Magufuli, acha kujitafutia sifa kwa mfumo huu

Magufuli, acha kujitafutia sifa kwa mfumo huu

Sidhan kama una maanisha unachosema, manake imekaa kama kejeli hiv,na uliowatag sasa
 
Mimi ninatoka katika moja ya makabila yenye sifa nzuri mno,lakini pia kabila langu lina tabia chache za hovyo mno. Unafiki kwa wakubwa zetu. Uthibitisho baba mzazi akiachia hewa chafu(ushuzi) kimya kimya bila kutoa mlio anakuwa wa kwanza kushika pua na kufoka" nani huyo kachafua hali ya hewa?) Kwa nini hasogei pembeni? Na watoto wote kimya hata kama mnajua ni baba yetu kachafua na bado anafoka. Tunataka mabadiliko ndicho tulichosema. Tudumishe heshima kwa wakubwa zetu ila wakikosea tuseme.

Nadhani si kabira lako ila ni tatatizo la baba yako usihusishe ujinga huo kwa wengine, umefanya jambo jema kujipambanua mwenyewe, ila nakupa pole na familia yako.
 
watu sjui wamelogwa,mnataka nini sasa?akiongea shida,asipoongea shida acheni ujinga,kasema ukweli kwan kadanganya???????????kutunziana heshima ndiko kukoturudisha nyuma,ukweli utaelezwa tu
 
Mwandishi umeongea kwa mafumbo!!
Hoja yako inaongezea chumvi tuone maumivu aliyotuachia JK!!
Nimependa bango lako

asante sana kwa kuling'amua hilo mkuu....wachangiaji wengi bado hawajaelewa mada. kama huu ungekuwa mtihani 90% ya wanafunzi wangefeli. lakini nashukuru kwamba KIPIMAJOTO changu hiki cha aina yake kimeniwezesha kugundua jambo moja muhimu sana...kwamba watanzania wengi walikuwa wamechoshwa na utawala wa VASCO DA GAMA.
 
Mwandishi umeongea kwa mafumbo!!
Hoja yako inaongezea chumvi tuone maumivu aliyotuachia JK!!
Nimependa bango lako

Sidhan kama una maanisha unachosema, manake imekaa kama kejeli hiv,na uliowatag sasa

wakuu, naona nyie mmefanikiwa kabisa kutegua kitendawili hiki nilichowategea watu wameshindwa kuking'amua. kumbe watu wamezoea kuandikiwa stori zinazojielekeza moja kwa moja kwenye tageti. ila uzuri ni kwamba nimepata jawabu nililokuwa nalitafuta...watanzania wa leo sio wale wa zidumu fikra za mwalimu...hiki ndicho nilichokuwa napima kwenye uzi huu na jawabu limepatikana.
 
Nasikia 'eti' kwa hasira ameamua ku delete namba ya simu ya Dr. JPM kwenye phone book yake?
 
Mkuu nakuunga mkono katika hilo,jamaa na kampenni zote zile alizopigiwa mpaka akashinda Kuwa Mr president but still anaponda,,,,hivi hajui kulee Mr Jakaya alikuwa anaenda kufanya ishu gain na wakati gani


Na kama hizi safari za nje ya nchi zimezuiliwa na Mr raisi basi haina haja TANZANIA Kuwa mwanachama wa jumyiya yeyote ile iwe SADEC,COMESA,EAST AFRICA COMMUNITY,,, maana still bado ni mwanachama hadi sasa tutashuuhudia safari nyingi sana nje ya nchi,,,,,,labda tujitoa katika hizo jumuiya kama tulivyofanya kwenye COMESA (lakini tulijiunga tena sababu zilikuwa ni maslahi na sio za ki siasa au kuzuia frequently trip outside) mi n

MI NAFIKIRI STILL BADO TANZANIA NI MWANACHAMA WA JUMUIYA NYINGI KUTAKUWA NA SAFARI NYINGI SANA UKIZINGATIA NA HILI SWALA LA ZANZIBAR LA UCHAGUZI MBONA TRIP ZITAKUWA NYIINGI


AM DONE.....
 
Nafikiri wewe ni mmoja wa wadau wa jk na mvivu mkubwa,magufuli ni mkweli na hana unafiki.Nchi ilipofika inahataji mtu wa namna yake na udikteta sio kuchekeana na kulindana
 
Mwandishi umeongea kwa mafumbo!!
Hoja yako inaongezea chumvi tuone maumivu aliyotuachia JK!!
Nimependa bango lako

pamoja sana kwa kung'amua fumbo hili mkuu. humu jf wajinga bado wengi....eti wananishambulia badala ya kunipongeza kwa kuanika ukweli. hii nchi imetopea sana kwenye ujinga hasa baada ya CCM kuharibu elimu yetu.
 
pamoja sana kwa kung'amua fumbo hili mkuu. humu jf wajinga bado wengi....eti wananishambulia badala ya kunipongeza kwa kuanika ukweli. hii nchi imetopea sana kwenye ujinga hasa baada ya CCM kuharibu elimu yetu.
Huna lolote pumba tupu
 
Back
Top Bottom