ng'adi lawi
JF-Expert Member
- Sep 27, 2014
- 2,956
- 1,114
Ikiwa ni siku moja baada ya raisi mtarajiwa Edward Lowassa kufanya interview ya BBC leo ilikuwa ahojiwe mgombea wa CCM.
BBC waliahidi hivyo jana na hata leo magroup yote ya whatsapp taarifa zilisambazwa kuwa Magufuli atafanya interview na BBC lakini Magufuli amekimbia.
Nyie wasomi fake acheni uzushi BBC hawakuwa na katiba ya mahojiano naagufuli Leo. That is a creation of your imagination. Hata hivyo urais siyo spoken english! Hivi akishinda mtaficha wapi nyuso zenu? Simple minds discuss people!