Magufuli aangalie upya huu mfuko wa NHIF, wanatutesa na kutunyanyasa, wanakuchonganisha na watumishi

WAONGOOOOOO........

Hospitali ya Rufaa Meta huko Mbeya hizo dawa hawatoi, ndugu yangu ni mwalimu mkoa huo kaenda wiki jana imebidi kununua!........


huku dodoma ninakoishi sijafuatilia hali ikoje,
Tatizo la mfuko ni Bodi ya NHIF yake
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom