TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,297
- 28,006
Toa mapungufu ya mahojiano ya EL na Zuhura Yunus, kama hauna acha kulaumu majibu ya EL!
Mwenzenu akisikia BBC tu anaanza kuwaza Kiingereza:biggrin1:
Ikiwa ni siku moja baada ya Rais mtarajiwa Edward Lowassa kufanya interview ya BBC leo ilikuwa ahojiwe mgombea wa CCM.
BBC waliahidi hivyo jana na hata leo magroup yote ya whatsapp taarifa zilisambazwa kuwa Magufuli atafanya interview na BBC lakini Magufuli amekimbia.
kumbe unajifunza kupost! Nenda kwa Issa Michuzi sio JF!
Nimeangalia mahojiano ya Lowassa na BBC dira ya Dunia!!! Lowassa! Lowassa jamaniiiii! Ilikuwa ni nafasi ya kujinadi vema ktk chombo kinachoheshimika duniani. Watu wengi wanakiangalia. Huwezi kukimbia mdahalo na kukubali kujipeleka BBC, washauri wake hawakumtendea haki. Kumbe hiyo ahadi ya Elimu bure ni kwa fedha za kukopa zinazohitaji kulipwa kwa raslimali tarajiwa? Ina tofauti gani na kuuza Nchi hiyo? Ndiyo hayo mabadiliko unayotuahidi mzee? Kama huyo ndiye Rais wetu mtarajiwa basi Tanzania tunayo kazi kweli! Labda kwa sababu wengine wamechanganyikiwa na kuahidi hata kuchagua jiwe! Loh!.
-Angeulizwa nyumba za serikali alizoshiriki uuzaji wake, angejibuje?
-Angeulizwa, fedha za barabara ya mradi wa DART kutoka Kimara mwisho hadi makutano ya bibi Titi, iliojengwa kwa upana wa mita 5 badala ya mita 6, iko wapi, angejibuje?
LAKINI, namkubali ni JEMBE pia!
Aibu kwa Tanzania mgombea urais hajui lugha za wahisani.
Pengine angeshinda tungempata SULTANI MANGUNGO mwingine.