gambada ynwa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 390
- 366
For me it is simple and cria. Thank you very much. Here job only...
Hahaaa mkuu umenichekesha sanaa.
For me it is simple and cria. Thank you very much. Here job only...
For me it is simple and cria. Thank you very much. Here job only...
Mtoa mada inafanya kazi BBC maana Sijaona bandiko LA BBC lililosema kuwa Leo zamu ya Magufuri just assumptions from people.
Mukitaka huyo Mr.Politicians arudi kwenye hio interview basi mwelezeni ya kwamba hio interview sio ya kiingereza bali ni ya Kiswahili! La si hivyo mumfuate Mwanza alikojifungia. Nasikia akiona Nembo ya BBC tu basi huanza kujikojolea kwenye suruali! Alifikiri Urais ni kupiga push ups tu majukwani! Sasa kuna CCN, BBC, VOA, Aljazeera hana pa kutokea huyo kama alikimbia midahalo shuleni!
Mtoa mada inafanya kazi BBC maana Sijaona bandiko LA BBC lililosema kuwa Leo zamu ya Magufuri just assumptions from people.
Jana kasema dar hanywi maji mpaka wanapata kipindupindu. Nilishindwa kumuelewe na kuhis urais term hii tumeibiwa
Si alikuwa mwalimu huyu inakuwaje hajui lugha
Bora Magufuli ambaye hajahojiwa kuliko mzee wenu aliyesema atakwenda kuchunga ng'ombe akishindwa uchaguzi!!! Akumbuke hatutaki akachunge ng'ombe, sie tunamtaka ashike nafasi ya katibu mkuu
Hivi idhaa ya BBC Kiswahili inaendesha mahojiano kwa Kiingereza,mbona unakuwa muongo?na PhD kaisomea kwa Kiswahili?je Lowassa alihojiwa kwa Kiingereza alivyoalikwa na BBC,jibu halafu tuendeleeMagufuli alijua interview ni ya kiingereza alivyoona kaalikwa na BBC.
Acha kushabikia Fisadi
Naona wameanza mazoezi ya kuukata usiku yaani ili ikifika jpili iathili uhesabuji wa kura
kuna post imedai kuwa magufuli kakimbia mahojiano BBC jana tarehe 22 oct, ukweli ni kwamba hata mahojiano ya lowassa na BBC yalifanyika muda mrefu tu uliopita ilibaki kurushwa tu ndo yakarushwa tarehe 21 juzi,hata mahojiano ya magufuli yalisharekodiwa zamani kuna siku yatarushwa, tusipotoshe umma.