni CCM hiyo hiyo tena itampata ' Flag Bearer ' mwingine na huenda akawa ni Mchapakazi, Mtu mzuri na Kipenzi cha Watanzania wengi kama siyo wote kuliko hata Yeye, hivyo nae ataweza Kuifanya Tanzania yetu hii mambo makubwa na ya Kimaendeleo. Alianza Hayati Mwalimu, akaja Mzee Mwinyi, akafuata Mzee Mkapa, halafu Mzee Kikwete na sasa Yeye na atakuja mwingine tena. CCM haikaukiwi Watu wazuri na haina rekodi ya Kukosea katika Kuteuwa Wagombea wake.
Israel mawasiliano yake ni magumu kupata inahitaji conection kidogo ndo maana nataka nionge na gabi anisaveHuyo si ni Israel????