Sakata la NHIF na madudu ya Mashirika ya umma

MDAU TZ

Member
Jun 9, 2023
8
40
KITENDO cha Baazi ya vituo binafsi vya huduma ya afya kusitisha utoaji wa huduma hiyo kwa wanachama wa NHIF ulioanza leo Machi 1, ni ishara ya muendelezo wa uendeshaji mbovu wa mashirika ya uma yanayopelekea kudhorota kwa uendeshaji kunako sababishia hasara taifa.

Mgomo huo uliotolewa na baazi ya Taasisi za kubwa binafsi za afya umekuja baada ya uanzishajwi wa mfumo mpya wa mafao ambao ndani yake umepunguza gharama za matibabu na kuongeza baazi ya huduma kwa wanachama,kitendo ambacho wamiliki wa vituo binafsi vya afya kwao wanaona hasara.

SHIDA IKO WAPI?
Shida
inaanzia pale mfuko wa bima wa NHIF,umekuwa na ufanyajwi wa mabadiliko ya mara kwa mara ya kiundeshaji huku wakiwaonesha wananchi kwamba lengo ni kuwasaidia wanachama wao,lakini ukitathimini kiundani na kufuatilia utagundua lengo ni kupunguza gharama za kiundeshaji na kuliokoa shirika kutoka kwenye hari mbaya ya kiuchumi

Utofauti kati ya sera za NHIF na Taasisi pia ni tatizo lengine linalosababisha wanachama wa NHIF wasipate huduma bora wanahudhuria kwenye vituo binafsi kutokana na mazuio au ukomo wa utoaji huduma kisera za NHIF,mfano Mgonjwa anapumu anaenda kituo A ambacho sera yake ni kutoa dawa za kuvuta kwa njia ya hewa,NHIF sera yao inasema mgonjwa apewe vidonge vya kumeza,kama bado hajapata nafuu ndio achome sindano.

na mpishano huu wa kisera unasababishwa na unafuu wa gharama za huduma husika,kwahiyo unakuta Taasisi binafsi inaweza kumpa mgonjwa husika uhamisho kwenda kituo B ambacho kinatoa huduma sawa na sera za NHIF kwa tatizo lililo ndani ya uwezo wao ili tu kuepuka mgongano wa kisera ambao utasababisha NHIF kutokulipa gharama za huduma hiyo au mgonjwa alipie kwa pesa tasilimu ili apatiwe huduma.

Mpishano wa Gharama za matibabu,kwamfano Daktari Taraji katika kituo A binafsi,anaonwa kwa 15,000/,NHIF watamuona kwa 7000/- punguzo la 8000/-,Dawa ambazo ni High value(za bei ya juu),hazijawekwa kwenye Bima ya NHIF hali ambayo inapunguza uhuru na uwezo wa mtaalamu tiba katika kutoa maamuzi sahihi na kwa wakati,

Pia humuondolea mgonjwa ambaye ndio mwanachama wa NHIF haki ya kupata tiba bora na salaama inayoendana na wakati na viwango vya kimataifa kama inavyooanishwa katika majarida mbalimbali ya Mashirika yanayosimamia utoaji wa huduma bora za afya duniani yakiongozwa na WHO.

NINI KINACHOSABABISHA MIGOGORO
Kinachosababisha migogoro ya mara kwa mara kati ya NHIF na Taasisi binafsi ni huu utofauti wa kisera,Taasisi binafsi nyingi kubwa wanaendana na mfumo wa kisasa na viwango vya kimataifa wa utoaji huduma bora na salama ambao ni kinyume na mfumo wa NHIF,hali hii husababisha makato makubwa ya NHIF kwa Taasisi hizi wakati wa malipo kwa huduma zilizotolewa kinyume na sera za NHIF,au kwa makosa mengine,

Makato haya husababisha hasara kwa Taasisi husika hali inayopelekea Taasisi hizo kutowatilia manani au kuwapa huduma nje ya sera zao ili kuendana na sera za NHIF kwa kuepuka makato na hasara,na zingine kufikia hatua ya kutowahudumia/au kuwahudumia kwa kiwango cha chini wanachama wa NHIF.

Kutokulipwa kwa wakati,baazi ta Taasisi zinaolalamika kwa kutokulipwa kwa wakati na NHIF,kitendo kinachosababisha Taasisi kushindwa kujiendesha.kwa kulipa mishahara wafanyakazi,kodi za kiserikali,pango la jengo na vitu vingine vingi.

SWALI:kwanini ni NHIF na sio Bima nengine?
Hapa
ndio inakuja hoja yangu kwamba ni ile ishara ya madudu yanayofanyika katika mashirika mengi ya uma kwasababu inawezekana vipi,Mifuko binafsi memgine ya bima ya afya innaweza kujiendesha tena kwa sera za kimataifa,zinagharamia dawa ya thamani ya juu,upasuaji mkubwa na mdogo,huduma za kibingwa na bingwa bobezi,lakini hata siku moja hatuja sikia mgogoro wowote kati ya bima hizo na Taasisi.

Jibu ni kwamba Mifuko hii Binafsi inajiendesha kibiashara kwa kufuata misingi na mifumo ya kiuzalishaji bila ya kuathiri au kupunguza ubora, na kuwafanya wateja wao lupata huduma bora ,tofauti na NHIF ambao hauendeshwi katika misingi hii,hali ambayo inasababisha hasara na kufikia hatua ya kushindwa kujiendesha na hivyo kuanza kumtafuta mchawi nani.

Upangaji wa sera mbovu,nidhamu ya matumizi ya mapato,usimamizi mbovu wa miundombinu,na udhaifu wa uanzishajwi wa vyanzo mbadala vya mapato ndio sumu inayowatafuna NHIF na mashirika Mengi ya Uma,na hatimaye wanashindwa kutafuta njia sahihi na kuanza kuhangaika.

NINI KIFANYIKE
Nafikiri ni wakati wa kuacha kuyabeba na kuyakumbatia mashirika yote ya uma ambayo yanashindwa kujiendesha kwa ufanisi na baadala yake kuwe na soko huria ili kuleta ushindani wa kiuwekezaji,hii inasaidia sna kuondoa simtofahaumu kama hizi,lakini pia itasaidia kuboresha huduma na maebndeleo ya wananchi na nchi kwa ujumla.

Ikatokea tukaendelea kuyakumbatia mashirika kama NHIF,Taifa na watu wake wataendendelea kudumaa milele na milele.
 
Aisee umeelezea vyema sana. Asante.

Nahisi NHIF wangerefusha mda(48hrs) kuokoa Mashabiki wa Simba kesho maana matatizo ya moyo na upumuaji yatakuwepo mengi.
 
Well
 
Hili litakuwa moja ya yale mashirika ambayo Rais Samia alisema atayafuta😂
 
Mambo ya serikali ndivyqo yalivyo...

Cc: Mahondaw
Mkuu tunaitaji kubadilika,serikali ni watu
na watu ndio sisi, tusipobadirika tutawaumiza raia wenzetu sana na mwisho watoto wetu.

Hapa ndo msemo ule wa '' mafahali wawili wakikutana,kinachoumia ni nyasi"'
Hao watoa maamuzi ya serikali wakiumwa wanapelekwa nje kutibiwa,
Wenye hospitali binafsi wana wateja matajiri wasiotaka usumbufu wanalipa keshi maisha yanasonga.

Mlala hoi anayekatwa mshahara ili akiumwa atibiwe
ndo atakuwa 'fuse' kati ya serikali na wenye hospitali binafsi.
akienda huku anaambiwa aende kule,wao wote wawili wamekaa kwenye kiyoyozi
unayeagizwa ndo unatembea juani.
Mungu atunusuru tuvuke salama,tuwapigie kura tena 2024-2025.
 
Serikali ni watu, na hao watu wachche wanajifikiria wenyewe hawana na hawatakua na habari...

Cc: Mahondaw
 
Back
Top Bottom