Magufuli, acha kujitafutia sifa kwa mfumo huu

Tena bora angewataja kwa majina .kabisaaa. .unataka kuwaficha kwa nini. Viongozi wote waliopita walikuwa na msimamo wa kuiba na kutoka matajiri. Napenda kusema ukweli magufuli. Na ikiwezekana account zao ziwe frozen.
Unasema alikuwemo lakini hakuwa raisi .sada ni raisi na ana jukumu kutoka kutu yote ilikuwepo na kutoa wote mawaziri wasio na nia nzuri na wananchi.
 
How long are we going to be hypocrites??? Yaani ni unafiki live, kosa la Magufuli ni nini? Yaani kweli watu wanafurahi 1 year 356 billions zitumike....eti mwache apumzike kwa furaha. That's stupidity!!! How long are we going to be honest? How long are we going to call spade a spade???? Plz wacheni aseme ukweli and aweze kuact.

Kama ingekuwa Tuko makini tungeanza kufanya assessment and evaluation ya kazi ya waliopita na kufungulia mashitaka kwa yale waliyofanya kwa makosa.
 
Sioni kosa la magufuli juu ya kauli zake hizooo,bali magufuli ameongea kitu ambacho ni kweli kwa kila aliyesikia,kama kusema ukweli ni dhambi basi magufuli asulubiwe,above all i still believe in lowassa
 
Kitendo cha Rais, Dr John Pombe Magufuli, kuwadhalilisha Dr Jakaya Mrisho Kitwete na marais wa zamani mnamo tarehe 20/11/2015 wakati alipokuwa analihutubia bunge hakikubaliki hata kidogo.

Kutumia udhaifu wa viongozi hao, huku akiwashambulia wazi wazi, hasa Dr Kikwete, hakikubaliki katika jamii ya watu wastaarabu na ambao wamejijengea misingi ya kuheshimiana.

Kumpalaza Dr Kikwete hadharani, hasa katika suala la safari zake zilizoligharimu taifa hili mabilioni ya shilingi, sio jambo jema na halijengi sura nzuri katika jamii ya watu wanaoheshimiana na kulindiana heshima.

Hata kama JK katika utawala wake alifanikiwa kutalii karibu dunia nzima huku akiandamana na misururu ya wapambe, mimi binafsi naona kwamba Rais huyu anafaa kuheshimiwa na kuachwa apumzike pasipo kumsukasuka kwa namna yoyote ile.

Sikuona haja ya Dr Magufuli kuishambulia serikali ya Kikwete kwa udhaifu wake wakati naye alikuwemo humo humo kwenye serikali pasipo kutoa ushauri jinsi ya kuendesha serikali kwa ufanisi. Sasa ameona mzee wa watu amejistaafia na kwenda Msoga kulea wajukuu na kulima mananasi anaanza kumshambulia huku akijua kwamba hawezi kumjibu wala kujitetea.

Kama Dr Magufuli anadhani ataperform vizuri zaidi ya Kikwete basi afanye hivyo kwa vitendo pasipo kugandamizia chochote kutoka serikali iliyopita, anayoiona ni dhaifu, ijapokuwa naye alikuwa mmoja wa watu waliokuwa wanaunda baraza la mawaziri la Kikwete. Sipendi kabisa tabia hii ya kujikweza na kujiona maarufu kwa kutumia udhaifu wa watu wengine. Nadhani sio mimi tu, hata wadau wengi humu jukwaani mnaniunga mkono katika hili.

Mungu nibariki mimi, Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki dunia nzima.

:yield:

CC: FaizaFoxy Ritz thatha MwanaDiwani jingalao TataMadiba Lizaboni Simiyu Yetu Mingoi

MAHA
kama ya katiba T 2015 CCM mwa4

Plz tumia mda wako kuandika vitu vya kutusaidia, huu ni unafiki tu. Mna choma moto wezi wa kuiba kuku how much more hao wanaotuibia pesa kwa matumizi mabaya. Raisi mpya kaeleza tu ukweli mnasema anafanya vibaya. Wewe unaona hilo ni shambulio???...kwa mawazo kama haya we have a long way to go as a nation! No responsibility, no accountability and no intergrity. Na hiyo ndio awamu iliyopita😭😭😭
 
Njomloli, kama imebainika wazi kwamba rais mstaafu JK alitumia vibaya ofisi yake na madaraka yake aondolewe kinga na apelekwe mbele ya sheria, huu utakuwa mwarobaini kwa viongozi kuogopa kufuja mali za umma. Rais anazurura huku nakule kama mbayuwayu!!! Kama Dr Magufuli anaweza kutumbua majipu yawauza madawa ya kulevya, mafisadi, walio weka fedha uwiss ambao JK alikuwa anasema kila wakati majina anayo atayatangaza. Alishindwa kufanya hivyo kwa hofu kwamba labda nae alikiwa akitumiwa kama kinga. Dr Magufuli yatumbue bila woga , lakini jipe mda wa kutafakari jinsi utakavyo panga mapigano yako na "NGUVU" zako za msaada.
 
Mimi ninatoka katika moja ya makabila yenye sifa nzuri mno,lakini pia kabila langu lina tabia chache za hovyo mno. Unafiki kwa wakubwa zetu. Uthibitisho baba mzazi akiachia hewa chafu(ushuzi) kimya kimya bila kutoa mlio anakuwa wa kwanza kushika pua na kufoka" nani huyo kachafua hali ya hewa?) Kwa nini hasogei pembeni? Na watoto wote kimya hata kama mnajua ni baba yetu kachafua na bado anafoka. Tunataka mabadiliko ndicho tulichosema. Tudumishe heshima kwa wakubwa zetu ila wakikosea tuseme.
 
Kuna mambo kama tusipobadilika hali yetu itazidi kuwa mbaya zaidi,Taifa zima kuanzia viongozi hadi wananchi tunapaswa kubadilika.Magufuli yote aliyoongea ni ukweli tuache unafiki

Anachosema magufuli ni cha kweli kabisa lakini hapaswi kuyaongea kwenye public, hizo ni sifa za kijinga.
Akifanya kazi watz tutaona na kumpongeza,
haina haja kabisa ya kudhalilisha wenzie.
Binafsi napenda maamzi yake ila sipendi misifa.
 
Asiposema tutajuaje mlengo wa serikali yake?au aanzenze kuwaita watendaji wa serikali mmoja mmoja kuwaeleza kuwa hataki safari za nje?Magufuli yupo sahihi sana.
 
"Ukitaka kumsaidia mtu mjinga mlazimishe ikiweze hata kwa mijeledi ili atambue na kuacha jambo baya,ipo siku akielevuka atakushukuru"....By me to JPM.
 
kitendo cha rais, dr john pombe magufuli, kuwadhalilisha dr jakaya mrisho kitwete na marais wa zamani mnamo tarehe 20/11/2015 wakati alipokuwa analihutubia bunge hakikubaliki hata kidogo.

Kutumia udhaifu wa viongozi hao, huku akiwashambulia wazi wazi, hasa dr kikwete, hakikubaliki katika jamii ya watu wastaarabu na ambao wamejijengea misingi ya kuheshimiana.

Kumpalaza dr kikwete hadharani, hasa katika suala la safari zake zilizoligharimu taifa hili mabilioni ya shilingi, sio jambo jema na halijengi sura nzuri katika jamii ya watu wanaoheshimiana na kulindiana heshima.

Hata kama jk katika utawala wake alifanikiwa kutalii karibu dunia nzima huku akiandamana na misururu ya wapambe, mimi binafsi naona kwamba rais huyu anafaa kuheshimiwa na kuachwa apumzike pasipo kumsukasuka kwa namna yoyote ile.

Sikuona haja ya dr magufuli kuishambulia serikali ya kikwete kwa udhaifu wake wakati naye alikuwemo humo humo kwenye serikali pasipo kutoa ushauri jinsi ya kuendesha serikali kwa ufanisi. Sasa ameona mzee wa watu amejistaafia na kwenda msoga kulea wajukuu na kulima mananasi anaanza kumshambulia huku akijua kwamba hawezi kumjibu wala kujitetea.

Kama dr magufuli anadhani ataperform vizuri zaidi ya kikwete basi afanye hivyo kwa vitendo pasipo kugandamizia chochote kutoka serikali iliyopita, anayoiona ni dhaifu, ijapokuwa naye alikuwa mmoja wa watu waliokuwa wanaunda baraza la mawaziri la kikwete. Sipendi kabisa tabia hii ya kujikweza na kujiona maarufu kwa kutumia udhaifu wa watu wengine. Nadhani sio mimi tu, hata wadau wengi humu jukwaani mnaniunga mkono katika hili.

Mungu nibariki mimi, mungu ibariki tanzania, mungu ibariki afrika, mungu ibariki dunia nzima.

:yield:

Cc: faizafoxy ritz thatha mwanadiwani jingalao tatamadiba lizaboni simiyu yetu mingoi mahakama ya katiba t 2015 ccm mwa4
wewe ni kilaza au na wewe ulikuwa unapiga pesa kutipia safari za rais kikwete nini? Sasa ngoja usugue benchi...!!
 
Kitendo cha Rais, Dr John Pombe Magufuli, kuwadhalilisha Dr Jakaya Mrisho Kitwete na marais wa zamani mnamo tarehe 20/11/2015 wakati alipokuwa analihutubia bunge hakikubaliki hata kidogo.

Kutumia udhaifu wa viongozi hao, huku akiwashambulia wazi wazi, hasa Dr Kikwete, hakikubaliki katika jamii ya watu wastaarabu na ambao wamejijengea misingi ya kuheshimiana.

Kumpalaza Dr Kikwete hadharani, hasa katika suala la safari zake zilizoligharimu taifa hili mabilioni ya shilingi, sio jambo jema na halijengi sura nzuri katika jamii ya watu wanaoheshimiana na kulindiana heshima.

Hata kama JK katika utawala wake alifanikiwa kutalii karibu dunia nzima huku akiandamana na misururu ya wapambe, mimi binafsi naona kwamba Rais huyu anafaa kuheshimiwa na kuachwa apumzike pasipo kumsukasuka kwa namna yoyote ile.

Sikuona haja ya Dr Magufuli kuishambulia serikali ya Kikwete kwa udhaifu wake wakati naye alikuwemo humo humo kwenye serikali pasipo kutoa ushauri jinsi ya kuendesha serikali kwa ufanisi. Sasa ameona mzee wa watu amejistaafia na kwenda Msoga kulea wajukuu na kulima mananasi anaanza kumshambulia huku akijua kwamba hawezi kumjibu wala kujitetea.

Kama Dr Magufuli anadhani ataperform vizuri zaidi ya Kikwete basi afanye hivyo kwa vitendo pasipo kugandamizia chochote kutoka serikali iliyopita, anayoiona ni dhaifu, ijapokuwa naye alikuwa mmoja wa watu waliokuwa wanaunda baraza la mawaziri la Kikwete. Sipendi kabisa tabia hii ya kujikweza na kujiona maarufu kwa kutumia udhaifu wa watu wengine. Nadhani sio mimi tu, hata wadau wengi humu jukwaani mnaniunga mkono katika hili.

Mungu nibariki mimi, Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki dunia nzima.

:yield:

CC: FaizaFoxy Ritz thatha MwanaDiwani jingalao TataMadiba Lizaboni Simiyu Yetu Mingoi MAHAkama ya katiba T 2015 CCM mwa4

Magufuli yuko sahihi kumsema Kikwete hadharani,maana Kikwete naye humsema na hata kuwatuma watu kumtukana Lowassa hadharani,WHAT GOES AROUND COMES AROUND
 
Unatumia nguvu nyingi sana lkn kumbuka liache shoka liitwe shoka ni habari za zamani sana mkubwa akijamba kusingiziwa mtoto, na balaa lililopo leo maovu ya wakubwa wetu yanasababisha hata mvua isinyeshe kupona kwetu ni kukemea pepo hili
 
Rais wetu mstaafu Kikwete tunampenda na tutaendelea kumpenda, kama unamchukia mchukie wewe! sisi bado tunayatambua mema aliyoyafanya ndani ya utawala wake.
 
Mwandishi umeongea kwa mafumbo!!
Hoja yako inaongezea chumvi tuone maumivu aliyotuachia JK!!
Nimependa bango lako
 
Jamani tumuombee magu huenda vilio vyetu tukavisahau, shida moja mmezoea kulindana huyu hanahilo hamuoni Kama nchaguo la mungu?
 
Back
Top Bottom