Magufuli akacha Mahojiano ya BBC

Hamuwajui hata viongozi wenu. Magufuli hana udhaifu wa sampuli hiyo.

Ndio matokeo ya kuishia kusoma na kupendeleA magazeti na habari za udaku.
 
Maskini Magufuli alizowea kukimbia midahalo ya shule alipokuwa mwanafunzi.
Anautaka urais wa JMT sasa kakumbana na midahalo ya CNN, BBC, ALJAZEERA, VOA! Duu hili jambo hakulitarajia. Eti alimwambia January amwakilishe lakini CNN na BBC hawakukubali hilo. Alifikiri wenye uwezo wa kufanya midahalo ni TWAWEZA pekee. Maana hao basi wangalimpelekea masuali na majibu yake kumbe....
 
maghufuli ni zigo la nguvu ni mgombea wa kwanza wa Urais katika historia ambaye hajawai fanya mahojiano ya one to one na mhandishi yeyote wa habari majuzi aliwakimbia CLOUDS ambao ni ccm wenzake he is a lost cause
.. mahojiano hayo yana uzito gani kufananisha na mdahalo ambao wote hawakuhudhuria? Nilidhani mdahalo ungetupa mwanga zaidi juu ya dira na sera zao.. Kwangu mimi tunaongea tusilolijua.... na kwamba definition ya "lost cause" au ipi ni w"on cause" unapaswa utueleweshe ili kuchagua kilicho bora ... Tuache usanii na kushabikia personal brand badala ya system na TAIFA KWANZA!!!
 
Hiyo interview alofanya Lowassa ilikuwa Aibu tupu. Kashindwa kujibu swali moja kwa maana.
 
Ikiwa ni siku moja baada ya Rais mtarajiwa Edward Lowassa kufanya interview ya BBC leo ilikuwa ahojiwe mgombea wa CCM.

BBC waliahidi hivyo jana na hata leo magroup yote ya whatsapp taarifa zilisambazwa kuwa Magufuli atafanya interview na BBC lakini Magufuli amekimbia.
bila kupewa maswali ayakariri unafikiri atakubali?
 
Mtoa mada inafanya kazi BBC maana Sijaona bandiko LA BBC lililosema kuwa Leo zamu ya Magufuri just assumptions from people.
Wewe hujamsikia yule mdada Zuhura Yunus wa BBC akitamka hilo kuwa watamhoji Magufuli kesho yake baada ya mahojiano na Lowassa?

Ni dhahiri kuwa mzee wa push up ameingia mitini baada ya kuhisi kuwa lugha itakayotumika kwenye mahojiano hayo na BBC itakuwa kiingereza na yeye anajitambua kuwa ni mweupe kabisa kwenye lugha hiyo ya Malkia!
 
ACHA UONGO!!! Magufuli alikimbia mdahalo kwasabb anajua kuna mengi ataulizwa kisha ashindwe kujibu,kwa mfano kuhusu KATIBA INAYOPENDEKEZWA NA WANANCHI....Pia lugha ya kiingereza ni tatizo kubwa kwake.

Mbona nyie wana jf wooote mna tatizo la lugha ya kiswahili?? R na L!!!! Kwani kiingereza ndiyo kitafanya maamuzi ya nchi??? Hivi thesis za Magufuli ulizijibu wewe?
 
Upande wa makufuri hata dharau zake zinachangia hata sehemu kuwe na tatizo mtegemee makufuri atakuja wakati mnajidanganya.
 
Hizo ni propaganda za kitoto kabisa....

EL alishajieleza mara nyingi sana kuwa Richmond ni ya JK na akasema kuwa yeyote nwenye ushahidi kuwa Richmond ni yake amburuze mahakamani.

Sasa inashangaza kila siku humu JF mnamuhusisha Edo na Richmond lakini hamthubutu kumburuza mahakamani!

Subirini tu Jumapili muone Umma wa watanzania watakavyotumia 'vichinjio' vyao kukingo'a chama dola kilichoishiwa pumzi ya kuendelea kutawala nchi hii.

“11. (C) While the immediate reason for PM Lowassa tendering his resignation was his implication in the illegal procurement of the energy contract with Richmond, Lowassa's corrupt activities have been an open secret throughout Tanzania for many years. In addition, rumors of a cabinet shake-up had been rampant since the conclusion of the CCM's Party Congress on November 5, 2007. As a result of CCM elections for the party's National Executive Committee, several of President Kikwete's close circle took on new roles in the party. Other CCM stalwarts were moved to "lower" positions, indicating that Kikwete was maneuvering to distance himself from ministers and others with reputations for lining their pockets.”


Kafute na hayo na ushabiki wenu huo.
 
Bora Magufuli ambaye hajahojiwa kuliko mzee wenu aliyesema atakwenda kuchunga ng'ombe akishindwa uchaguzi!!! Akumbuke hatutaki akachunge ng'ombe, sie tunamtaka ashike nafasi ya katibu mkuu

Wewe na nani?yeye anasema akishindwa ataenda kuchunga mifugo yake uongozi ni ridhaa sio lazma kama unavyo taka wewe
 
Back
Top Bottom