sentino2015
Senior Member
- Apr 9, 2015
- 176
- 30
Walishapiga hesabu yao,ndo maana wanaanzisha,vijihoja,ukawa wanashindia hapo,badala ya kunadi.sera,ukawa.ni mida wa kunadi.sera.si kusaka mwizi logo,kauli mbiu,nk
Kweli kabisa. Kwa sasa viongozi wa CCM hata wao hawajiamini tena, hawaamini chama chao, hawaaminiani wao kwa wao, hawamwamini tena Kikwete, hawamwamini Mgufuli, hawajui hatma zao, kifupi wamekata tamaa sana, wamebaki na matumaini hewa ambayo kila siku yanazidi kupotea. Wanaona bora ya jana kuliko leo, mambo yamezidi kuwa magumu kila kona ya nchi.Haya wenye macho matatu tulikwishayaona siku nyingi...
ndio maana rafiki yetu Hutaki Unaacha alitoa warning kwa JK siku nyingi awe careful otherwise atakuwa historia!!!
Ktk watu high profile wote ninaoongea nao hakuna anayemwamini Magufuli kichwa chake kinawaza nini... wengi wanasema hawana imani naye kabisa na ndo wenye influence ya matokeo nchi hii....
Sidhani waliombebesha Magufuli msalaba huu walijua uwezo wake au walifanya kusudi tuu...
Kwa akili ya kawaida chadema ilipaswa kuwa C4C- Chadema for Change. Kama ni Lowassa. L4C. Hongera CCM great thinkers.
Isomeke pia CHAMA CHA MAGUFULI
Naona kama ni mabdiliko makubwa sana, baada ya CHADEMA kumchukua mgombea urais mtuhumiwa wa UFISADI, vijana wa CHADEMA wasiokubaliana na Lowassa wanasema siyo MOVEMENT FOR CHANGE , bali MAGUFULI FOR CHANGE.
![]()
Wamechukua rejected alafu wanajikuta wajaanja! Lowassa hafai hata kwa kumuangalia
Naona kama ni mabdiliko makubwa sana, baada ya CHADEMA kumchukua mgombea urais mtuhumiwa wa UFISADI, vijana wa CHADEMA wasiokubaliana na Lowassa wanasema siyo MOVEMENT FOR CHANGE , bali MAGUFULI FOR CHANGE.
![]()
Kumbuka kuna maisha baada ya uchaguzi
Ungetumia 🆔 yako halisi usingepost upuuzi kama huu
Inabidi muanze kubandua M4C kwenye hizo kapelo zenu mnazovaa, la sivyo itakuwa ni kama mnampigia kampeni Magufuli4Change. Kwa hili hakika maccm yamewazidi kete. Mtabaki kulalamika tu, lakini hata huko mahakamani hamtathubutu kwenda manaake na nyinyi mmeiba hiyo M4C kutoka kwa wengine.Mtaiga sana mwaka huu