Matty96
JF-Expert Member
- Jul 1, 2013
- 215
- 194
mnafiki ni nani mkuu? kikwete, mkapa au mwinyi? kwa hiyo wewe unafurahia kuona wazee wetu wastaafu wakidhalilishwa hadharani? you can't be serious mkuu!
mnafiki ni yeyote anayeficha mambo mabaya mtu alofanya kwa ajili eti ya kulinda heshima... Ela za wananchi zimepotea bila sababu za msingi alafu ikiongelewa mbele ya wananchi ili kuwafungua akili na kuwafanya wafanye kazi kwa umakini zaidi kwa ajili ya nchi yao hautaki tena!! Eti kulinda heshima!!! Kikwete kama raisi aliwaheshimu wananchi wake!!? kina mama kulala chini hospitali na pesa kutumika ovyo ni heshima!?.. Acha kuwa mnafiki mkuu.. kwenye ukweli lazima uwekwe wazi.. haifai kuwa na nidhamu ya uoga eti ili ulinde heshima... Think Big