Magufuli: Nikiondoka watakaokuja wataweza?

Kama kuna Rais atakuja kukumbukwa na vizazi na vizazi vya taifa hili, basi ni Ndugu John joseph Magufuli.

Kwa dhati kabisa ndani ya Moyo wangu namshukuru Mungu kwa ajili yake. Huyu Rais Ametoka kwa Mungu na Mungu Ametupa kama zawadi watanzania.

Mimi ni mfanyabiashara na mchumi. Nikiitazama tanzania miaka 10 ijayo tanzania itakua imepaa kabisa katika nyanja ya uchumi, kutokana na miradi inayo jengwa na serikali chini ya Mtukufu wetu Ndg Magufuli.

chamsingi.
watanzania tuache tabia ya kulalamikia serikali. Serikali haiko kumtajirisha mwananchi kwa kumwekea pesa mifukoni.

kazi ya serikali ni kujenga miundo mbinu ya kisasa naya uhakika. Itakayomwezesha mwananchi kuitumia na kujiingizia kipato na kukuza uchumi wake.

Mfano mdogotu reli ya SGR Hii itakua mkombozi mkubwa sana kwetu wafanyabiashara kwa kusafirisha bidhaa zetu mikoani na kwa bei nafuu. Kutakaopelekea mfumuko wa bei kwa wananchi kushuka.

niwito wangu kwa kila mtanzania kumwunga mkono ndugu yetu Magufuli na kumwombea.
 
Tuzidi kumuombea aendelee kuiongoza taifa la Tanzania kulingana na maono yake. Hapana shaka wengi watatafsiri kauli yake kama ni uchu na kunogewa na madaraka.

JPM amefanya mengi ila ni vema kwa kiongozi kuondoka madarakani kwa heshima pia angali anapendwa. Tofauti na hapo mema yake yote yanasahaulika.
 
kuingoza nchi na kuiletea maendeleo kama ilivyo sasa kutokana na kazi hiyo kuwa ngumu na kuhutaji viongozi kujitoa kwa moyo katika kufanikisha hilo.

Ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Agosti 1, alipokuwa akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa jengo la tatu la abiria katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), jijini Dar es Salaam ambapo amesema kuwa Tanzania sasa imekuwa mfano wa kuigwa na nchi nyingine.

“Mara nyingi tumeambiwa kuwa Tanzania ni masikini, ninaomba neno hilo tulifute kwani nchi yetu ni tajiri lakini tulitaka kuaminishwa na watu waliotaka kututumia, kuna miradi imetumia matrilioni ya fedha saa nyingine ninajiuliza kweli hili limewezekana, tumeweza maana yake kila palipo na nia Mungu yupo pamoja na sisi,” amesema.

“Siwezi nikasimama mbele za watu nikasema haya ni kwasababu yangu kwani mimi ni dereva tu lakini pia huwa ninajiuliza ikitokea siku Mungu akanichukua hao watakaokuja watayamaliza kweli kwasababu panahitaji moyo, unafanya hivi huku unatukanwa lakini inabidi ufanye kwaajili ya Watanzania, inahitaji kujitoa sadaka ya kweli,” amesema.

“Ninamshukuru Mungu kwa kuendelea kulisimamia taifa hili na ninawashukuru Watanzania wenzangu kwa kuendelea kuniombea na kunipa moyo, nchi yetu sasa imekuwa ya mfano watu wanatuogopa sasa, wapo wanaouliza mnapata wapi fedha mimi ninasema zilikuwa kwa mafisadi sasa zinaenda kwa Watanzania,” amesema.
Asijitambe Sana mradi wa terminal 3 aliuanzisha Kikwete
 
Kama kuna Rais atakuja kukumbukwa na vizazi na vizazi vya taifa hili, basi ni Ndugu John joseph Magufuli.

Kwa dhati kabisa ndani ya Moyo wangu namshukuru Mungu kwa ajili yake. Huyu Rais Ametoka kwa Mungu na Mungu Ametupa kama zawadi watanzania.

Mimi ni mfanyabiashara na mchumi. Nikiitazama tanzania miaka 10 ijayo tanzania itakua imepaa kabisa katika nyanja ya uchumi, kutokana na miradi inayo jengwa na serikali chini ya Mtukufu wetu Ndg Magufuli.

chamsingi.
watanzania tuache tabia ya kulalamikia serikali. Serikali haiko kumtajirisha mwananchi kwa kumwekea pesa mifukoni.

kazi ya serikali ni kujenga miundo mbinu ya kisasa naya uhakika. Itakayomwezesha mwananchi kuitumia na kujiingizia kipato na kukuza uchumi wake.

Mfano mdogotu reli ya SGR Hii itakua mkombozi mkubwa sana kwetu wafanyabiashara kwa kusafirisha bidhaa zetu mikoani na kwa bei nafuu. Kutakaopelekea mfumuko wa bei kwa wananchi kushuka.

niwito wangu kwa kila mtanzania kumwunga mkono ndugu yetu Magufuli na kumwombea.
Tusisahau ndege alizonunua na ujenzi wa viwanda.
Ifikapo 2025 uchumi wetu utakuwa wa kati wenye viwanda kila kona.
 
Labda sie wengine tunaishia nchi tofauti.Amefanya lipi la ajabu! Lipi? Sana sana amevuruga uchumi na sasa unasinyaa.Amevuruga karibu kila sector kwa maamuzi ya ajabu kabisa. Meanwhile watu wanatekwa,kuuwawa na kupotezwa. Hotuba zake hazina jipya na zinaboa....aende zake.
 
Hiyo ni kauli tata,ni dalili ya kujiandalia mazingira.Katika nchi yenye watu zaidi ya milioni 50 unawezaje kuona shaka?.
 
kuingoza nchi na kuiletea maendeleo kama ilivyo sasa kutokana na kazi hiyo kuwa ngumu na kuhutaji viongozi kujitoa kwa moyo katika kufanikisha hilo.

Ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Agosti 1, alipokuwa akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa jengo la tatu la abiria katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), jijini Dar es Salaam ambapo amesema kuwa Tanzania sasa imekuwa mfano wa kuigwa na nchi nyingine.

“Mara nyingi tumeambiwa kuwa Tanzania ni masikini, ninaomba neno hilo tulifute kwani nchi yetu ni tajiri lakini tulitaka kuaminishwa na watu waliotaka kututumia, kuna miradi imetumia matrilioni ya fedha saa nyingine ninajiuliza kweli hili limewezekana, tumeweza maana yake kila palipo na nia Mungu yupo pamoja na sisi,” amesema.

“Siwezi nikasimama mbele za watu nikasema haya ni kwasababu yangu kwani mimi ni dereva tu lakini pia huwa ninajiuliza ikitokea siku Mungu akanichukua hao watakaokuja watayamaliza kweli kwasababu panahitaji moyo, unafanya hivi huku unatukanwa lakini inabidi ufanye kwaajili ya Watanzania, inahitaji kujitoa sadaka ya kweli,” amesema.

“Ninamshukuru Mungu kwa kuendelea kulisimamia taifa hili na ninawashukuru Watanzania wenzangu kwa kuendelea kuniombea na kunipa moyo, nchi yetu sasa imekuwa ya mfano watu wanatuogopa sasa, wapo wanaouliza mnapata wapi fedha mimi ninasema zilikuwa kwa mafisadi sasa zinaenda kwa Watanzania,” amesema.
wanaokuja kama hawatoweza itakuwa ni kwasababu ya madeni makubwa yaliyokopwa awamu hii ya 5 kwa ajili ya white elephants projects ambazo mnaziita ni maendeleo.
 
kuingoza nchi na kuiletea maendeleo kama ilivyo sasa kutokana na kazi hiyo kuwa ngumu na kuhutaji viongozi kujitoa kwa moyo katika kufanikisha hilo.

Ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Agosti 1, alipokuwa akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa jengo la tatu la abiria katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), jijini Dar es Salaam ambapo amesema kuwa Tanzania sasa imekuwa mfano wa kuigwa na nchi nyingine.

“Mara nyingi tumeambiwa kuwa Tanzania ni masikini, ninaomba neno hilo tulifute kwani nchi yetu ni tajiri lakini tulitaka kuaminishwa na watu waliotaka kututumia, kuna miradi imetumia matrilioni ya fedha saa nyingine ninajiuliza kweli hili limewezekana, tumeweza maana yake kila palipo na nia Mungu yupo pamoja na sisi,” amesema.

“Siwezi nikasimama mbele za watu nikasema haya ni kwasababu yangu kwani mimi ni dereva tu lakini pia huwa ninajiuliza ikitokea siku Mungu akanichukua hao watakaokuja watayamaliza kweli kwasababu panahitaji moyo, unafanya hivi huku unatukanwa lakini inabidi ufanye kwaajili ya Watanzania, inahitaji kujitoa sadaka ya kweli,” amesema.

“Ninamshukuru Mungu kwa kuendelea kulisimamia taifa hili na ninawashukuru Watanzania wenzangu kwa kuendelea kuniombea na kunipa moyo, nchi yetu sasa imekuwa ya mfano watu wanatuogopa sasa, wapo wanaouliza mnapata wapi fedha mimi ninasema zilikuwa kwa mafisadi sasa zinaenda kwa Watanzania,” amesema.

Afurahisha baraza tu.

Anafahamu namna ya kucheza na wa mitandaoni maana siku hizi anachagua neno la kutumia huko na huenda JF kusoma ile "reaction".

Viongozi wengi wanaoelekea kukaa muda mrefu huanza kutumia maneno kama hayo.

Lakini ukweli ni kwamba raisi JPM bado tunae na hakitabadilika kitu au kwa kiingereza yasemwa , " the situation is unlikely to change in the foreseeable future."
 
Back
Top Bottom