Magufuli, acha kujitafutia sifa kwa mfumo huu

kizuri kisifie na kibaya kikemeee.. ndicho raisi wetu alichofanya. kuna njia nyingi za kudeliver ujumbe. kuna makavu laivu na kuna njia ya kusema chini chini.. sasa hizo njia zinategema kati ya mtu na mtu. Raisi Magufuli sio mtu wa chini chini nadhani naww unalielewa hilo mleta mada.. sasakinachonishangaza ni kwa nn ''unalia lia'' wakati fika unamuelewa raisi wetu ni mtu wa aina gani..#period
 
ni kweli safari za nje zilikuwa zinatumia mamilioni ya pesa za WANANCHI. sisi wananchi ambao pesa zetu zilikuwa zinapotea tupo kimya lakini magufuli inaonekana yeye ndiye zinamuwasha sana utadhani ni pesa zake. mbona sisi wananchi tunalala chini hospitalini na wala hatupati tiba inayoeleweka lakini tuko kimya? na mbona watoto wetu wanasomea chini ya miembe na kukalia matofali lakini tupo kimya?....yeye magufuli kinamuwasha nini hadi awe mkali na pesa za wananchi? kwani hizo pesa ni zake mpaka amuwakie kikwete kwa kuzipoteza kwenye safari na matumizi mengine ya kipuuzi? magufuli akae kimya kama sisi tulivyokaa kimya na kumspapoti jk na serikali yake...tunaoumia ni sisi raia wa kawaida....bwana magufuli afunge mdomo wake amuache rais wetu mstaafu apumzike.
 
sawa kiongozi ila fahamu kuwa kila mtu hupenda sifa ila style ya kutafuta hizo sifa hazifanani.
 
Kitendo cha Rais, Dr John Pombe Magufuli, kuwadhalilisha Dr Jakaya Mrisho Kitwete na marais wa zamani mnamo tarehe 20/11/2015 wakati alipokuwa analihutubia bunge hakikubaliki hata kidogo.

Kutumia udhaifu wa viongozi hao, huku akiwashambulia wazi wazi, hasa Dr Kikwete, hakikubaliki katika jamii ya watu wastaarabu na ambao wamejijengea misingi ya kuheshimiana.

Kumpalaza Dr Kikwete hadharani, hasa katika suala la safari zake zilizoligharimu taifa hili mabilioni ya shilingi, sio jambo jema na halijengi sura nzuri katika jamii ya watu wanaoheshimiana na kulindiana heshima.

Hata kama JK katika utawala wake alifanikiwa kutalii karibu dunia nzima huku akiandamana na misururu ya wapambe, mimi binafsi naona kwamba Rais huyu anafaa kuheshimiwa na kuachwa apumzike pasipo kumsukasuka kwa namna yoyote ile.

Sikuona haja ya Dr Magufuli kuishambulia serikali ya Kikwete kwa udhaifu wake wakati naye alikuwemo humo humo kwenye serikali pasipo kutoa ushauri jinsi ya kuendesha serikali kwa ufanisi. Sasa ameona mzee wa watu amejistaafia na kwenda Msoga kulea wajukuu na kulima mananasi anaanza kumshambulia huku akijua kwamba hawezi kumjibu wala kujitetea.

Kama Dr Magufuli anadhani ataperform vizuri zaidi ya Kikwete basi afanye hivyo kwa vitendo pasipo kugandamizia chochote kutoka serikali iliyopita, anayoiona ni dhaifu, ijapokuwa naye alikuwa mmoja wa watu waliokuwa wanaunda baraza la mawaziri la Kikwete. Sipendi kabisa tabia hii ya kujikweza na kujiona maarufu kwa kutumia udhaifu wa watu wengine. Nadhani sio mimi tu, hata wadau wengi humu jukwaani mnaniunga mkono katika hili.

Mungu nibariki mimi, Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki dunia nzima.

:yield:

CC: FaizaFoxy Ritz thatha MwanaDiwani jingalao TataMadiba Lizaboni Simiyu Yetu Mingoi MAHAkama ya katiba T 2015 CCM mwa4

Umeandika kwa lengo la kuyafanya hayo maneno ya Magufuli yasikike zaidi au kweli unaamini hakustahili kusema hayo? Huwezi kuishi kwa kutukuza hata uchafu ulifanyika na mtu mwingine eti tu kwa sababu alikuwa anaheshimiwa. Kwanza hiyo heshima ni ya nini wakati huu ambao tunaangalia mbele kwa ajili ya maendeleo.

Hatuwezi kuendelea kwa kuleana. Tunataka uozo ufukuliwe na ingekuwa inawezekana basi watu wafikishwe kwenye vyombo vya sheria. Iceland walimfikisha rais wao mahakamani kwa kushindwa kusimamia uchumi wa nchi. Sasa leo hii wewe unatetea mtu aliyeonyesha mapungufu kiasi hicho!

btw, nini sababu ya kubadili rais kama itakuwa ni kupeana sifa tu!!
 
Kitendo cha Rais, Dr John Pombe Magufuli, kuwadhalilisha Dr Jakaya Mrisho Kitwete na marais wa zamani mnamo tarehe 20/11/2015 wakati alipokuwa analihutubia bunge hakikubaliki hata kidogo.

Kutumia udhaifu wa viongozi hao, huku akiwashambulia wazi wazi, hasa Dr Kikwete, hakikubaliki katika jamii ya watu wastaarabu na ambao wamejijengea misingi ya kuheshimiana.

Kumpalaza Dr Kikwete hadharani, hasa katika suala la safari zake zilizoligharimu taifa hili mabilioni ya shilingi, sio jambo jema na halijengi sura nzuri katika jamii ya watu wanaoheshimiana na kulindiana heshima.

Hata kama JK katika utawala wake alifanikiwa kutalii karibu dunia nzima huku akiandamana na misururu ya wapambe, mimi binafsi naona kwamba Rais huyu anafaa kuheshimiwa na kuachwa apumzike pasipo kumsukasuka kwa namna yoyote ile.

Sikuona haja ya Dr Magufuli kuishambulia serikali ya Kikwete kwa udhaifu wake wakati naye alikuwemo humo humo kwenye serikali pasipo kutoa ushauri jinsi ya kuendesha serikali kwa ufanisi. Sasa ameona mzee wa watu amejistaafia na kwenda Msoga kulea wajukuu na kulima mananasi anaanza kumshambulia huku akijua kwamba hawezi kumjibu wala kujitetea.

Kama Dr Magufuli anadhani ataperform vizuri zaidi ya Kikwete basi afanye hivyo kwa vitendo pasipo kugandamizia chochote kutoka serikali iliyopita, anayoiona ni dhaifu, ijapokuwa naye alikuwa mmoja wa watu waliokuwa wanaunda baraza la mawaziri la Kikwete. Sipendi kabisa tabia hii ya kujikweza na kujiona maarufu kwa kutumia udhaifu wa watu wengine. Nadhani sio mimi tu, hata wadau wengi humu jukwaani mnaniunga mkono katika hili.

Mungu nibariki mimi, Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki dunia nzima.

:yield:

CC: FaizaFoxy Ritz thatha MwanaDiwani jingalao TataMadiba Lizaboni Simiyu Yetu Mingoi MAHAkama ya katiba T 2015 CCM mwa4

Kwa wenye akili tumekusoma mkuu
 
Mbona huyu JPM akiwa WAZIRI alikuwa anatetea safari za raisi na kusema zilikuwa na tija ndiyo maana mabarabara yamejengwa? Hapo hakuwa mnafiki? Namuunga mkono kupiga marufuku safari za nje zisizo na tija ila naye akiwa waziri alikuwa anamtetea raisi wake. Iweje leo?

Mkuu hayo ni maigizo au maz8ngaombwe tu
 
Magufuri jembe halembi ukiharibu palepale anakuweka hewani.kwanza kasi isha ukweli jamaa katalii sana mafua tu UK tezi dumee UK
 
Magufuri alisema ukweli, na JK ajue kuwa alituchosha na kuturudisha nyuma
 
hamdhalilishi mtu....kila zama na vitabu vyake....he is busy creating his own legacy...
 
Hakuna njia nyingine ya kuikomboa na kuipigisha hatua Tanzania isipokuwa ya magufuli, hatutaki Habari za kutunishiana magari na nyumba za mikopo ndani ya nchi. Tunataka tufike mahali pa kusimama mbele ya mataifa mengine. Hatutaki hali ya kutukanwa maraisi wetu na wale wa nje, tunataka hivi waige kwetu
 
Kitendo cha Rais, Dr John Pombe Magufuli, kuwadhalilisha Dr Jakaya Mrisho Kitwete na marais wa zamani mnamo tarehe 20/11/2015 wakati alipokuwa analihutubia bunge hakikubaliki hata kidogo.

Kutumia udhaifu wa viongozi hao, huku akiwashambulia wazi wazi, hasa Dr Kikwete, hakikubaliki katika jamii ya watu wastaarabu na ambao wamejijengea misingi ya kuheshimiana.

Kumpalaza Dr Kikwete hadharani, hasa katika suala la safari zake zilizoligharimu taifa hili mabilioni ya shilingi, sio jambo jema na halijengi sura nzuri katika jamii ya watu wanaoheshimiana na kulindiana heshima.

Hata kama JK katika utawala wake alifanikiwa kutalii karibu dunia nzima huku akiandamana na misururu ya wapambe, mimi binafsi naona kwamba Rais huyu anafaa kuheshimiwa na kuachwa apumzike pasipo kumsukasuka kwa namna yoyote ile.

Sikuona haja ya Dr Magufuli kuishambulia serikali ya Kikwete kwa udhaifu wake wakati naye alikuwemo humo humo kwenye serikali pasipo kutoa ushauri jinsi ya kuendesha serikali kwa ufanisi. Sasa ameona mzee wa watu amejistaafia na kwenda Msoga kulea wajukuu na kulima mananasi anaanza kumshambulia huku akijua kwamba hawezi kumjibu wala kujitetea.

Kama Dr Magufuli anadhani ataperform vizuri zaidi ya Kikwete basi afanye hivyo kwa vitendo pasipo kugandamizia chochote kutoka serikali iliyopita, anayoiona ni dhaifu, ijapokuwa naye alikuwa mmoja wa watu waliokuwa wanaunda baraza la mawaziri la Kikwete. Sipendi kabisa tabia hii ya kujikweza na kujiona maarufu kwa kutumia udhaifu wa watu wengine. Nadhani sio mimi tu, hata wadau wengi humu jukwaani mnaniunga mkono katika hili.

Mungu nibariki mimi, Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki dunia nzima.

:yield:

CC: FaizaFoxy Ritz thatha MwanaDiwani jingalao TataMadiba Lizaboni Simiyu Yetu Mingoi MAHAkama ya katiba T 2015 CCM mwa4

Ni mmoja ya watu wasio na uwezo wa kusikiliza na kuchambua hotuba magufuli kazungumzia safari na matumizi ya watendaji. Sio ziara za rais
 
Magufuli bado ni trainee kwny ajira yake hii mpya, bila shaka anahitaji sana msaada wa ushauri toka kwa watangulizi wake....kuwadhalilisha hadharani ni nzuri kwa upande wake hasa akihitaji sifa za waliomchagua, ila ni mbaya sana pale atakapohitaji msaada toka kwa kaka zake, mfano kwny mgogoro wa Zanzibar kina Mkapa na Kikwete wanahitajika sana#

Hebu tujikumbushe ya Mkapa alieingia madarakani akiwa msafi hana doa (Mr Clean), lakini alikuja kumaliza uongozi wake akiwa amechafuka kupindukia!

Kila lakheri Dk Magufuli, ila angalia usije ukatukana mamba kabla hujavuka mto!
haya ya kuomb msaada kwa waliomtangulia ndio tumeyakataa,,, muachni afanye kazi
 
Mbona huyu JPM akiwa WAZIRI alikuwa anatetea safari za raisi na kusema zilikuwa na tija ndiyo maana mabarabara yamejengwa? Hapo hakuwa mnafiki? Namuunga mkono kupiga marufuku safari za nje zisizo na tija ila naye akiwa waziri alikuwa anamtetea raisi wake. Iweje leo?
ndio kashika nyundo hivyo hawezi kufany kazi kimazoes
 
magufuli haiti jembe koleo. kila kitu kwa jina lake. ndio maana alimuomba radhi jk ili kusema kweli inayogusa utawala wake. huwezi kurekebisha kosa bila kuliweka bayana. hata jpm atakapomaliza yapo mambo atakua amekoroga na atasemwa. sote tumuombee mungu aweze kupambana na ufisadi ambao umekidhiri na kuweza kumaliza awamu yake kwa ufanisi mkubwa.
 
Huyu mleta mada ni miongoni mwa walio bebwa na huyo VASCO DA GAMA ndio maana analialia.wapambe nuksi sana. Haya nendeni mkamsaidie kulia huko msoga.Huyu MAGUFULI ni CDM ndani ya ccm
 
Kitendo cha Rais, Dr John Pombe Magufuli, kuwadhalilisha Dr Jakaya Mrisho Kitwete na marais wa zamani mnamo tarehe 20/11/2015 wakati alipokuwa analihutubia bunge hakikubaliki hata kidogo.

Kutumia udhaifu wa viongozi hao, huku akiwashambulia wazi wazi, hasa Dr Kikwete, hakikubaliki katika jamii ya watu wastaarabu na ambao wamejijengea misingi ya kuheshimiana.

Kumpalaza Dr Kikwete hadharani, hasa katika suala la safari zake zilizoligharimu taifa hili mabilioni ya shilingi, sio jambo jema na halijengi sura nzuri katika jamii ya watu wanaoheshimiana na kulindiana heshima.

Hata kama JK katika utawala wake alifanikiwa kutalii karibu dunia nzima huku akiandamana na misururu ya wapambe, mimi binafsi naona kwamba Rais huyu anafaa kuheshimiwa na kuachwa apumzike pasipo kumsukasuka kwa namna yoyote ile.

Sikuona haja ya Dr Magufuli kuishambulia serikali ya Kikwete kwa udhaifu wake wakati naye alikuwemo humo humo kwenye serikali pasipo kutoa ushauri jinsi ya kuendesha serikali kwa ufanisi. Sasa ameona mzee wa watu amejistaafia na kwenda Msoga kulea wajukuu na kulima mananasi anaanza kumshambulia huku akijua kwamba hawezi kumjibu wala kujitetea.

Kama Dr Magufuli anadhani ataperform vizuri zaidi ya Kikwete basi afanye hivyo kwa vitendo pasipo kugandamizia chochote kutoka serikali iliyopita, anayoiona ni dhaifu, ijapokuwa naye alikuwa mmoja wa watu waliokuwa wanaunda baraza la mawaziri la Kikwete. Sipendi kabisa tabia hii ya kujikweza na kujiona maarufu kwa kutumia udhaifu wa watu wengine. Nadhani sio mimi tu, hata wadau wengi humu jukwaani mnaniunga mkono katika hili.

Mungu nibariki mimi, Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki dunia nzima.

:yield:

CC: FaizaFoxy Ritz thatha MwanaDiwani jingalao TataMadiba Lizaboni Simiyu Yetu Mingoi MAHAkama ya katiba T 2015 CCM mwa4

Sasa kama anajiamini atafanya kazi kama tulivyokua tukimuona siku zote ktk wizara kwa nini atetee pale palipoyumba kwa kuwaogopa watangulizi wake?yeye sasa hv ndo amili jeshi mkuu mwenye mamlaka,acha afanyie kazi yale tuliyoyalalamikia.ikibidi asitumie ushauli wao pia,anajiamini na ndo mana amekua mtenda kazi mzuri ktk nyazifa za uwazili ktk wizara,we unataka tena watu wabebane ktk madhaifu afu baada ya muda tuanze kulalamika tena
 
Unafiki haukabili. Jk alikua zaidi ya vasco dagama...magufi piga kazi baba timiza ilani za vyama vyote
 
Huyu mleta mada ni miongoni mwa walio bebwa na huyo VASCO DA GAMA ndio maana analialia.wapambe nuksi sana. Haya nendeni mkamsaidie kulia huko msoga.Huyu MAGUFULI ni CDM ndani ya ccm

Magufuli hakumtaja Kikwete kwenye hotuba yake! msimlishe maneno! Naona MNA hamu ya kumsema Kikwete kwa kujificha nyuma ya hotuba ya magufuli! Huo ni woga!
 
Back
Top Bottom