Magufuli 4 Change (M4C), nimeipenda sana hii

Magufuli 4 Change (M4C), nimeipenda sana hii

CHADOMO NI CHAMA AMBACHO KINAENDESHWA KIHOLELA....MAAMUZI YANAFANYWA NA WATU WAKITOKA KWENYE MAGENGE YA KWENYE BAA NA VIJIWE VYA BODA BODA ( petrol ipo kwenye kichwa)..... UKAWA NI MUUNGANO RASMI WA WATU WASIOKUWA NA MUULEKEO WA MAISHA NA AMBAO WAMEKATA TAMAA YA MAISHA NA HAWANA MBINU MBADALA ZA KUPAMBANA NA MAISHA..... LEO HII CHADOMO NA UKAWA KATIKA UBORA WAO UKIANGALIA NYENDO ZAO...KAULI ZAO ZINAONYESHA KUWA WAMEKATA TAMAA NA HAJUI WATAJIBEBA VIPI... UKARASA WAO UNAFUNGWA TAREHE 25TH SEPTEMBA..... KWA HERI CHADOMO, KWA HERI CUF, KWA HERI NCCR....KARIBU ACT WAZALENDO CHAMA KIPYA CHA UPINZANI TANZANIA KWA AJILI YA MASLAHI YA WATANZANIA....
Wewe hata kuandika hujui sijui umetokea kichaka gani.
=CHADEMA: Chama cha demokrasia na maendeleo.
 
ccm mmeishiwa sasa bado kuiba kura tu, naona mmeshamaliza kuiga kila kitu.

R.I.P CCM
 
Wao ndo wametafsiri hivyo ,nasie tunasema,magufuli amekubaliana na mabadiliko ya kweli kutoka nje ya ccm,hivyo tunamuomba atoroke aje ukawa .huwezi leta mabadiliko kwa kuwa na katiba mbaya ya nchi iliyohodhiwa na ccm
 
Povu la nini sasa!! Mbona wakiwa mnapenda kupanick!! Mimi nimetokea chaka la monduli!! Chadomo aka ukiwa mtachapwa asubuhi asubuhi!!!

Hapakazitu......kiboko ya mafisadi wa kaskazini!
 
Sasa chagua moja..... Chadema= chagga democratic movement allie au chadomo....
 
👉JK NYERERE 1995:

MPNZANI WA KWELI ATATOKA CCM

👉JK NYERER 1995:

CHAMA KITAKACHOPUUZA MAONI YA WANANCHI KITAPATA KILIO ASIPATIKANE WA KUKIFUTA MACHOZI YAKE

👉JK NYERERE 1995:

MSIDHANI MNAWEZA KUPATA USHINDI MKIPUUZA MAONI YA WANANCHI MSIKAE NA KUTEUA WENYEWE MKADHANI MNACHAGUA KATBU WA CHAMA MNACHAGUA MTU WA KUONGOZA JAMHURI YA MUUNGANO WA TZ.

👉MKAPA 2013:

MSIKOSE KIONGOZI BORA 2015 KWA TUHUMA ZA KIPUUZI

👉KINGUNGE 2015:

LOWASSA ALIONEWA SANA KATIKA SAKATA LA RICHMOND HANA KOSA HATA KIDOGO TANGU AANZE UONGOZ MWAKA 77 NDANI YA CCM

👉KARUME 2015:

UKINIAMBIA NKUTAJIE MTU MWENYE VGEZO VYA KUONGOZA TANZANIA KWA SASA NI LOWASSA PEKEE ANAWEZA KUSAIDIA KULIKOMBOA TAIFA HILI.

👉LIPUMBA 2015:

LOWASSA SIYO FISADI NDIYO MAANA CCM WALIKOSA USHAHID WA KUMFIKISHA MAHAKAMAN

👉TUNDU LISSU 2015:
LOWASSA NDIYE MWANASIASA ANAYEKUBALIKA NCHINI NA NDIYE HUYO ANAWEZA KUSAIDIA KUIONDOA CCM 2015

👉TB JOSHUA:

LOWASSA IS A COMING PRESIDENT OF 2015

👉MCHUNGAJI:

LOWASSA ASIPOKUWA RAIS 2015 MNIUE

👉KAKOBE:

MUNGU ANASEMA CCM WASIPOBADILIKA 2015 WATAANGUKA.

👉JAKAYA MRISHO KIKWETE 2015:

CCM MWAKA HUU INAWEZA KUNG'OKA

Kwa hisani ya kichinjio october 2⃣0⃣1⃣5⃣👇

👉💳💳💳💳💳💳👈
Kauli zenje Nguvu✌
 
Naona kama ni mabdiliko makubwa sana, baada ya CHADEMA kumchukua mgombea urais mtuhumiwa wa UFISADI, vijana wa CHADEMA wasiokubaliana na Lowassa wanasema siyo MOVEMENT FOR CHANGE , bali MAGUFULI FOR CHANGE.


attachment.php

​

ccm wamepauka hadi kukopi tuvijitu tudoooogo km hutu?just a slogan!!.
huu ugonjwa wa mpauko unaowasibu unaitwa degedege ya kikubwa au tezi dume la ubongo
 
ccm tunajidhalilisha kuiga slogan za wapinzani, hii ni dalili kuwa viogozi wetu wameishiwa ubunifu!
 
Mlivyozoea kusaidiwa kufikiria, kamuulizeni mwenzenu hiyo PhD kasaidiwa na nani kuipata pale mlimani.
 
Makufuli kila kitu anaiga vingine hajui bora abaki na hadithi yake ya sanja na Fundi seremala
 
Hata hiyo ya Peoples, Magufuli kaanza kuitumia kimtindo kwenye kampeni zake.
CCM wamechoka na watanzania wameichoka vibaya sana.
25/October ni siku ya msiba mzito kwa CCM.

HIVI WEWE UNAISHI WAPI....HIVI HAUNA HABARI BAADA KINARA WA UFISADI KUJIUNGA CHADOMO...DUNI NA MAALIM SEIF NA KUINGIA KUNDINI....PEOPLES POWER!!!! IMEBADILIKA KUWA POOOPOOooSS BAWAAaaaaSSSss!
 
Back
Top Bottom