The Analyst
JF-Expert Member
- Feb 26, 2011
- 464
- 246
Hii actually ni weakness na sloppy management style. Anatengeneza tension bure, anawa demoralize wafanyakazi wake, anawaumbua hadharani watu wazima, anatengeneza uadui etc.Magufuri ni Kiboko kweli. Jinsi anavyokaripia watendaji wa wizara yake inatisha. Muda si mrefu uliopita ameonekana kwenye taarifa ya habari TBC1 akimkaripia Meneja wa Tanroad mkoa wa Dsm kama anamgombeza mhudumu vile. So serious and irritated.
Mawaziri wa JK japo nusu yao tu, wangekuwa wanajiamini kama huyu jamaa tungepiga hatua japo kidogo kimaendeleo.
Hii actually ni weakness na sloppy management style. Anatengeneza tension bure, anawa demoralize wafanyakazi wake, anawaumbua hadharani watu wazima, anatengeneza uadui etc.
Magufuli kwa kuwaka hivi anatuonyesha kwamba hapati taarifa mapema inavyotakiwa au anataka kuuza sura
Hao wanajuana tu. Magufuli huwa anapanga na mameneja wake kabla kuwa atawagombeza ili aonekane anachapa kazi. Baadaye wanagawana posho za Meremeta na ubwabwa wa njano wa msaada kwa watu wa mafuriko.
Huyu naye ni MLIPUKAJI tu kama Lowassa. Juzi kajisifu kuwa ujenzi wa barabara ni wa CCM na Serikali yake.Sasa hivi mbona kwenye Mafuriko, kajikalia kimya kama Boga la Halowini?
Duh! Ina maana hao mameneja hawana hata familia!? Mbona wanakua wanaziabisha sana familia zao!