Mbona ni obvious Jana walisema BBC kwamba Leo mh. Magufuli atakuwa in air hata mm nmeshangaa kuona hajahojiwa
we wee,its obvious wapi bwana,hakuna tangazo hata moja lilisema anahojiwa magufuli,wangetangaza kama walivotangaza kuhojiwa kwa lowassa....
Mbona ni obvious Jana walisema BBC kwamba Leo mh. Magufuli atakuwa in air hata mm nmeshangaa kuona hajahojiwa
Ikiwa ni siku moja baada ya raisi mtarajiwa Edward Lowassa kufanya interview ya BBC leo ilikuwa ahojiwe mgombea wa CCM.
BBC waliahidi hivyo jana na hata leo magroup yote ya whatsapp taarifa zilisambazwa kuwa Magufuli atafanya interview na BBC lakini Magufuli amekimbia.
hahahahahaha mkuu umenivunja mbavu sana
Magufuli alijua interview ni ya kiingereza alivyoona kaalikwa na BBC.