Hizi Chuki zisizo na Mbele wala Kichwa hazitufikishi popote pale....
Wangekuwa wasomali Ombaomba barabarani sijui tungesemaje...? Watu wanachakarika sisi Tunaumiya mioyo...Hii ni Mioyo ya Hasadi kuona wewe huna, basi na mwezio nae awe hana.
Hivi hizi pesa zinaitwa za Utekaji meli...zinafika kiasi gani...? Tuweni wakweli...?...kuna Kiasi wanachohitaji waporaji meli na Kuna kiasi halisi wanachopewa...!!!....Yule Mtanzania aliekuwa Jambazi kule London mbona hawasemi watanzania wote ni wezi...?
Unajua wakati wa Vita kunakuwa hakuna serikali ya kusimamia.Hivyo watu wanafanya biashara watakavyo. na si kusema eti wasomali wanafanya biashara haramu...Assume pale bandarini kungekuwa hakuna hakuna serikali/TRA...bei za vitu vingekuwa kama hizi za sasa?
Tuache Chuki na Hasadi zisizo na Maana. Sisi Watanzania tuna Uvivu na majungu miongoni mwetu. Hata ndugu zetu waliopo nje ya nchi wengi wao wapo hivyo. hawana business ya maana wanayofanya.
Mkuu kabla ya kumwaga upupu soma thread yote uelewe kinachoongelewa.
Kwa mtu aliye na akili timamu anajua hasa msukumo wa analysis ambayo imechangiwa vyema.
Inaelekea unaumbumbu wa aina fulani na hivyo kutokuwa na upenyo wa akili wa kuelewa kinachoongelea hapa katika mada hii.
Hachukiwi Msomali bali ugaidi.
First and foremost weka hilo kwenye akiba ya akili yako
Pili kwa akili kama yako ya kawaida waweza fikiri it is a coincidence kuwa kuna utekaji meli, na kuna uwekezaji mzito kutoka baadhi ya wasomali waliopo nchini.
Tatu akili iliyolemaa kama yako utafikiriri milipuko iliyotokea Kampala na Nairobi ilikuwa bahati mbaya tu.
Nne ,bwana Chuma,kama upo nchini utaona kuwa ni jambo la kawaida sana kwamba wasomali wanakamatwa kwa mamia huko Songea ,Kilwa Mbeya na mipaka iliyo mbali na mpaka ambao ungetegemea wangekamatwa, yaani mpaka wa kaskazini.
Ndio maana, bwana Chuma,nasema una umbumbu wa aina fulani kama unashindwa to connect the dots.
Hili mimi sikukurupuka nimeona hizi developments na kuzitembelea.
Wengi wa hawa devlopers hata kiswahili kinawapa shida.
Kwa taarifa yako sasa hivi bongo waTanzania wwenyewe wanawekeza vilivyo.Tembelea Kariakoo, Tegeta na hata Bagamoyo.
Mimi mwenyewe nimewekeza( real estate)
Hili tunaloliongelea ni la kuwasaidia watu kama ninyi mabao mnafikiri pesa za nje ni kila kitu na unaishia kubeba maoksi huko nje na ukirudi utaendelea kubeba hayo maboksi hapa nchini ya wale uliowaacha huko nje.
Na inaeleka hata matatizo ya wananchi na wawekezaji wa Barrick Gold huna habari.
Think and grow up buddy