Chakaza
Platinum Member
- Mar 10, 2007
- 41,011
- 74,657
Kwamba akichukuliwa na Mungu hajui kama atapatikana mwingine wa kuweza kuendeleza nchi? Ndio hawezi kupatikana ndani ya chama chake CCM lakini nchi kama Tanzania bado inao watu wengi wa kuweza kuongoza kuleta maendeleo na kubwa zaidi FURAHA YA KUISHI ULIMWENGUNI KAMA WATANZANIA.
Aondoke 2020 kisha Mungu ampe maisha marefu ili ajionee Tanzania yenye maisha ya neema na vicheko badala ya Hofu, vilio, utekaji na mauaji ya siri dhidi ya raia wema.
Aondoke 2020 kisha Mungu ampe maisha marefu ili ajionee Tanzania yenye maisha ya neema na vicheko badala ya Hofu, vilio, utekaji na mauaji ya siri dhidi ya raia wema.