Magufuli, acha kujitafutia sifa kwa mfumo huu

Magufuli, acha kujitafutia sifa kwa mfumo huu

Hakumponda raisi,raisi hyo ni kazi yke kwenda nje na kujenga mahusiano Mazuri na nchi jirani..aliponda baadhi ya safari za Idara za serikali kwenda nje hovyo hovyo..Mimi hapa mwenyewe nashuhudiaga wakurugenzi wa Idara za benki kuu wakienda kutanua Malaysia na Singapore kila baada ya mieZi mitatu

Ht ww hapo utakuwa umewasema hao vibaya!
 
mkuu Manmura usiangalie avatar yangu tu ukaishia hapo....soma na uelewe mantiki ya hoja ninayojenga kisha uchangie. kama huna pointi ya kuchangia, ipotezee mada.

Ila msihofu,katiba zinawalinda!
 
Last edited by a moderator:
magufuli aache kutafuta sifa za kijinga.alimchana live rais mstaafu,mpedwa wetu sana, mzee jakaya kikwete wa msoga,kwa kuwa tu ni muislamu. CC FaizaFoxy
 
Last edited by a moderator:
kitendo cha rais, dr john pombe magufuli, kuwadhalilisha dr jakaya mrisho kitwete na marais wa zamani mnamo tarehe 20/11/2015 wakati alipokuwa analihutubia bunge hakikubaliki hata kidogo. Kutumia udhaifu wa viongozi hao, huku akiwashambulia wazi wazi, hasa dr kikwete, hakikubaliki katika jamii ya watu wastaarabu na ambao wamejijengea misingi ya kuheshimiana. Kumpalaza dr kikwete hadharani, hasa katika suala la safari zake zilizoligharimu taifa hili mabilioni ya shilingi, sio jambo jema na halijengi sura nzuri katika jamii ya watu wanaoheshimiana na kulindiana heshima.

Hata kama jk katika utawala wake alifanikiwa kutalii karibu dunia nzima huku akiandamana na misururu ya wapambe, mimi binafsi naona kwamba rais huyu anafaa kuheshimiwa na kuachwa apumzike pasipo kumsukasuka kwa namna yoyote ile. Sikuona haja ya dr magufuli kuishambulia serikali ya kikwete kwa udhaifu wake wakati naye alikuwemo humo humo kwenye serikali pasipo kutoa ushauri jinsi ya kuendesha serikali kwa ufanisi. Sasa ameona mzee wa watu amejistaafia na kwenda msoga kulea wajukuu na kulima mananasi anaanza kumshambulia huku akijua kwamba hawezi kumjibu wala kujitetea.

Kama dr magufuli anadhani ataperform vizuri zaidi ya kikwete basi afanye hivyo kwa vitendo pasipo kugandamizia chochote kutoka serikali iliyopita, anayoiona ni dhaifu, ijapokuwa naye alikuwa mmoja wa watu waliokuwa wanaunda baraza la mawaziri la kikwete. Sipendi kabisa tabia hii ya kujikweza na kujiona maarufu kwa kutumia udhaifu wa watu wengine. Nadhani sio mimi tu, hata wadau wengi humu jukwaani mnaniunga mkono katika hili.

Mungu nibariki mimi, mungu ibariki tanzania, mungu ibariki afrika, mungu ibariki dunia nzima.

:yield:

Cc: faizafoxy ritz thatha mwanadiwani jingalao tatamadiba lizaboni simiyu yetu mingoi mahakama ya katiba t 2015 ccm mwa4

mzeee jaribu kutumia akili kidogo katika kutafriri mambo ulitaka mzee afiche ukweli wakati mambo yanajidhihirisha ukweli taifa limerudi nyuma sana na ni haki ya magufuli kuwaweka wazi watanzania "openess"and "accountability " is what we need and are the best character of a good leader
 
Last edited by a moderator:
Jipu huuma sana na dawa yake ni kulitumbua tu ili lipone watu husema historia nayo ni mwalimu kwa hiyo watawala watakuwa wanajifunza kwa madhaifu yake, ni sawa na kusema kwamba unapomuona mwenzako amejikwaa mkiwa njia moja wewe uliye nyuma yake kama kweli hutaki kujikwaa kwa makusudi Utakuw mwangalifu acha ukweli usemwe
 
Kitendo cha Rais, Dr John Pombe Magufuli, kuwadhalilisha Dr Jakaya Mrisho Kitwete na marais wa zamani mnamo tarehe 20/11/2015 wakati alipokuwa analihutubia bunge hakikubaliki hata kidogo. Kutumia udhaifu wa viongozi hao, huku akiwashambulia wazi wazi, hasa Dr Kikwete, hakikubaliki katika jamii ya watu wastaarabu na ambao wamejijengea misingi ya kuheshimiana. Kumpalaza Dr Kikwete hadharani, hasa katika suala la safari zake zilizoligharimu taifa hili mabilioni ya shilingi, sio jambo jema na halijengi sura nzuri katika jamii ya watu wanaoheshimiana na kulindiana heshima.

Hata kama JK katika utawala wake alifanikiwa kutalii karibu dunia nzima huku akiandamana na misururu ya wapambe, mimi binafsi naona kwamba Rais huyu anafaa kuheshimiwa na kuachwa apumzike pasipo kumsukasuka kwa namna yoyote ile. Sikuona haja ya Dr Magufuli kuishambulia serikali ya Kikwete kwa udhaifu wake wakati naye alikuwemo humo humo kwenye serikali pasipo kutoa ushauri jinsi ya kuendesha serikali kwa ufanisi. Sasa ameona mzee wa watu amejistaafia na kwenda Msoga kulea wajukuu na kulima mananasi anaanza kumshambulia huku akijua kwamba hawezi kumjibu wala kujitetea.

Kama Dr Magufuli anadhani ataperform vizuri zaidi ya Kikwete basi afanye hivyo kwa vitendo pasipo kugandamizia chochote kutoka serikali iliyopita, anayoiona ni dhaifu, ijapokuwa naye alikuwa mmoja wa watu waliokuwa wanaunda baraza la mawaziri la Kikwete. Sipendi kabisa tabia hii ya kujikweza na kujiona maarufu kwa kutumia udhaifu wa watu wengine. Nadhani sio mimi tu, hata wadau wengi humu jukwaani mnaniunga mkono katika hili.

Mungu nibariki mimi, Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki dunia nzima.

:yield:

CC: FaizaFoxy Ritz thatha MwanaDiwani jingalao TataMadiba Lizaboni Simiyu Yetu Mingoi MAHAkama ya katiba T 2015 CCM mwa4

JPM alikuwa anatoa dira ya vile atalipeleka taifa alokabidhiwa kuliongoza ndani ya miaka mitano ya kwanza. Huwezi kwenda bila kujua vipaumbele pia huwezi kutekeleza vipaumbele vyako bila ya kutambua changamoto zilizopo katika hio hatua yako ya kuanza safar ya maendeleo. Sasa mkulu aliweka wazi changamoto na kwa bahati nzuri mengine kaweka na takwimu kabisa. Sasa sifad zinatokea wapi hapa? Mfano mwingine sheria ya manunuzi wakati mnyika alipokuwa akiipinga kwa hoja nzito wa upande mwingine walipitisha kwa ndioooooo.... upo ushahidi wa picha haya yakitokea. Sasa JPM kaiweka kama vile alikuwa ukawa ndani ya jukwaa la ccm. Hio ndio kweli na hayo ndio mabadiliko tunayoyataka haiwezekani leo wewe ufanye mambo ukiwa na akili zako timamu, mambo ambayo yanatuzamisha alafu kesho tunyamaze tu eti kisa tunatafuta sifa, kuna maana ipi sasa ya kuwa na takwimu.
 
Last edited by a moderator:
Watanzania hamueleweki? Mnalalama matumizi ya serikali makubwa halafu Kaja mtu msema kweli anaguza maeneo ya kuthibiti na Anglia tena Huyu mleta Uzi anasema nini. Nahisi huyu bwana Ana bifu n.a. Magufuli n.a. atapinga chochote atakachokifanya. Poor you.

Waliokuwa wanamlalamikia JK syo wanaomlalikia JP
 
yaani wajinga wako wengi namna hii? ndiyo maana hatuendelei. Kwa nini asikemee, yaani aendelee tu kufumbia macho?
amkeni nyinyi mliolala.
 
Mh magufuli endelea kutumbua majipu
Makubwa makubwa
Na madogo pia

Ukiona mtu anamlalamikia mh rais wakat anatumbua majipu hayo
Ujue na yy amedondokewa usaha

viva jpm
Rais wa kihistoria
Rais mzalendo

Upo sawa mkuu
 
Bila kuikashifu serikali ya JK hawezi kukubalika kwa wananchi. Baada ya miezi 6 business as usual.
 
Mnaomshambulia mleta Uzi huenda hamkumwelewa alichosema. Yeye anapingana na staili hii ya kushambuliana hadharani kwa watu tuliowaheshimu Sana kipindi hicho kuwa siyo sahihi Sana. Alichotakiwa no kufanya usahihi kimyakimya bila kulalama. Vinginevyo kakosea sana. Ni kweli katika utendaji yapo makosa lakini ukipewa nafasi rekebisha bila kulaumu. Na kwa upande mwingine yeye alikuwa mmoja wa wanafamilia wa serikali iliyomaliza muda wake. Alishauri mini juu ya anayolaumu? Atulie na ajipange jinsi ya kutenda vinginevyo akiharibu yeye italeta shida zaidi.
 
Kumbe bado mnatetea maov.... Watanzania bana akikaa kimya anawaogopa au wanamkontrol..... Ha ha ha chamsingi tumpe support afanye kazi yake....
 
Kitendo cha Rais, Dr John Pombe Magufuli, kuwadhalilisha Dr Jakaya Mrisho Kitwete na marais wa zamani mnamo tarehe 20/11/2015 wakati alipokuwa analihutubia bunge hakikubaliki hata kidogo.

Kutumia udhaifu wa viongozi hao, huku akiwashambulia wazi wazi, hasa Dr Kikwete, hakikubaliki katika jamii ya watu wastaarabu na ambao wamejijengea misingi ya kuheshimiana.

Kumpalaza Dr Kikwete hadharani, hasa katika suala la safari zake zilizoligharimu taifa hili mabilioni ya shilingi, sio jambo jema na halijengi sura nzuri katika jamii ya watu wanaoheshimiana na kulindiana heshima.

Hata kama JK katika utawala wake alifanikiwa kutalii karibu dunia nzima huku akiandamana na misururu ya wapambe, mimi binafsi naona kwamba Rais huyu anafaa kuheshimiwa na kuachwa apumzike pasipo kumsukasuka kwa namna yoyote ile.

Sikuona haja ya Dr Magufuli kuishambulia serikali ya Kikwete kwa udhaifu wake wakati naye alikuwemo humo humo kwenye serikali pasipo kutoa ushauri jinsi ya kuendesha serikali kwa ufanisi. Sasa ameona mzee wa watu amejistaafia na kwenda Msoga kulea wajukuu na kulima mananasi anaanza kumshambulia huku akijua kwamba hawezi kumjibu wala kujitetea.

Kama Dr Magufuli anadhani ataperform vizuri zaidi ya Kikwete basi afanye hivyo kwa vitendo pasipo kugandamizia chochote kutoka serikali iliyopita, anayoiona ni dhaifu, ijapokuwa naye alikuwa mmoja wa watu waliokuwa wanaunda baraza la mawaziri la Kikwete. Sipendi kabisa tabia hii ya kujikweza na kujiona maarufu kwa kutumia udhaifu wa watu wengine. Nadhani sio mimi tu, hata wadau wengi humu jukwaani mnaniunga mkono katika hili.

Mungu nibariki mimi, Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki dunia nzima.

:yield:

CC: FaizaFoxy Ritz thatha MwanaDiwani jingalao TataMadiba Lizaboni Simiyu Yetu Mingoi MAHAkama ya katiba T 2015 CCM mwa4

Wewe acha utoto, mficha uchi hazai... Sasa kamuaibisha vipi? wakati alikua anatoa madhara ya safari zisizo na tija kwa taifa na bunge. Kama wewe unapenda huo ubadhirifu utafuraia akikaa kimya. Kama JK hakuliweza, kwanza ni JK aliyekiri kuwa magufuli ni bora kuliko yeye. Kwa hiyo ukiona ujasiri wake wewe pigia mstari
 
KUONEANA AIBU,UNAFIKI nk ndio vinatukwamisha,amesema ukweli tuukubali udhaifu tubadilike kuliko kufunikafunika uozo
 
Magufuli hana hekima angejifunza kwa Lowassa pamoja na kushambuliwa hata na JK yeye hakumjibu. Hata hvyo malipo hapa hapa duniani na JK alimshambulia Lowassa kwa hiyo asikasirike.

Hakuna cha malipo ya hivyo, magufuli yupo kazini, aliwaambia yeye hataki kuwa mnafiki
 
Mbona huyu JPM akiwa WAZIRI alikuwa anatetea safari za raisi na kusema zilikuwa na tija ndiyo maana mabarabara yamejengwa? Hapo hakuwa mnafiki? Namuunga mkono kupiga marufuku safari za nje zisizo na tija ila naye akiwa waziri alikuwa anamtetea raisi wake. Iweje leo?

Ukitaka cha uvunguni sharti uiname, lakini ukikipata sharti usimamee
 
Back
Top Bottom