Magorofa kariakoo ya wasomali

 
Ni kweli wasomali kariakoo ni tishio ktk biashara, sijui ndo zile hela za kupora meli kule kwao!
 

we msomali nini?
 
nani asokujua kuwa unatetea mambo ambayo hayakubaliki?

Kama vile Slaa au sio, ambae alikosa kura za Watanzania? au Chadema isivyokubalika Zanzibar, hata shehia moja hawana wacha uwakilishi au ubunge. Si ndio?
 

Uwepo wa wasomali ni mojawapo ya tofauti kati ya Kariakoo na kijijini kwenu. Mtu aliyekulia Kariakoo hawezi kushtushwa na hilo, tatizo ni kwa watu waliokimbia kijijini kuja town halafu wanataka town kuwe kama kule kijijini walikokimbia!
 

Imeandikwa wapi kuwa mtanzania ni lazima uweze kuongea kiswahili?
 

Mkuu siyo Africa tu hata Ulaya wanawekeza, Australia ndio kabisaa - jamaa hawa wako industrious and very organised kweli kweli, huwezi kumuona Msomali ambaye hana shughuli ya kumuingizia kipato, wana umoja na wanasadiana sana; we gotta lot to learn from 'em SOMALIS.

Siku moja niliwahi kutembela a make shift Karakana ya Msomali along Mandela Rd, ndani nilikuta wanahunda matela ya kubebea mizigo na mafuta! kuangalia mashine zinazo fabricate vyuma vya kuhunda matela nilishangaa, zilikuwa niza kizamani! Nilipo muhoji kanambia mashine hizo wametumiwa na ndugu zao kutoka Italy na Uingereza na zilinunuliwa kwa hela ndogo sana, lakini wao wanatengeneza mamillion kutokana na shughuli yao hiyo; nilipo wauliza axle na brake system zinatoka wapi? wakasema BPW Ujerumani na Uchina, wakasema investment ya mradi huo ilikuwa very modest! Sasa mtu ukifikilia kwamba karakana ya TAZARA ambayo ni moja ya karakana kubwa katika Africa save South Africa na Egypt unakuta very sophisticated machines zinakaa idle gathering DUST - basi mtu unaona kwamba Watanzania kuna something somewhere ambacho hakija kaa sawa kimtazamo wetu katika nyanja wa kuwajibika na ubunifu.
 
watu mnamshambulia mtoa thread lakini kuna jambo hatulitazami kwa kina. Ni hatari kwa Wasomali kuzidi kuwekeza hapa nchini kutokana na wao kuwa mabingwa wa uharamia na vita. Tusipoweka misingi ya kudhibiti uwekezaji, tunajenga taifa holela ambalo baadaye tutashindwa kulithibiti.
 
mtanzania ni lazima uweze kuongea kiswahili
SENSA INAKUJA KESHO KUTWA NA KIPENGELE HICHO KIPO HATUTAKI ASIYEJUA KISWAHILI

MM SIELEWI NI KWANINI ZOMBA LEO UNATURUDISHA NYUMA, HIVI NILINI MSOMALI AKASHIRIKIANA NA MTANZANIA? INAELEKEA UMRI ULIONAO HUKUYAKUTA MA- FIAT hawa watu walikuwa ni watafutaji wa pembe za wanyama (vipusa) leo wameteka meli zote zilizokatisha pembe ya Afrika, ni wao wenye kampuni la Intergrated na wamempa Raia (kiongozi na mwanasiasa) wetu mmoja tukiasi cha sh.450,000,000.00 zaidi ya walizochanga CDM
Wamejenga kila mahali na hii sio thread ya kwanza
MAHARAMIA WA KISOMALI NA MAJUMBA MAPYA MBEZI
 
Uwepo wa wasomali ni mojawapo ya tofauti kati ya Kariakoo na kijijini kwenu. Mtu aliyekulia Kariakoo hawezi kushtushwa na hilo, tatizo ni kwa watu waliokimbia kijijini kuja town halafu wanataka town kuwe kama kule kijijini walikokimbia!
Eti kariakoo mjini!!!!! Ushamba uliokubuhu. Eneo lenyewe limejaa uswahiliswahili wa kahawa na kashata. Kwa jinsi kariakoo ilivyo na karaha kuna watu wenye uwezo wanaweza kukaa hata miaka mitano hawajakanyaga. Halafu leo eti unajivunia kariakoo mjini, ptuuuuuu!!!!!
 

Tembea uone dunia ilivyo ndugu yangu. Airport zote zina harufu ya kahawa. Obama kila asubuhi lazima apige kikombe cha kahawa, Angela Meckel vilevile. Kahawa ni kinywaji kinachoheshimika sana duniani. Kama kinachokufanya uchukie kariakoo ni kahawa basi hutaweza kuenjoy jiji lolote duniani.

Matajiri duniani hawakai katikati ya miji ila wanamili biashara katikati ya miji. Tajiri anataka kuwa na estate kuuuuuubwa, ataipataje katikati ya jiji?
 
Wanajenga magorofa na hotel kama njia ya kutakasa pesa zao chafu. Matukio ya Somali pirates yametulia vipi kwa ninini wameshindwa kumalizia zile nyumba zao za bahari beach? Tusiwe kama majuha nakuanza kurusha lawama ni lazima tuwe makini na hawa watu wanaoingia nchini kwetu illegally. Nenda kwenye magodown yao nyerere road uangalie utitiri utakaokutana nao.
 

Nakubaliana nawe kwa kuwa wakati unaandika ulikuwa hujanywa chai na hujui mchana utakuwaje. Maisha magumu mpaka yanakimbiza busara.
 
Nasikitishwa na watanzania wanaofurahia wasomali kujenga majumba Kariakoo,kwa Mkenya
hasa wa Nairobi ukimuuliza kuhusu kero wanayoipata leo toka kwa wasomali maeneo ya Eastleigh
angepigana kuhakikisha hawa jamaa hawamilki mahali,labda kwa mtu asiyejua ukatili wa wasomali.
Wasomali wameshika eneo lote la Eastleigh na kujaza biashara zao na kulifanya lile eneo ni kama
Somalia ndani ya Nairobi,pamoja na jeuri ya askari wa Kenya lakini eneo hili wanafyata mkia.Leo
hii inasikitisha tunafurahia wasomali kujenga maghorofa Kariakoo na pesa yao chafu ya kuteka
mameli,please watanzania na serikali yetu wake up!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…