Magufuli akacha Mahojiano ya BBC

JPM ni bingwa wa kukariri,hana uwezo wa kujibu maswali ya papo kwa papo!!Naliona taifa linaingia majaribuni!
 
Kumbe basi angeweza kuwasiliana mapema na Kikeke au Zuhura wakae eneo lenye uwanja mkubwa ili muda wa push up ukifika apige tizi la uhakika ili ngeli ipande
 
Watu wanajifariji baada ya mzee wao kuumbuka, wallahy bora kukimbia mahojiano kuliko kuongea ushudu alosema luwasa....hahahahahahh MAGUFULI OYEEEEEEEEEE
 
Hadi Sugu kamshinda,jana alikuwa anahojiwa BBC_focus on Africa tena kwa kingereza jamaa misuli ya kichwa ilimsimama kwa kuongea kingereza acha.kingereza sio mchezo aki.
 
we wee,its obvious wapi bwana,hakuna tangazo hata moja lilisema anahojiwa magufuli,wangetangaza kama walivotangaza kuhojiwa kwa lowassa....

Ubishi mwingine wa kitoto sana hukusikiliza dira ya dunia nini, bisha na akili basi. Kama hukusikiliza kipindi nyamaza.
 
Magufuri kahojiwa sema star Tv jana walijihujumu wenyewe na kipindi hakikueleweka na baadae wakaanza kuonyesha futuhi
 
Bora Magufuli ambaye hajahojiwa kuliko mzee wenu aliyesema atakwenda kuchunga ng'ombe akishindwa uchaguzi!!! Akumbuke hatutaki akachunge ng'ombe, sie tunamtaka ashike nafasi ya katibu mkuu
Kwani ni mwiko katibu mkuu kuchunga ng'ombe ? We vipi ndugu yangu. Mbona Kikwete ataenda kujihusisha na mambo hayo hayo ya kilimo. Pinda mbona anachunga ng'ombe na bado ni waziri mkuu. Anaweza kuchunga ng'ombe na bado harakati za siasa zikawa palepale. Mwenyewe nataka nianze kuchunga ng'ombe.
 
Nimeangalia mahojiano ya Lowassa na BBC dira ya Dunia!!! Lowassa! Lowassa jamaniiiii! Ilikuwa ni nafasi ya kujinadi vema ktk chombo kinachoheshimika duniani. Watu wengi wanakiangalia. Huwezi kukimbia mdahalo na kukubali kujipeleka BBC, washauri wake hawakumtendea haki. Kumbe hiyo ahadi ya Elimu bure ni kwa fedha za kukopa zinazohitaji kulipwa kwa raslimali tarajiwa? Ina tofauti gani na kuuza Nchi hiyo? Ndiyo hayo mabadiliko unayotuahidi mzee? Kama huyo ndiye Rais wetu mtarajiwa basi Tanzania tunayo kazi kweli! Labda kwa sababu wengine wamechanganyikiwa na kuahidi hata kuchagua jiwe! Loh!.
 
Hahahahah
 

Attachments

  • 1445608732462.jpg
    1445608732462.jpg
    91.5 KB · Views: 153
Back
Top Bottom