Magufuli: Nikiondoka watakaokuja wataweza?

Magufuli: Nikiondoka watakaokuja wataweza?

“Siwezi nikasimama mbele za watu nikasema haya ni kwasababu yangu kwani mimi ni dereva tu lakini pia huwa ninajiuliza ikitokea siku Mungu akanichukua hao watakaokuja watayamaliza kweli kwasababu panahitaji moyo, unafanya hivi huku unatukanwa lakini inabidi ufanye kwaajili ya Watanzania, inahitaji kujitoa sadaka ya kweli,” amesema.
Tayari ameshajiona bila yeye hakuna kitakachowezekana, na kabla ya yeye hapakufanyika kitu! Huyu mpaka aondolewe, hawezi kutoka kwa hiari yake.
nchi yetu sasa imekuwa ya mfano watu wanatuogopa sasa,
"watu wanatuogopa sasa"?
Hili ndilo lilowekwa mbele 'waTanzania waogope' kwa vitisho mbalimbali, kuwekwa mahabusu, kutekwa n.k. Kwa hiyo tunataka sasa na nchi nyingine zituogope pia? Tutafanya nini, kupiga minada mali zao?

Nadhani kuna mhimu kufanya udadamuzi makini kuhusu haya anayojivunia kuwa ameyafanya yeye kwa nguvu zake.
Hizi hela zilizotoka kwa 'mafisadi' ziainishwe vizuri ili ionekane ukweli upo wapi.
 
Thread Imejaa Comment Hatari Sana
Watu Hajaafiki Inaonekana Katiba Bado Haijavunjwa
 
Mtanzania yupi anayemuombea huyo bugiri? Hahahahaha uongo uliokithiri.

Hakuna anayekuombea bugiri acha UZUSHI labda ni makamongo, buku 7 na wale uliowaokota jalalani.

Acha kabisa kujibaraguza eti Watanzania tunakuombea.

Kuingoza nchi na kuiletea maendeleo kama ilivyo sasa kutokana na kazi hiyo kuwa ngumu na kuhutaji viongozi kujitoa kwa moyo katika kufanikisha hilo.

Ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Agosti 1, alipokuwa akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa jengo la tatu la abiria katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), jijini Dar es Salaam ambapo amesema kuwa Tanzania sasa imekuwa mfano wa kuigwa na nchi nyingine.

“Mara nyingi tumeambiwa kuwa Tanzania ni masikini, ninaomba neno hilo tulifute kwani nchi yetu ni tajiri lakini tulitaka kuaminishwa na watu waliotaka kututumia, kuna miradi imetumia matrilioni ya fedha saa nyingine ninajiuliza kweli hili limewezekana, tumeweza maana yake kila palipo na nia Mungu yupo pamoja na sisi,” amesema.

“Siwezi nikasimama mbele za watu nikasema haya ni kwasababu yangu kwani mimi ni dereva tu lakini pia huwa ninajiuliza ikitokea siku Mungu akanichukua hao watakaokuja watayamaliza kweli kwasababu panahitaji moyo, unafanya hivi huku unatukanwa lakini inabidi ufanye kwaajili ya Watanzania, inahitaji kujitoa sadaka ya kweli,” amesema.

“Ninamshukuru Mungu kwa kuendelea kulisimamia taifa hili na ninawashukuru Watanzania wenzangu kwa kuendelea kuniombea na kunipa moyo, nchi yetu sasa imekuwa ya mfano watu wanatuogopa sasa, wapo wanaouliza mnapata wapi fedha mimi ninasema zilikuwa kwa mafisadi sasa zinaenda kwa Watanzania,” amesema.
 
Kwani kabla yake nchi haikutawalika?huyu mzee vipi???
 
Raisi Yuko sahihi mtu mwingine akija so lazima aendeleze hayo hayo anayofanya.Mfano kazindua uwanja mpya wa ndege na kanunua ndege anayekuja aweza Sasa fanya kazi ya kuwawezesha watanzania kwa kuwapa ajira wengi , kuongeza mishahara wafanyakazi na Bei za mazao ili watanzania wengi Wawe na Uwezo wa kupanda hizo ndege alizonunua na kuutumia huo uwanja .Pia mwingine akija so lazima ajenge mabarabara yeye aweza kuja na mkakati wa mfano kuondoa ushuru wa magari au kupunguza Kodi ili watanzania wengi waweze kumudu kumiliki magari binafsi mengi watumie kwenye hizo barabara alizojenga.Hospitali na zahanati nyingi aluzijenga mwingine akija so lazima ajenge aweza kipau mbele chake kujaza ajira za madaktari na manesi na madawa kwenye hizo hospitali alizojenga kuhakikisha zinakuwa na madaktari na manesi was kutosha .Uraisi kila moja hufanya kivyake hakuna was KU.kopi kwa mwenzie.Yeye akiondoka anatakiwa ajue kabisa kuwa ajaye nyuma yake SI lazima afanye Kama alivyofanya yeye.Yeye Kama Raisi afanye chake ya mengine akiondoka awaachie wengine.
Mhhh.Wewe hujajua tafsiri ya hiyo statement.
 
Kwahiyo anataka atawale milele?

Asimuige kagame kwa hili maana kagame yule ni special case kwamba akiondoka wanaweza kuchinjana tena hao wananchi wa rwanda

Jiwe letu vipi bwana?
 
Naona dalili ya umwagaji wa damu kwa nchi yangu pendwa Tz, Eweee Mwenye Enzi Mungu tunakuomba utuondolee haya mawazo finyu aliyonayo huyu mfalme Juha na umpe pigo takatifu kama mapigo uliyowapiga wafalme jeuri kwenye kaumu zilizopita kabla yetu. Kwa hakika yatupaswa kukemea kwa sauti ya pamoja ili kunusuru taifa letu maana shetani wa Gamboshi yupo kwenye usukani. Hakuna kingine akiwazacho ni kutaka kutuletea taharuki na umwagaji damu hapa nchini.
 
kwamba Mzee Mwinyi, Jakaya na BWM na wote waliotumikia nchi kwa miaka 10 ni mapoyoyo?
 
Akwende zake hukoooo! Asitake kutuaminisha kwamba yeye.ndiye.atakuwa wa mwisho.hatutapata mwenye akili! Eti naye kwa.akili yake anaona anafanya maajabu! Asitake kutudanganya eti tunatumia pesa yetu, mbona deni la taifa linapaa kama tunatumia pesa ya mafisadi? Aache upotoshaji huyu Mzee!
Kaka nilikuwa nasikia baridi huku nyuma eti jirani kaniambia suruali yangu imetoboka ebu na wewe angalia ni kweli?
 
Kuingoza nchi na kuiletea maendeleo kama ilivyo sasa kutokana na kazi hiyo kuwa ngumu na kuhutaji viongozi kujitoa kwa moyo katika kufanikisha hilo.

Ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Agosti 1, alipokuwa akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa jengo la tatu la abiria katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), jijini Dar es Salaam ambapo amesema kuwa Tanzania sasa imekuwa mfano wa kuigwa na nchi nyingine.

“Mara nyingi tumeambiwa kuwa Tanzania ni masikini, ninaomba neno hilo tulifute kwani nchi yetu ni tajiri lakini tulitaka kuaminishwa na watu waliotaka kututumia, kuna miradi imetumia matrilioni ya fedha saa nyingine ninajiuliza kweli hili limewezekana, tumeweza maana yake kila palipo na nia Mungu yupo pamoja na sisi,” amesema.

“Siwezi nikasimama mbele za watu nikasema haya ni kwasababu yangu kwani mimi ni dereva tu lakini pia huwa ninajiuliza ikitokea siku Mungu akanichukua hao watakaokuja watayamaliza kweli kwasababu panahitaji moyo, unafanya hivi huku unatukanwa lakini inabidi ufanye kwaajili ya Watanzania, inahitaji kujitoa sadaka ya kweli,” amesema.

“Ninamshukuru Mungu kwa kuendelea kulisimamia taifa hili na ninawashukuru Watanzania wenzangu kwa kuendelea kuniombea na kunipa moyo, nchi yetu sasa imekuwa ya mfano watu wanatuogopa sasa, wapo wanaouliza mnapata wapi fedha mimi ninasema zilikuwa kwa mafisadi sasa zinaenda kwa Watanzania,” amesema.

Hivi who believe anything this dude says?

At least mimi binafsi I dont!
 
Hivi who believe anything this dude says?

At least mimi binafsi I dont!
"Nchi yetu ni tajiri, Watanzania tunaweza, Jengo hili limegharimu Mabilioni ya fedha zaidi ya bilioni 700, fedha hizi zimetolewa na Watanzania kwa asilimia 100, ambapo asilimia 15 fedha taslimu na 85% tumekopa , na mkopo huu utarejeshwa kupitia kodi zetu" - JPM #UzinduziTerminal3
 
Nchi hii ni kubwa na ina watu wengi2,Mh. kwa ss ajitahd kufanya yale yote awezayo na yanayo mpasa,kisha ajipumzishe pembeni aone itaenda au la !!
 
Wapumbavu wenzio watakusaporti ila wenye tuna akili na hekima tunakuangalia tu
Kikwete ni mpumbavu sana, Mwalimu Nyerere aliona mbali sana, alijua kabisa kuwa Kikwete hafai kuwa Rais alijua angeiacha nchi pabaya mno sasa nyote mmeona
 
Back
Top Bottom