Magufuli 4 Change (M4C), nimeipenda sana hii

Kuna jambo jingine wanasiasa waupinzani wanatuaminisha kuwa CCM ina mfumo mbovu hata aje maraika hawezi kusaidia kitu kubadili mfumo.
Hebu tufikkri kwa pamoja kama hii ya upizani si mifumo

1.CHADEMA
Ni chama kinachojinasibu kwa demokrasia na kikiitaji tanzania kuwa na demokrasia.

MFUMO

Tangu chama kiwepo kimeongozwa na familia moja ya mzee mtei.
i. Mwenyekiti wa kwanza wa chama alikuwa mzee MTEI
ii. Mwenyekiti wa pili mzee BOB MAKANI akimuoa dada yake mzee MTEI( SHEMEJIYE MZEE MTEI)
iii. Mwenyekiti wa tatu ni mh.MBOWE ambaye ANAMUOA Bintiye mzee MTEI (MKWILIMA)

ZZK aliwai kusema chadema wanaamini mikoa.mingine wazazi wake hawawezi mzaa mwenyekiti.
JE HUU SIYO MFUMO MBOVU??

Mwanasheria wa chadema akihojiwa na VOA alisema SLAA aliachana na chama chao kwa sababu ya kukosa uraisi na akasema KAMATI kuu ya chadema ilimpitisha SLAA mwezi januari kuwa mgombea uraisi, na ikampitisha tena mwezi April kuwa mgombea. Kamati kuu moja ilimpitishaje mgombea mmojabmara mbili jibu wanalo wao. Je ilikuwa na haja gani baadae kusema watu wachukue fomu wakati chama kishampitisha mtu yule? . Baada ya LOWASA kuingia akawazidi nguvu wakapindua maamuzi ya kamati kuu aliyosema LISSU,Naibu katibu mkuu wao mh SALUM MWALIMU akasema Kamati kuu ikempitisha LOWASA kuwa mgombea uraisi pekee. Kumbuka alipitishwa kabla hajachukua fomu ya kuomba uteuzi wa chama, afu kesho yake wakatangaza ati watu wachukue fomu za uteuzi wa uraisi na chama kikamsindikiza kwenda kuchukua fomu ya chama. Nani angeweza kwenda kuomba achaguliwe wakati kuna mgombea ashachukua fomu kwa kusindikizwa na viongozi na ashatangazwa kupitishwa peke yake. Hili ndo sharti gumu alilowapa upinzani.kama wanamtaka asipambanishwe na yeyote.
HUO SIYO MFUMO MBOVU??

Pale kuanzia slaa,mbowe,zito,lisu,Ndesapesa,etc wote kila.mmoja ana jamaa yake mbunge viti maalumu. JE HUO SI MFUMO MBOVU?

2. CUF
Hiki ni chama chenye mizizi mikuu zanzibar. Chama hiki tangu kiumbwe miaka karibu 25 kimeongozwa na mwenyekiti na katibu mkuu mmoja kwa kumbukumbu yangu. Nimemsikia maalimu Seif na Prof Lipumba.
MFUMO
Tangu kuumbwa chama CUF wagombea uraisi ni walewale. Maalim seif huu ni mwaka wa 25 anagombea uraisi. Lipumba naye alishachukua fomu so ni yale yale.
Viongozi wake wakuu ni wale wale kabla ya juzi.Prof kuachana nao.
Nakumbuka hamad Rashid alijaribu kutia pua kugombea ukatibu akafukizwa uanachama na Maalim seif mwenye milk.ya maisha ya chama. JE HUO SI MFUMO??
Unaniuliza ati kwa nn CCM ijione inafaa
kutawala miaka yote hujiulizi kwa nini Maalimu seif kwa nusu ya miaka 50 ya uhuru anajiona anafaa kuwa katibu wa chama na mgombea peke yake?

3. NCCR
Hiki ni chama ambacho walau kimebadiri viongozi japo nacho kina sifa kama hapo juu. Mbatia kukiachia si leo. Nakumbuka kafulila alithubutu kuutaka U chair naye akafutwa uanachama akaishi kwa mgongo wa mahakama. Baada ya kuhisi ni potential kuliko wote mle walimwangukia ila ni baada ya uchaguzi wa mwenyekiti kuisha.
JE HUU SIYO MFUMO MBOVU

4.NLD
Hiki nisikizumgumzie maana chama cha mfukoni cha makaidi na anatembea nacho mfukoni. Anajulikana yeye tu pamoja na kuwa chama ni cha muda mrefu.
Basi ndugu hawa wana uhalali wa kusema chama cha CCM kina mfumo mbovu bila kukiangalia wao??
Chadema imepoteza viongozi potential.wakilalamikia mfumo mbovu wa chama je.wameshasahau yao?
Ok twende na hoja ya mfumo maana wanaibeba ili kuwaaminisha watanzania wa kwao anafaa kwa vile ati ccm wana mfumo mbovu.
Wanaamini lowasa alikuwa mzuri ila tatizo mfumo wakati miaka nane wamemtukana kuwa lowasa ni mbovu na hawakuwai kusema mfumo.
Hivi najaribu kujiuliza hawa wote UKAWA hakuna aliyesoma organization behavior?

HIVI UNAWEZA KUWA NA MTAWALA MBOVU KATIKA ORGANIZATION NZURI HIYO ORGANIZATION IKAKUWA?
By then who makes a system. People makes a system and they can change a system.
Mbona Lowasa alienda akabadili mfumo wa uteuzi.wa UKAWA waliojiwekea?
Kwamba wanaamini lowasa atakuwa raisi afu wamtawale wao??
Ukiwauliza hawa wanakwambia awe mbovu alete maendeleo asilete tunachotaka mabadiliko. Ndo lema alisema Arusha hata likiwekwa jiwe litapita yaani tunageuzwa wajinga tusiyoweza kupambanua ati kisa mabadiliko.

Sisikii tena maamuzi magumu!!, Kauli rahisi za hadaa huku ukiamini unajitofautisha na unaopingana nao ni ajabu.
Nimeyasema yangu utanipinga kwa hoja siyo kwa mabadiliko ya ili mradi.
MUNGU IBARIKI TANZANIA

makala ni ya comrade mages
 
CHADOMO NI CHAMA AMBACHO KINAENDESHWA KIHOLELA....MAAMUZI YANAFANYWA NA WATU WAKITOKA KWENYE MAGENGE YA KWENYE BAA NA VIJIWE VYA BODA BODA ( petrol ipo kwenye kichwa)..... UKAWA NI MUUNGANO RASMI WA WATU WASIOKUWA NA MUULEKEO WA MAISHA NA AMBAO WAMEKATA TAMAA YA MAISHA NA HAWANA MBINU MBADALA ZA KUPAMBANA NA MAISHA..... LEO HII CHADOMO NA UKAWA KATIKA UBORA WAO UKIANGALIA NYENDO ZAO...KAULI ZAO ZINAONYESHA KUWA WAMEKATA TAMAA NA HAJUI WATAJIBEBA VIPI... UKARASA WAO UNAFUNGWA TAREHE 25TH SEPTEMBA..... KWA HERI CHADOMO, KWA HERI CUF, KWA HERI NCCR....KARIBU ACT WAZALENDO CHAMA KIPYA CHA UPINZANI TANZANIA KWA AJILI YA MASLAHI YA WATANZANIA....
 
Kuna jambo jingine wanasiasa waupinzani wanatuaminisha kuwa CCM ina mfumo mbovu hata aje maraika hawezi kusaidia kitu kubadili mfumo.
Hebu tufikkri kwa pamoja kama hii ya upizani si mifumo

1.CHADEMA
Ni chama kinachojinasibu kwa demokrasia na kikiitaji tanzania kuwa na demokrasia.

MFUMO

Tangu chama kiwepo kimeongozwa na familia moja ya mzee mtei.
i. Mwenyekiti wa kwanza wa chama alikuwa mzee MTEI
ii. Mwenyekiti wa pili mzee BOB MAKANI akimuoa dada yake mzee MTEI( SHEMEJIYE MZEE MTEI)
iii. Mwenyekiti wa tatu ni mh.MBOWE ambaye ANAMUOA Bintiye mzee MTEI (MKWILIMA)

ZZK aliwai kusema chadema wanaamini mikoa.mingine wazazi wake hawawezi mzaa mwenyekiti.
JE HUU SIYO MFUMO MBOVU??

Mwanasheria wa chadema akihojiwa na VOA alisema SLAA aliachana na chama chao kwa sababu ya kukosa uraisi na akasema KAMATI kuu ya chadema ilimpitisha SLAA mwezi januari kuwa mgombea uraisi, na ikampitisha tena mwezi April kuwa mgombea. Kamati kuu moja ilimpitishaje mgombea mmojabmara mbili jibu wanalo wao. Je ilikuwa na haja gani baadae kusema watu wachukue fomu wakati chama kishampitisha mtu yule? . Baada ya LOWASA kuingia akawazidi nguvu wakapindua maamuzi ya kamati kuu aliyosema LISSU,Naibu katibu mkuu wao mh SALUM MWALIMU akasema Kamati kuu ikempitisha LOWASA kuwa mgombea uraisi pekee. Kumbuka alipitishwa kabla hajachukua fomu ya kuomba uteuzi wa chama, afu kesho yake wakatangaza ati watu wachukue fomu za uteuzi wa uraisi na chama kikamsindikiza kwenda kuchukua fomu ya chama. Nani angeweza kwenda kuomba achaguliwe wakati kuna mgombea ashachukua fomu kwa kusindikizwa na viongozi na ashatangazwa kupitishwa peke yake. Hili ndo sharti gumu alilowapa upinzani.kama wanamtaka asipambanishwe na yeyote.
HUO SIYO MFUMO MBOVU??

Pale kuanzia slaa,mbowe,zito,lisu,Ndesapesa,etc wote kila.mmoja ana jamaa yake mbunge viti maalumu. JE HUO SI MFUMO MBOVU?

2. CUF
Hiki ni chama chenye mizizi mikuu zanzibar. Chama hiki tangu kiumbwe miaka karibu 25 kimeongozwa na mwenyekiti na katibu mkuu mmoja kwa kumbukumbu yangu. Nimemsikia maalimu Seif na Prof Lipumba.
MFUMO
Tangu kuumbwa chama CUF wagombea uraisi ni walewale. Maalim seif huu ni mwaka wa 25 anagombea uraisi. Lipumba naye alishachukua fomu so ni yale yale.
Viongozi wake wakuu ni wale wale kabla ya juzi.Prof kuachana nao.
Nakumbuka hamad Rashid alijaribu kutia pua kugombea ukatibu akafukizwa uanachama na Maalim seif mwenye milk.ya maisha ya chama. JE HUO SI MFUMO??
Unaniuliza ati kwa nn CCM ijione inafaa
kutawala miaka yote hujiulizi kwa nini Maalimu seif kwa nusu ya miaka 50 ya uhuru anajiona anafaa kuwa katibu wa chama na mgombea peke yake?

3. NCCR
Hiki ni chama ambacho walau kimebadiri viongozi japo nacho kina sifa kama hapo juu. Mbatia kukiachia si leo. Nakumbuka kafulila alithubutu kuutaka U chair naye akafutwa uanachama akaishi kwa mgongo wa mahakama. Baada ya kuhisi ni potential kuliko wote mle walimwangukia ila ni baada ya uchaguzi wa mwenyekiti kuisha.
JE HUU SIYO MFUMO MBOVU

4.NLD
Hiki nisikizumgumzie maana chama cha mfukoni cha makaidi na anatembea nacho mfukoni. Anajulikana yeye tu pamoja na kuwa chama ni cha muda mrefu.
Basi ndugu hawa wana uhalali wa kusema chama cha CCM kina mfumo mbovu bila kukiangalia wao??
Chadema imepoteza viongozi potential.wakilalamikia mfumo mbovu wa chama je.wameshasahau yao?
Ok twende na hoja ya mfumo maana wanaibeba ili kuwaaminisha watanzania wa kwao anafaa kwa vile ati ccm wana mfumo mbovu.
Wanaamini lowasa alikuwa mzuri ila tatizo mfumo wakati miaka nane wamemtukana kuwa lowasa ni mbovu na hawakuwai kusema mfumo.
Hivi najaribu kujiuliza hawa wote UKAWA hakuna aliyesoma organization behavior?

HIVI UNAWEZA KUWA NA MTAWALA MBOVU KATIKA ORGANIZATION NZURI HIYO ORGANIZATION IKAKUWA?
By then who makes a system. People makes a system and they can change a system.
Mbona Lowasa alienda akabadili mfumo wa uteuzi.wa UKAWA waliojiwekea?
Kwamba wanaamini lowasa atakuwa raisi afu wamtawale wao??
Ukiwauliza hawa wanakwambia awe mbovu alete maendeleo asilete tunachotaka mabadiliko. Ndo lema alisema Arusha hata likiwekwa jiwe litapita yaani tunageuzwa wajinga tusiyoweza kupambanua ati kisa mabadiliko.

Sisikii tena maamuzi magumu!!, Kauli rahisi za hadaa huku ukiamini unajitofautisha na unaopingana nao ni ajabu.
Nimeyasema yangu utanipinga kwa hoja siyo kwa mabadiliko ya ili mradi.
MUNGU IBARIKI TANZANIA

makala ni ya comrade mages

Kwa kudandia hoja mmetufanya wana Korogwe mia nne na kiongozi wa CCM kuhamia CHADEMA,hii sasa aibu Magufuli umetuaibisaha kwa M4C
 
JOKES ASIDE, CCM TUNGETAFUTA SLOGAN NYINGINE !
INATIA AIBU KWAMBA NI LAZIMA TUTUMIE M4C hata kama ni maendeleo 4C
INADHIHIRISHA KUTOKUWA NA UWEZO WA UBUNIFU
 
Hiki kitu hawataki kukisikia, yaani kuambiwa ukweli hawatak subiri waione hii:screwy: hapa wakutakuita mamluki
 
Naona BigShow unaamua kutoka kivingine tehetehetehe!!!!! Siasa ya gesi kwisha habari yake...hahahahahah!!!!!
 
yaani vijana wa ccm si wabunifu kabisa wanasubiri wenzao wabuni ndio wao wacopy
 
huu upumbavu mpelekee mamaaako.

lowassa ni rais wako kenge wew
 
Back
Top Bottom