mwita ke mwita
JF-Expert Member
- Aug 13, 2010
- 7,851
- 3,486
Mr. Chin Atakuwa wa kwanza
Ukichukulia juu juu hautaweza kuelewa. Lakin ktk siasa kila neno lina maana yake. Kupitia neno hilo la M4C makufuli atapata kula nyingi maana kuna watu huko, huko hufanganyika kirahisi sana.
Nafikiri kama na wao wanacheza wimbo wa M4C basi hiyo ni ushindi tosha kwa UKAWA..mnajua hii M4C UKAWA/CHADEMA wameanza nayo lini? kwamba wao wadandie hii hoja halafu ndani ya siku 30 watu waelewe M4C ni ya CCM na siyo UKAWA.? Kwamba wananchi wasikie M4C ni ya UKAWA kwa miezi kadhaa halafu wasikie ni ya CCM kwa siku 30 huku bado na ukawa wakiendelea kuihubiri halafu wao washinde..CCM wanacheza ngoma za UKAWA yaani wanaingia 18 za UKAWA kazi imezidi kuwa rahisi mno...ama kweli kaburi la CCM wanalichimba wao wenyewe
Wakuu kuna taarifa kuwa baada ya CCM kuzidiwa kete na UKAWA, mpaka kudesa kauli mbiu yetu ya M4C, lakini baada ya jana tena UKAWA kuvuruga nyumbani kwa Magufuli pale Chato, hatimaye kamati kuu ya CCM imepitisha azimio moja kuwa wagombea wake wote kuanzia Magufuli katika mikutano yao watatakiwa kuvaa mavazi ya CHADEMA kuanzia fulana na kofia ili kuvuta hisia za watu. Kwa hiyo msijeshangaa mkamuona Magufuli kavaa T.SHIRT ya CHADEMA
Wakuu msimbeze mlela hii oja maana inawezekana ni kweli na Mshauri mkuu wa hii issue ni JM ...!!Wakuu kuna taarifa kuwa baada ya CCM kuzidiwa kete na UKAWA, mpaka kudesa kauli mbiu yetu ya M4C, lakini baada ya jana tena UKAWA kuvuruga nyumbani kwa Magufuli pale Chato, hatimaye kamati kuu ya CCM imepitisha azimio moja kuwa wagombea wake wote kuanzia Magufuli katika mikutano yao watatakiwa kuvaa mavazi ya CHADEMA kuanzia fulana na kofia ili kuvuta hisia za watu. Kwa hiyo msijeshangaa mkamuona Magufuli kavaa T.SHIRT ya CHADEMA
Naona kama ni mabdiliko makubwa sana, baada ya CHADEMA kumchukua mgombea urais mtuhumiwa wa UFISADI, vijana wa CHADEMA wasiokubaliana na Lowassa wanasema siyo MOVEMENT FOR CHANGE , bali MAGUFULI FOR CHANGE.
Anajichetua tu huyo
Magufuli kila kukicha anazidi kuwachanganya
Wakuu kuna taarifa kuwa baada ya CCM kuzidiwa kete na UKAWA, mpaka kudesa kauli mbiu yetu ya M4C, lakini baada ya jana tena UKAWA kuvuruga nyumbani kwa Magufuli pale Chato, hatimaye kamati kuu ya CCM imepitisha azimio moja kuwa wagombea wake wote kuanzia Magufuli katika mikutano yao watatakiwa kuvaa mavazi ya CHADEMA kuanzia fulana na kofia ili kuvuta hisia za watu. Kwa hiyo msijeshangaa mkamuona Magufuli kavaa T.SHIRT ya CHADEMA
Aisee ukawa ni wazushi sijaona mfano wao