Magorofa kariakoo ya wasomali

Eti kariakoo mjini!!!!! Ushamba uliokubuhu. Eneo lenyewe limejaa uswahiliswahili wa kahawa na kashata. Kwa jinsi kariakoo ilivyo na karaha kuna watu wenye uwezo wanaweza kukaa hata miaka mitano hawajakanyaga. Halafu leo eti unajivunia kariakoo mjini, ptuuuuuu!!!!!

hahahaha! nimecheka! sana! mkuuwewe utakuwa wakuja .... mijitu ya bara bana full ushamba! ... sasa kahawa imekuwa tatizo kwako! na imekuwa kunywa kahawa ni ushamba! hivi ushawahi kupiga hii kitu ..?

960b83c436e34f5ea4a1e5c7e6d5191e.jpg

tembea mkuu utoe ushamba ulimwengu wa kahawa ni mwengine kabisa! utachekwa!
 
Wahindi si wauwaji wala katili kama wasomali. siyo siri, nchi chache sana zinawakaribisha na kuwakubali

hao WAHINDI unao wafagiria wapo sana EastAfrica na South sababu tume lala lakini haoto mkuta Mdosi NIGERIA..EGYPTY.. sababu wao wanajituma sisi 2 melala sana wacha waje wajenge
 
Kampuni iliingia nchini kwa mbwembwe kwamba ina mtaji wa $624million sasa mradi umeota mawe...Si ajabu kuna watu walilizwa na wasomali wale na kisha kuingia mitini na mapesa chungu nzima.

Wanajenga magorofa na hotel kama njia ya kutakasa pesa zao chafu. Matukio ya Somali pirates yametulia vipi kwa ninini wameshindwa kumalizia zile nyumba zao za bahari beach? Tusiwe kama majuha nakuanza kurusha lawama ni lazima tuwe makini na hawa watu wanaoingia nchini kwetu illegally. Nenda kwenye magodown yao nyerere road uangalie utitiri utakaokutana nao.
 
Kariakoo mbona ipo shwali tu kwanza huijui Kariakoo ngoja nikutajie mitaa ya Kariakoo halafu uniambie wapi wamejaa wasomali...Msimbazi, Aggery, Swahili, Nyamwezi, Congo, Mkunguni, Livingstone, Mchikichi, Uhuru, Chura, Pemba, Lukoma, Magira, Mhonda, Muheza, Kariakoo, Faru, Somali, Kipata, Manyema, Lindi, Narung'ombe, Tandamti, Raha, hiyo ni baadhi ya mitaa ya Kariakoo haya tuambie wapi wamejaa Wasomali.

Na mie niongeze mitaa mingine maarufu yenye watu wengii, MAfya, Twiga, Muhoro, Likoma, Ndanda kote nenda utakuta either wamasai au wasambaa wamejaa tele au wakinga na wachaga na vipodozi vyao! hao wasomali wametoka wapi?
 
Sioni tatizo lipo wapi kwani dunia ya leo sio ya zamani.Kila nchi lazima utaona wageni hata ukienda uingereza mbona wahindi,wasomali,wanigeria,waarabu,wagana,wasouth africa....nk yaani ni wengi huwezi kuwataja wote.Na wengi wao wamenunua nyumba bila ya wasiwasi na sheria zina walinda ilimradi wasivunje sheria.Sasa kama wmekuja na pesa za biashara basi ndio maendeleo yenyewe na kama na wewe mzalendo unazo ndio nzuri zaidi kuwa muwekezaji wa ndani hakuna mtu atakuzuia na kama huna basi kaa kimya jaribu kutafuta jinsi ya kujitoa umasikini lakini itabidi uache choyo au hiyana pamoja na ubaguzi usio na tija.
 
Watu wengi wanasema kariakoo imejaa magorofa ya mafisadi. Inawezekana kabisa ila ukweli ninkuwa kuna wimbi la wasomali wahamiaji kununua nyumba za wazawa na kujenga hoteli na nyumba za kupangisha.
Sijui kama serikali ina mpango gani kuhusu hawa watu ambao sasa wamejaa mjini na kutishia amani.
Mtaa wa Livingstone kuna jengo refu la ghorofa limejaa wasomali na wala hakuna taarifa inayotolewa kuhusu wakaaji haramu. Ukitaka kupanga pale si chini ya dola 800 na wakiona u mswahili unaambiwa ni dola 2000 kwa mwezi.

Tunaomba jamani wakati wa kuandikisha kuhusu vitambulisho serikali iwe macho kwani hiki ndo kipindi cha nida, rita na watendaji wa mitaa kupokea mapesa ya hongo ili hawa watu waandikshwe kama raia na kupewa vitambulisho. Halafu

hawa wasomali ni wakatili na wenye madharau sana :help:

we ****** umeona wasomali tu fara we,huna lolote wivu umekujaa nenda kawaombe msaada sio kuwachafua...nyooo
 
Hawa jamaa wanalink na maharamia wa kisomali, ndiyo maana tokea maharamia waanze kukamatwa na kuuwawa miradi mingi ya ujenzi imekwama, Na siyo kariakoo tu hata na Arusha.
 
Stroy za umbeya, majungu na udaku bora ukampe Shigongo sio humu,Yani ilipwe dola 800 lakin akija Mswahili dola 2000???!! Why? Acha uvivu piga kazi Mzee usiwe mvivu wa kutafuta. Kuna Wakinga kibao wana maghorofa saiv KKO je nao utasemaje?
 
Watu wengi wanasema kariakoo imejaa magorofa ya mafisadi. Inawezekana kabisa ila ukweli ninkuwa kuna wimbi la wasomali wahamiaji kununua nyumba za wazawa na kujenga hoteli na nyumba za kupangisha.
Sijui kama serikali ina mpango gani kuhusu hawa watu ambao sasa wamejaa mjini na kutishia amani.
Mtaa wa Livingstone kuna jengo refu la ghorofa limejaa wasomali na wala hakuna taarifa inayotolewa kuhusu wakaaji haramu. Ukitaka kupanga pale si chini ya dola 800 na wakiona u mswahili unaambiwa ni dola 2000 kwa mwezi.

Tunaomba jamani wakati wa kuandikisha kuhusu vitambulisho serikali iwe macho kwani hiki ndo kipindi cha nida, rita na watendaji wa mitaa kupokea mapesa ya hongo ili hawa watu waandikshwe kama raia na kupewa vitambulisho. Halafu

hawa wasomali ni wakatili na wenye madharau sana :help:

:target:mada yako imetulia ila wachangiaji wengi humu JF nadhani ama hawajagungua mantiki iliyo ktk mada yako au hawaelewi security interest kwa taifa letu katika mada yako. ni kweli kwamba wasomali wanawekeza sana fedha zao katika eneo la kariakoo hapa Dsm. serikali nadhani haifutilii mapesa ya wasomali yanatoka wapi. kuna tetesi kwamba ni mapesa ya Al-shabab waliyokuwa wakiyapata kutokana na kuchukua ransom baada ya kuteka meli za nje zilizokuwa zikikatisha baharini Somalia! hawa watu sio wa kuwaamini sana. pia wako so selfish na wanyanyasaji wa wenyeji!
 
Nashukuru na nimefurahi sana kutambua kuwa bado katika JF kuna great thinkers kama wewe.
Nilipigwa vijembe sana nilpotoa mada hii. Lakini tukubali tusikubali hawa wasomali kariakoo wana HIDDEN AGENDA. Wnataka kufanya kama Kenya kwani sasa estates nyingi ama majengo meng Nairobi yanamilikiwa na wasomali, wazawa wamenunuliwa na baada ya miaka si mingi watafukuzwa na wamiliki watakuwa wao. hapo ndipo tutakapokiona cha mtema kuni, KWANI MSOMALI NI KATILI, JANGILI, FEDHULI, BARADHURI, MIUAJI wasio na conscience lakini kama ulivyosema, serikali bado inawakumbatia hata kuwapa NCHI waiendeshe KIULAINI kabisa. Trust me, Kinana ni msumari wa moto wa mwisho, just wait and see yatakayotokea.
 
hahahaha! nimecheka! sana! mkuuwewe utakuwa wakuja .... mijitu ya bara bana full ushamba! ... sasa kahawa imekuwa tatizo kwako! na imekuwa kunywa kahawa ni ushamba! hivi ushawahi kupiga hii kitu ..?

960b83c436e34f5ea4a1e5c7e6d5191e.jpg

tembea mkuu utoe ushamba ulimwengu wa kahawa ni mwengine kabisa! utachekwa!

Ni kweli, k/koo si mjini, ni sokoni, tena soko chafu
 
Nashukuru na nimefurahi sana kutambua kuwa bado katika JF kuna great thinkers kama wewe.
Nilipigwa vijembe sana nilpotoa mada hii. Lakini tukubali tusikubali hawa wasomali kariakoo wana HIDDEN AGENDA. Wnataka kufanya kama Kenya kwani sasa estates nyingi ama majengo meng Nairobi yanamilikiwa na wasomali, wazawa wamenunuliwa na baada ya miaka si mingi watafukuzwa na wamiliki watakuwa wao. hapo ndipo tutakapokiona cha mtema kuni, KWANI MSOMALI NI KATILI, JANGILI, FEDHULI, BARADHURI, MIUAJI wasio na conscience lakini kama ulivyosema, serikali bado inawakumbatia hata kuwapa NCHI waiendeshe KIULAINI kabisa. Trust me, Kinana ni msumari wa moto wa mwisho, just wait and see yatakayotokea.
:target:yap kamanda! nimegundua watu wengi humu JF hawasomi mada na kuzichambua kwa makini kabla ya kutoa comments zao! kama hii si kweli basi ukweli utakuwa wana-JF wengi wanashindwa kutofautisha JF na mitandao mingine ya kijamii. JF ni makini na inatakiwa iwe treated hivyo.
 
Tusijadili haya mambo uku emotions zikiwa zmetujaa,tunapaswa reality kututawala,nataka kutoa ufafanuz kdogo kwa kile nachofikiri mimi,kwanza mtu anaweza kuwa mtanzania wa kuzaliwa,kuomba uraia,au kwa kua adapted,hivo wapo watanzania wenye asili ya kisomali,sasa mtoa mada anachohoji kivip watawale maeneo nyeti kibiashara na kihistoria pia,na ana haki ya kujua pia,jibu ni kuwa kutokana na nchi yao kujulikana unstable politicly worldwide imekuwa rahic kwa wasomal kuseek asylum abroad na wanakubaliwa kuish,kufanya kazi chin ya sheria za ukimbiz,pia wapo waliozamia abroad.sasa hao wana earn hard currencies abroad like £,€,$ and possibly ¥,sasa hicho wanachopata weng wao wanakituma kwa ndugu zao bongo o kenya n.k ili wanunue majumba n.k,coz wana-afford bei za majumba hayo kwasabab ukibadilisha hizo hard currencies kwenda madafu unakuwa juu,so lazma matajaa tu maeneo hayo,na hawafanyi makosa coz maisha magum,vita somalia vmewafundisha maisha,chakufanya watanzania ni kuwekeza zaid ktk elimu kwetu na kwa kizaz chetu itatusaidia sana.
 
Stroy za umbeya, majungu na udaku bora ukampe Shigongo sio humu,Yani ilipwe dola 800 lakin akija Mswahili dola 2000???!! Why? Acha uvivu piga kazi Mzee usiwe mvivu wa kutafuta. Kuna Wakinga kibao wana maghorofa saiv KKO je nao utasemaje?
Tatizo ni vyanzo vya mapato vya hawa jamaa ndiyo tatizo!
 
Back
Top Bottom