Magorofa kariakoo ya wasomali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Magorofa kariakoo ya wasomali

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Moony, Jun 26, 2012.

 1. M

  Moony JF-Expert Member

  #1
  Jun 26, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,593
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Watu wengi wanasema kariakoo imejaa magorofa ya mafisadi. Inawezekana kabisa ila ukweli ninkuwa kuna wimbi la wasomali wahamiaji kununua nyumba za wazawa na kujenga hoteli na nyumba za kupangisha.
  Sijui kama serikali ina mpango gani kuhusu hawa watu ambao sasa wamejaa mjini na kutishia amani.
  Mtaa wa Livingstone kuna jengo refu la ghorofa limejaa wasomali na wala hakuna taarifa inayotolewa kuhusu wakaaji haramu. Ukitaka kupanga pale si chini ya dola 800 na wakiona u mswahili unaambiwa ni dola 2000 kwa mwezi.

  Tunaomba jamani wakati wa kuandikisha kuhusu vitambulisho serikali iwe macho kwani hiki ndo kipindi cha nida, rita na watendaji wa mitaa kupokea mapesa ya hongo ili hawa watu waandikshwe kama raia na kupewa vitambulisho. Halafu

  hawa wasomali ni wakatili na wenye madharau sana :help:
   
 2. Lonestriker

  Lonestriker JF-Expert Member

  #2
  Jun 26, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 641
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Una evidence kama ni mafisadi?Wasomali ni wajasiriamali na naunga mkono wao kujenga maghorofa.Labda na sisi tukikaa na wajasiriamali tutajifunza jinsi ya kufanya biashara na kuacha kupiga kelele za 'serikali itusaidie'...Wimbo huu unakera.
   
 3. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #3
  Jun 26, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kijana huijui Kariakoo, tuulize watu wa Kariakoo tukueleze kuhusu Kariakoo.

  Ubaguzi wa rangi au kabila Kariakoo hakuna kabisa. Tunakuomba usituletee hilo kabisa. Pale kuna kila kabila ulijualo la Tanzania na nchi jirani. Pale kuna kila taifa ulijualo, kama haliishi hapo basi japo linatembelea hapo.

  Kariakoo ni soko kubwa (si la mboga tu) bali la biashara katika Afrika mashariki na kati, pale ndio kitovu cha biashara Afrika Mashariki na kati. Tuwacheni na Kariakoo yetu na wageni zetu msituingilie.

  Ufataani na chuki zenu pelekeni hukohuko.
   
 4. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #4
  Jun 26, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Kariakoo umeijua lini ebu tutajie hayo maghorofa ya mafisadi, kwa kukusaidia tu Kariakoo kuna Wasomali, Wazambia, Wamalawi, Wacongo, Wacomoro, Waafrica Kusini, Wasenegal, Wanageria, Wakenya, Waganda, Wanyarwanda, na hakuna ubaguzi wowote kuna amani.
   
 5. TZ biashara

  TZ biashara JF-Expert Member

  #5
  Jun 26, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 523
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Sasa ugomvi wako mkubwa ni wasomali kujaa au wananunua magorofa?Kwani hao wasomali wanaponunua nyumba wananunua kwa nani kama sio wazawa?Naona umekuja na hasira za ubaguzi na watu wa pwani ni wakarimu na hawana ubaguzi.Tuwe mahodari wa kufikiri na kujiwezesha na kama utakaa chini ya mti unapiga porojo na kulalamika hutopiga hatua.
   
 6. M

  Moony JF-Expert Member

  #6
  Jun 27, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,593
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hata Kenya walianza hivi hivi sasa wamekuwa Al Shabaab
   
 7. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #7
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kenya sio Kariakoo, achana na Kariakoo kabisa, fitna zako peleka hukohuko Kenya. Kariakoo kila mtu anakaribishwa ki namna yake akifanikiwa amma anaweza kundelea kuishi hapo amma ana ambaa. Hata Nyerere alipokuja Dar alikaribishwa hapohapo. Mkapa alikaa Livingstone na Ungoni kwenye duka la Amin, mpaka leo lipo na Amin yupo. Ali Hassan Mwinyi alikaa Livingstone, kwenye nyumba maarufu ambayo sasa ni bar bubu ya Pajero.

  Kwa uchache tu nakutajia watu hao famous, Kikwete ndiyo usiseme, barza yake ilikuwa Saigon.

  Na wote hao wamekuta kila kabila wapo hapo na hawakubaguliwa.
   
 8. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #8
  Jun 27, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 5,124
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Seriously, WASOMALI wengi waliopo hapa bongo wako ndani ya nchi yetu illegally. Serikali yetu lazima ifanye jitihada za kusaka WASOMALI haramu. Alhamisi iliyopita nilisafiri kwenda Dubai na WASOMALI ambao hata Kiswahili hawajuwi lakini ni raia wa Tanzania. Mungu alivyonipenda bila kujua, nilikaa seat moja 18C na baadhi ya hawa watu. Kwa kuwa wote tumetoka bongo, nikaanza kuongea nao Kiswahili hakipandi na English haipandi ila ni watanzania, inakuwaje? Hawa watu si safi na hawafai kukaa kwetu kinyume na sheria, watatuletea u al shabab siku za usoni. Serikali mpo?
   
 9. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #9
  Jun 27, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 5,124
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280


  Sawa, lakini ujuwe kuwa WASOMALI wengi wao hawajaelimika na ni watu wa vurugu. Angalia kule kwao kulivyo na ukisoma historia ya nchi yao ndipo utauona ouzo wao. Serikali kamata mwizi man!
   
 10. a

  andreakalima JF-Expert Member

  #10
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 2,922
  Likes Received: 1,822
  Trophy Points: 280
  Tuache WIVU dhidi ya Maghorofa ya Wasomali kwani sisi wazawa tumenyimwa kujenga/kununua/kupanga maghorofa? Kama wana mtaji wa kutosha mi naunga mkono wao kuwekeza hapa kwetu, kwa taarifa tu hakuna sehemu ya Afrika Mashariki na Kati uende usikute MSOMALI (Anza na Kenya, TZ, Uganda, Rwanda, Burundi, Congo DRC,South Sudan tena wanawekeza kwenye biashara za maana (hotel kubwa, biashara ya kusafirisha na kuuza mafuta) ambapo hata wazawa hawajawekeza kama hawa Wasomali au ulitaka na wao wakaweke hela kwenye za USWIZI kama Viongozi wetu? Bora hawa angalau wanawekeza,kuajiri na kulipa kodi katika nchi hizi za Africa. TUACHE WIVU/MAJUNGU dhidi ya Wageni tufanye kazi kwa bidii zote...maana leo unazungumzia WASOMALI kesho WAHINDI, keshokutwa WACHINA zen WACHAGA mtondo goo WAKINGA,halafu WAJITA,WAKURYA na baiskeli zao za Mayai ukiwamaliaza wote utahamia kwenye ukoo wako...ACHA MAWAZO MGANDO ndugu PIGA KAZI acha DOMO
   
 11. a

  andreakalima JF-Expert Member

  #11
  Jun 27, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 2,922
  Likes Received: 1,822
  Trophy Points: 280
  Tatizo letu watanzania badala ya kufanya kazi kwa bidii tunatumia muda mwingi kujilinda dhidi ya wageni.. kwa dunia ya sasa tena na hivi East Africa Political federation inakuja nyie mnaotaka wageni wasichukue nafasi sijui mtajificha wapi....CHANGAMKENI wadau nendeni shule(wa kwenda shule), Changamka na biashara(wafanyabiashara) etc
   
 12. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #12
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Sasa nyinyi mbona mnakuwa mapunguani sana, Mtu aje na hela zake (ingawa ghorofa nyingi kariakoo si za wasomali) awekeze hapa kwenu kwa kujenga, halafu awekeze na biashara halafu mumfukuze? Nyie mmezowea kuiba Tanzania muwapelekee wazungu ziwaneemeshe. Mnafaidika nazo nini hizo fedha mnazoziweka huko?
   
 13. Mla Mbivu

  Mla Mbivu JF-Expert Member

  #13
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 221
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ukiona thread inachangiwa na zombi sijui zoba na ritz ujue wana interest za kadini kao
   
 14. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #14
  Jun 27, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mleta Maada anaonekana si mtu wa mwambao mwenye roho nyeusi....... Acha ubaguzi mkuu!! utakuja

  kufa na kijuba cha moyo
   
 15. Top Thinker

  Top Thinker Senior Member

  #15
  Jun 27, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 173
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Aaaah boflooooo. Kumbe wewe mpemba eeehhh. Mi nilikuwa nahisi tu hahauaa.
   
 16. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #16
  Jun 27, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mimi mnyamwezi mkuu
   
 17. Top Thinker

  Top Thinker Senior Member

  #17
  Jun 27, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 173
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mnyamwezi wa Makunduchi au kisima cha mkojo?
   
 18. M

  Moony JF-Expert Member

  #18
  Jun 27, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,593
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  nadhani hukuelewa mada
   
 19. M

  Moony JF-Expert Member

  #19
  Jun 27, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,593
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Asante mkuu, Nimefurahi kutambua kuwa umeelewa pointi yangu siyo watu wanakurupuka tu na matusi.
  Nia ni kutoa tahadhari na kuamsha watu ambao hawajui kipi kinaendelea.

  wasomali wako wengi nchini ILLEGALLY na ni hatari kubwa
   
 20. M

  Moony JF-Expert Member

  #20
  Jun 27, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,593
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  Inaelekea wewe unatunza illegal imigrants !
   
Loading...