Magorofa kariakoo ya wasomali

Sawa, lakini ujuwe kuwa WASOMALI wengi wao hawajaelimika na ni watu wa vurugu. Angalia kule kwao kulivyo na ukisoma historia ya nchi yao ndipo utauona ouzo wao. Serikali kamata mwizi man!

kuelimika si kigezo ch amani pia wasomali usifikirie kamwe hawajasoma ww na kielimu chako cha kuonyeshwa mitihani na madk ma mpro njaa wa vyo vikuu vyetu vya kata usiringe hunallte mm nimeona wasomali wengi mapro wanapiga kazi hapa USA tena katika vyuo vya maana

kamwe usimpime mtu kutokana na shida ya utwala wa nchi yake.idadi ya maprofesa huenda wakatuzidi wapo duniani kila kona :majani7::target:
 
ACHENI WIVU JAMANI WSOMLI WANAMILIKI TUGOROFA 200 TU MBONA YA WAHINDI U WAARBU N MAFISADI WETU HAMSEMI HASAD ZITAWAMALIZA NYINYI :target::A S 11::mwaaah:

KUWENI WABUNIFU MNAELIMU LAKINI MNAWAZA KUWA FISADI, KIOFISI KIDOGO KAMSHARA KADOGO LAKINI MAWAZO NI RUSHWA NA WIZI DINI YENU HAIWASAIDII TFUTA RIZIKI HALALI ROHO ZA KI BAGUZI NA CHOYO ZITWAAMALIZA NYINYI KIZAZI KISICHO KUWA NA MAARIFA YYT YA KUTAFUTA KWA HALALI
 
Watu wengi wanasema kariakoo imejaa magorofa ya mafisadi. Inawezekana kabisa ila ukweli ninkuwa kuna wimbi la wasomali wahamiaji kununua nyumba za wazawa na kujenga hoteli na nyumba za kupangisha.
Sijui kama serikali ina mpango gani kuhusu hawa watu ambao sasa wamejaa mjini na kutishia amani.
Mtaa wa Livingstone kuna jengo refu la ghorofa limejaa wasomali na wala hakuna taarifa inayotolewa kuhusu wakaaji haramu. Ukitaka kupanga pale si chini ya dola 800 na wakiona u mswahili unaambiwa ni dola 2000 kwa mwezi.

Tunaomba jamani wakati wa kuandikisha kuhusu vitambulisho serikali iwe macho kwani hiki ndo kipindi cha nida, rita na watendaji wa mitaa kupokea mapesa ya hongo ili hawa watu waandikshwe kama raia na kupewa vitambulisho. Halafu

hawa wasomali ni wakatili na wenye madharau sana :help:

sidhani kwa ukatili wana washinda jirani kule mara....
na wewe wakuja nadhani hata hio kariakoo huijui...yaani yale magorofa ni ya wasomali ?
pale kuna wachaga wana magorofa kibao, wapo wapemba, wapo waarabu , wapo wakinga na ndio wengi sasa hivi, wapo wahindi wa chache..
ile kariakoo ndio dar es salaam.. ndio cosmopolitan area ya Dar
ubaguzi wako na kijiba cha kukosa...kitakukondesha
 
kuelimika si kigezo ch amani pia wasomali usifikirie kamwe hawajasoma ww na kielimu chako cha kuonyeshwa mitihani na madk ma mpro njaa wa vyo vikuu vyetu vya kata usiringe hunallte mm nimeona wasomali wengi mapro wanapiga kazi hapa USA tena katika vyuo vya maana

kamwe usimpime mtu kutokana na shida ya utwala wa nchi yake.idadi ya maprofesa huenda wakatuzidi wapo duniani kila kona :majani7::target:

we nae naona akili zako zina matatizo....... unasema kusoma siyo hoja????? Mjinga kweli wewe!!!
 
we nae naona akili zako zina matatizo....... unasema kusoma siyo hoja????? Mjinga kweli wewe!!!
SS WW MASIKINI N HIYO ELIMU YAKO IMEKUSIDIA NINII WW NA WALIOKUZAA MBONA NI MASKINI WW UNWAZA UFISADI SS
PI JARIBU KUFIKIRI HIYO ELIMU YAKO IMEKUSAIDIA NN KWA TARIFA YKO NCHI IMEOZESHWA NA TABAKA LINALO JIITA WASOMI
HAO WASOMALI WW NA DIGRII ZAKO HUWEZI KUWAFIKIA AKILI WALIOZO NAZO :target::target::cheer2:
 
Sawa, lakini ujuwe kuwa WASOMALI wengi wao hawajaelimika na ni watu wa vurugu. Angalia kule kwao kulivyo na ukisoma historia ya nchi yao ndipo utauona ouzo wao. Serikali kamata mwizi man!

WW NA USOMI WAKO HUWA FIKII HAWA JAMAA KWA AKILI NA HATA MAV@@@@@@@@@@@@@@@@@I YA O WW HUFI:target::target::target:KII
 
Dude, bado sijaona point yako hapa....kwahiyo bora wahindi wanaochuma na kuchukua fedha kutoka uchumi wa tz na hawajawekeza wanaexport fedha zote kwenda canada na india? Je kwasababu wao ni weusi au? Ninachofahamu tz inahitaji wawekezaji na hatubagui

Mimi naona swala la msingi hapa, Hawa Wasomali wanaingia nchini mwetu kwa kufuata sheria za nchi?
Vinginevyo amini usiamini lipo tatizo! na hili si kwa Wasomali tu ni kwa wageni wote! Kuna watu wanatetea kwa nguvu zote! ni lazima wafikiri Mara mbili Kama jambo wanalotetea lina masilahi Kwao na kwa taifa!!
Wanaotetea waende Nairobi wakafanye utafiti!! ninaimani majibu hawataleta!!!
 
Tuache WIVU dhidi ya Maghorofa ya Wasomali kwani sisi wazawa tumenyimwa kujenga/kununua/kupanga maghorofa? Kama wana mtaji wa kutosha mi naunga mkono wao kuwekeza hapa kwetu, kwa taarifa tu hakuna sehemu ya Afrika Mashariki na Kati uende usikute MSOMALI (Anza na Kenya, TZ, Uganda, Rwanda, Burundi, Congo DRC,South Sudan tena wanawekeza kwenye biashara za maana (hotel kubwa, biashara ya kusafirisha na kuuza mafuta) ambapo hata wazawa hawajawekeza kama hawa Wasomali au ulitaka na wao wakaweke hela kwenye za USWIZI kama Viongozi wetu? Bora hawa angalau wanawekeza,kuajiri na kulipa kodi katika nchi hizi za Africa. TUACHE WIVU/MAJUNGU dhidi ya Wageni tufanye kazi kwa bidii zote...maana leo unazungumzia WASOMALI kesho WAHINDI, keshokutwa WACHINA zen WACHAGA mtondo goo WAKINGA,halafu WAJITA,WAKURYA na baiskeli zao za Mayai ukiwamaliaza wote utahamia kwenye ukoo wako...ACHA MAWAZO MGANDO ndugu PIGA KAZI acha DOMO

Ni kweli Wadomali wapo maeneo mengi, hata nje ya Afrika pia wapo. Lakini sio kwamba wapo huko kwa sababu ya Biashara tu, wengine ni wakimbizi wa vita huko kwao. Karikaoo kuna magorofa mengi ya Wakinga zaidi ya Wasomali na hakuna shida kwa Mkongo,Mrundi au Msomali kujenga na kumiliki hoteli katika Tanzania ili mradi anafuata sheria zote sahihi. Nafikri kwa sababu za usalama wa nchi ni vema wasomali pamoja na wageni wengine wanaoingia Tanzania kujfahamika vema kwani katika hao Wasomali wengine ni Al-Shabab pia.
Kumbuka wakati majeshi ya Kenya yamevamia maeneo ya Al-Shabab walikuta askari wanne wa Al-shabab wakiwa na paspot za Tanzania, sasa jiulize wamepata wapi hizo paspot?? Kuna haja ya mamlaka etu kuwa makini na Wasomali pamoja na wageni wengine ili kulinda usala wetu.
Hakuna shida kwa Msomali,Mcomoro au Mwarabu kujenga ghorofa au vyovyote vile, mbona tunao akina Rage,Kinana na Bashe katika siasa?? shida ni watu ambao wapo Tanzania lakini akilini mwao wao wanajiona sio Watz. Wanaweza hata kushirikiana na Al-shabab na wengine wowote kuharibu usalama wetu.

Serikali iwatambue, wafuate sheria zote za nchi na kama urai waombe kwa kufuata taratibu sahihi zilizowekwa.

Na hicho ndio kilio changu
 
kuelimika si kigezo ch amani pia wasomali usifikirie kamwe hawajasoma ww na kielimu chako cha kuonyeshwa mitihani na madk ma mpro njaa wa vyo vikuu vyetu vya kata usiringe hunallte mm nimeona wasomali wengi mapro wanapiga kazi hapa USA tena katika vyuo vya maana

kamwe usimpime mtu kutokana na shida ya utwala wa nchi yake.idadi ya maprofesa huenda wakatuzidi wapo duniani kila kona :majani7::target:

Kusema habari za kuvamiwa na wasomali siyo kuwadharau, hasha !! Ni kuonyesha hatari iliyopo ya wao ambao wewe umewaita "mapro" lakini hawajaelimika.
Inawezekana vipi mtu umesoma na hujiheshimu wala kufuata utaratibu.
Kama wamezagaa na kununua nyumba kariako ipo siku inakuja na hawa majanjawid watakamatwa na hizo nyumba wataziachia.
Wewe unasema ni wasomi, wasomi gani wasiotawalika, usomi gaaani huu ?
 
Back
Top Bottom