Magufuli 4 Change (M4C), nimeipenda sana hii

Magufuli 4 Change (M4C), nimeipenda sana hii

lawama kwa waliomjaza maneno rais na kumpotosha!
mwanaye,nape,/
kinana,mangula hapa nawaondoa hawamo!
 
Anamaanisha ila Magufuri atakua Prime minister!?

Siyo katiba hairuhusu .Mimi nilivyo ilewe ccm kunauwezekano wakatoa prime minister.na hofu hiyo nikwamba ccm wakapata wabunge wengi
 
Kaka Kiiza, tarehe 25 October, Magogoni ni Lowassa!, ila....!.
P.

Haya wenye macho matatu tulikwishayaona siku nyingi...

ndio maana rafiki yetu Hutaki Unaacha alitoa warning kwa JK siku nyingi awe careful otherwise atakuwa historia!!!

Ktk watu high profile wote ninaoongea nao hakuna anayemwamini Magufuli kichwa chake kinawaza nini... wengi wanasema hawana imani naye kabisa na ndo wenye influence ya matokeo nchi hii....

Sidhani waliombebesha Magufuli msalaba huu walijua uwezo wake au walifanya kusudi tuu...
 
Last edited by a moderator:
HIVI WEWE UNAISHI WAPI....HIVI HAUNA HABARI BAADA KINARA WA UFISADI KUJIUNGA CHADOMO...DUNI NA MAALIM SEIF NA KUINGIA KUNDINI....PEOPLES POWER!!!! IMEBADILIKA KUWA POOOPOOooSS BAWAAaaaaSSSss!

Naona umetumwa kawaambie Lowasa yupo kwenye kampeni
 
NI aibu chama tawala kujivunia kuwa ina wasomi, jambo hilo limejionesha juzi mgombea wao Ku copy logo ya m4c wako wapi wasomi January Makamba, Mwigulu, Kigwangala na Nape? Wote hawa si wabunifu..so shame shame shame..ndo maana Lowassa anakuja ELIMU ELIMU ELIMU
 
Naona kama ni mabdiliko makubwa sana, baada ya CHADEMA kumchukua mgombea urais mtuhumiwa wa UFISADI, vijana wa CHADEMA wasiokubaliana na Lowassa wanasema siyo MOVEMENT FOR CHANGE , bali MAGUFULI FOR CHANGE.

attachment.php

​

Makamba ndio anasema ivo
 
Waje huku ndo kuna mabadiliko,mabadiliko hayaletwi kwa kuiga logo
 
NI aibu chama tawala kujivunia kua INA wasomi..jambo hilo limejionesha juzi mgombea wao Ku copy logo ya m4c wako wapi wasomi January makamba,mwigulu,kigwangala NA nape? Wote hawa si wabunifu..so shame shame shame..ndo maana lowassa anakuja ELIMU ELIMU ELIMU

A falling empire....
 
C walikataa Elimu bungeni matokeo yake ndo haya POROJO....
 
Unaiga logo na msemo alafu unapiga makofi. Haya na ccm ni wanamabadiliko..watu mabadiliko wameyaweka moyoni, wameyapractice kwa miaka nenda rudi..ccm ni malofa
 
Siyo katiba hairuhusu .Mimi nilivyo ilewe ccm kunauwezekano wakatoa prime minister.na hofu hiyo nikwamba ccm wakapata wabunge wengi

Mkuu nitashangaa sanaa endapo wananchi watawarudisha wabunge wengi wa ccm bungeni maana ni juzi juzi tuu wananchi wamelalamika unafki wa wabunge kuitikia ndiooooo ili kujipendekeza kwa viongozi wao wakati maslahi ya inchi yanapotea
 
Lowasa HAMBULUZI MTU tulikua tuu tunawaambia kua hyo slogan haiwafai nyie inatufaa ss na tumeichukuaaasaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍
#HAPAKAZITUU

Hahahaha arikaaà..wamedesa mpaka jina hivi kwa viongozi kama hawa unategemea uchumi ukue...lowasa niko chini ya miguu yako naomba uje utuletee mabadiliko tunakuhitaji sana hata Mungu anajua..
 
Nimesikia huu ni mkakati uliopangwa wa kuchanganya watu akili kama wasipokuwa makini wampigie kura Magufuli wakidhani wanawapigia Chadema. Kaa chonjo!!

Kwa akili ya kawaida chadema ilipaswa kuwa C4C- Chadema for Change. Kama ni Lowassa. L4C. Hongera CCM great thinkers.
 
Nimesikia huu ni mkakati uliopangwa wa kuchanganya watu akili kama wasipokuwa makini wampigie kura Magufuli wakidhani wanawapigia Chadema. Kaa chonjo!!

Wewe umeskia tu. Mimi najua na ninauhakika sio huo mpango. Msimwamini huyu aliyeskia niaminini mimi hakuna mpango wa kumchanganya mtu
 
Back
Top Bottom