Magufuli 4 Change (M4C), nimeipenda sana hii

Magufuli 4 Change (M4C), nimeipenda sana hii

Magufuli akiwa Chato kwao leo tena...

Kasema, M4C ni MAGUFULI FOR CHANGE... in short, kapanic sana, yuko very disorganised, with no CONFIDENCE kabisaa... with all signs of showing kakubali KUSHINDWA.. na hapo ni home kwao Chato...!! na hii ni baada ya LOWASSA, UKAWA juzi kumaliza kazi Chato, Magufuli kapanic sana... utafikiri hayuko Chato...!!! Anaongea kwa VITISHO SANA SANAAA...!!

Oooh.. Magufuli... pole sana...!!
 
MAGUFULI: sina chama.... oooh..!! mm ni wa watanzania wote... omg..!!

Atatoa 50 milioni kwa kila kijiji... omg..!!
 
Nasikia anataka kuiga jina la linalopendwa na watanzania. Anatakq kujiita Lowasa
 
Nasikia anataka kuiga jina la linalopendwa na watanzania. Anatakq kujiita Lowasa

Amenishangaza sana, kumbe huyu hajifunzi... ANANG'ANG'ANIA M4C NI YAKE.... daah...atakichaguliwa atakuwa hatari sana... ila HAWEZI PITA.. kama ile ndio CHATO... ana kazi kubwa...!!
 
MAGUFULI: sina chama.... oooh..!! mm ni wa watanzania wote... omg..!!

Atatoa 50 milioni kwa kila kijiji... omg..!!

Mbona uzi mzima unatambaa peke yako tu mkuu, hata brake huna?
 
Magufuli oyeeee...amefunika Chato hakika hawakumuangusha...
 
Hapa kazi tu...watu wameshaipuuza anabuni mbinu mpya...

Inabid na yale mabango yake watoe yote wabadilishe maneno...
 
mwanzo nilidhani Magufuli ana utu lakini leo nimejua sivyo,tofauti za siasa haziondoi utu wa mtu huwezi kufurahia mtu mzima mwenzio akiambiwa kajinyea,hakika Mungu atawalipa
 
Kinachonoshangaza, hayo mabadiliko yanayohamasishwa na wana CCM sijayaelewa ni mabadiliko gani. Wana fursa zone zinazotakiwa kufanya mabadiliko tangu tupate Uhuru wa tanzania mwaka 1961. Wana watu, ardhi, fedha, wataaalamu nk. Haya mabadiliko ambayo wameshindwa kuyafanya wa kiwa na raslimali zote na sasa wanayatangaza awamu hii ya tano yapi?!!!!!
 
Walishatujeruhi kwa miaka 54 na tuko mahututi na sasa wanataka kura ili watuue na kutuzika kabisa! Hatudanganyiki! Hatuwapi kura safari hii ng'o!!
 
Leo nilikuwa chato wasanii walikwepo pale km 100..watu wamesombwa kutoka hadi geita mjini hafu wengi waliojaa pale ni watoto na wanawake
 
Naona live ,magufuli anasema magufuli for change M4C . Mfano ukianzisha website Kwa anuani m4c.com mmoja akasema ni movement for change na mwingine magufuli for change ,itaregester?
Kama tukiona hili wanalifanya viongozi wetu hivi hati miliki zitakuwa salama kweli.
Kisheria hii inakaaje?
 
Magufuli akiwa Chato kwao leo tena...

Kasema, M4C ni MAGUFULI FOR CHANGE... in short, kapanic sana, yuko very disorganised, with no CONFIDENCE kabisaa... with all signs of showing kakubali KUSHINDWA.. na hapo ni home kwao Chato...!! na hii ni baada ya LOWASSA, UKAWA juzi kumaliza kazi Chato, Magufuli kapanic sana... utafikiri hayuko Chato...!!! Anaongea kwa VITISHO SANA SANAAA...!!

Oooh.. Magufuli... pole sana...!!

Hata mimi nimemuona jamaa anaongea kwa jazba huku akisema jamani mnionee na mimi huruma nami ni binaadamu kuna wana ccm mchana wako ccm na usiku wako Ukawa nilicheeka nikajua huyu kwisha habari yake.
 
Back
Top Bottom