Magorofa kariakoo ya wasomali

Magorofa kariakoo ya wasomali

Tembea uone dunia ilivyo ndugu yangu. Airport zote zina harufu ya kahawa. Obama kila asubuhi lazima apige kikombe cha kahawa, Angela Meckel vilevile. Kahawa ni kinywaji kinachoheshimika sana duniani. Kama kinachokufanya uchukie kariakoo ni kahawa basi hutaweza kuenjoy jiji lolote duniani.

Matajiri duniani hawakai katikati ya miji ila wanamili biashara katikati ya miji. Tajiri anataka kuwa na estate kuuuuuubwa, ataipataje katikati ya jiji?

Kwa sasa mnaweza kujiona wajanja sana kwa kuishi na wasomali Kariakoo,lakini baada ya muda fulani watakaposhika
mpaka udiwani hao wasomali,ndipo mtawajaua watakavyowakimbiza wazaramo kariakoo.
 
Kenya sio Kariakoo, achana na Kariakoo kabisa, fitna zako peleka hukohuko Kenya. Kariakoo kila mtu anakaribishwa ki namna yake akifanikiwa amma anaweza kundelea kuishi hapo amma ana ambaa. Hata Nyerere alipokuja Dar alikaribishwa hapohapo. Mkapa alikaa Livingstone na Ungoni kwenye duka la Amin, mpaka leo lipo na Amin yupo. Ali Hassan Mwinyi alikaa Livingstone, kwenye nyumba maarufu ambayo sasa ni bar bubu ya Pajero.

Kwa uchache tu nakutajia watu hao famous, Kikwete ndiyo usiseme, barza yake ilikuwa Saigon.

Na wote hao wamekuta kila kabila wapo hapo na hawakubaguliwa.

Naomba niongeze hapa, Mheshima Sinde Warioba kwao pale Mtaa wa Ndanda ambao sasa hivi umebadili na kuitwa John Rupia, Mtaa huo ulikuwa umesheheni wakubwa, Warioba, kina Rupia, kina Sykes , Kitwana Kondo pia walikuwa na nyumba mtaa huo, sasa hao mafisadi unaosema wewe wametoka wapi? na kwa taarifa yako wenyeweji wa Kariakoo sasa hivi wamestuka wanaingia mikataba na wenye kujenga kwa kifupi Kariakoo ni njema atae na aje ! ili mradi awe mstaarabu... hebu tuache na Kariakoo yetu WIVU UMEKUSHIKA NA SI LENGINE ! nenda na wewe kaanzishe KariakooB ILI LIJE KABILA UNALOLITAKA !
 
Nakubaliana nawe kwa kuwa wakati unaandika ulikuwa hujanywa chai na hujui mchana utakuwaje. Maisha magumu mpaka yanakimbiza busara.

tatzi la WASOMALI nujenga majumba au kuishi TZ??? maana kama kujenga tunao viongozi wetu wa Serikali wamejenga na wame nunu mta South Afrika .UK.USA na SWIS.nao wafukuzwe hukoo kwani hapa kwao hawna tofauti na Wasomali Wana pesa chafu nao wameenda kutakasa inje hao ote wanao ongea juu ya WASOMALI hawajatembea Duniani h
 
Pengine ni tatizo la kuwa na serikali dhaifu na legelege. Uchumi wa Tanzania unakua taratibu sana kutokana na udhaifu uliosheheni.
 
Eti kariakoo mjini!!!!! Ushamba uliokubuhu. Eneo lenyewe limejaa uswahiliswahili wa kahawa na kashata. Kwa jinsi kariakoo ilivyo na karaha kuna watu wenye uwezo wanaweza kukaa hata miaka mitano hawajakanyaga. Halafu leo eti unajivunia kariakoo mjini, ptuuuuuu!!!!!

Aise hayo ni MANENO YA MKOSAJI ! Sungura aligumia "SIZITAKI MBICHI HIZI" hao wakubwa wote wanatamani leo wangewekeza Kariakoo, kwa taarifas yako hakuna sehemu ambayo inalipa kibiashara kama Kariakoo, mate yanawatoka ! IDUMU KARIAKOO , NA MOLA ATUWEKEE MAJUMBA YETU AMIN AMIN AMIN, na wazee wetu walotuachia urithi Mola awaswameh na awaweke pema peponi Amin...
 
Kwa sasa mnaweza kujiona wajanja sana kwa kuishi na wasomali Kariakoo,lakini baada ya muda fulani watakaposhika
mpaka udiwani hao wasomali,ndipo mtawajaua watakavyowakimbiza wazaramo kariakoo.

unayebishana naye mwenyewe anasura ya kisomali, sasa sijui unataka akubali kwamba yeye siyo raia wa nji hii kirahisi
 
Nasikitishwa na watanzania wanaofurahia wasomali kujenga majumba Kariakoo,kwa Mkenya
hasa wa Nairobi ukimuuliza kuhusu kero wanayoipata leo toka kwa wasomali maeneo ya Eastleigh
angepigana kuhakikisha hawa jamaa hawamilki mahali,labda kwa mtu asiyejua ukatili wa wasomali.
Wasomali wameshika eneo lote la Eastleigh na kujaza biashara zao na kulifanya lile eneo ni kama
Somalia ndani ya Nairobi,pamoja na jeuri ya askari wa Kenya lakini eneo hili wanafyata mkia.Leo
hii inasikitisha tunafurahia wasomali kujenga maghorofa Kariakoo na pesa yao chafu ya kuteka
mameli,please watanzania na serikali yetu wake up!!!!!!

Dude, bado sijaona point yako hapa....kwahiyo bora wahindi wanaochuma na kuchukua fedha kutoka uchumi wa tz na hawajawekeza wanaexport fedha zote kwenda canada na india? Je kwasababu wao ni weusi au? Ninachofahamu tz inahitaji wawekezaji na hatubagui
 
Kariakoo mbona ipo shwali tu kwanza huijui Kariakoo ngoja nikutajie mitaa ya Kariakoo halafu uniambie wapi wamejaa wasomali...Msimbazi, Aggery, Swahili, Nyamwezi, Congo, Mkunguni, Livingstone, Mchikichi, Uhuru, Chura, Pemba, Lukoma, Magira, Mhonda, Muheza, Kariakoo, Faru, Somali, Kipata, Manyema, Lindi, Narung'ombe, Tandamti, Raha, hiyo ni baadhi ya mitaa ya Kariakoo haya tuambie wapi wamejaa Wasomali.
 
Nakubaliana nawe kwa kuwa wakati unaandika ulikuwa hujanywa chai na hujui mchana utakuwaje. Maisha magumu mpaka yanakimbiza busara.

umaskini wa fikra na upeo wa kufikiri, lazima utakuwa msomali tu.
 
Dude, bado sijaona point yako hapa....kwahiyo bora wahindi wanaochuma na kuchukua fedha kutoka uchumi wa tz na hawajawekeza wanaexport fedha zote kwenda canada na india? Je kwasababu wao ni weusi au? Ninachofahamu tz inahitaji wawekezaji na hatubagui

Wahindi si wauwaji wala katili kama wasomali. siyo siri, nchi chache sana zinawakaribisha na kuwakubali
 
Naomba niongeze hapa, Mheshima Sinde Warioba kwao pale Mtaa wa Ndanda ambao sasa hivi umebadili na kuitwa John Rupia, Mtaa huo ulikuwa umesheheni wakubwa, Warioba, kina Rupia, kina Sykes , Kitwana Kondo pia walikuwa na nyumba mtaa huo, sasa hao mafisadi unaosema wewe wametoka wapi? na kwa taarifa yako wenyeweji wa Kariakoo sasa hivi wamestuka wanaingia mikataba na wenye kujenga kwa kifupi Kariakoo ni njema atae na aje ! ili mradi awe mstaarabu... hebu tuache na Kariakoo yetu WIVU UMEKUSHIKA NA SI LENGINE ! nenda na wewe kaanzishe KariakooB ILI LIJE KABILA UNALOLITAKA !

weka mada inayohusu msomali na AL SHABAAB na AL QAIDA utawajua
 
Kwa sasa mnaweza kujiona wajanja sana kwa kuishi na wasomali Kariakoo,lakini baada ya muda fulani watakaposhika
mpaka udiwani hao wasomali,ndipo mtawajaua watakavyowakimbiza wazaramo kariakoo.

yaani kuwatambua Al shabaab rahisi kwelikweli, weka tu thread inayomhusu msomali
 
hiyo nikawaida duniani kote mwenyeji hua ampendi MUHAMIAJ hata ikienda UK..JAPAN..USA..MILDDE EAST na hapa TZ pia tunayo hiyo kasumba lakini bila wahamiaji hakuna mabadiliko ya maisha..sasa europe yote kuna wahamiji na ndio changamoto zimekuwepo kwa wenyeji TUKUBALI MABADILIKO YA DUNIA wandugu......
 
Hili suala ni nyeti sana,
Rafiki yangu mmoja wa Hazina kaniambia baada ya kuona majengo yanaibuka kama uyoga mitaa ya Kariakoo, serikali ikawatuma wakaulize na Kenya, nao kumbe wana same problem. Conclusion ikawa ni fedha chafu za Wasomali zinatakatishwa.
 
Mijitu mingine bana inajidai inauchungu na nchi kwa kuwa bagua wenzao.Wewe mwenyewe muulize mama yako usikute msomali.
 
Hili suala ni nyeti sana,
Rafiki yangu mmoja wa Hazina kaniambia baada ya kuona majengo yanaibuka kama uyoga mitaa ya Kariakoo, serikali ikawatuma wakaulize na Kenya, nao kumbe wana same problem. Conclusion ikawa ni fedha chafu za Wasomali zinatakatishwa.

Wasomali waliokuwa wanateka meli mbali mbali za usafirishaji mafuta na bidhaa nyingine muhimu wametengeneza pesa haramu nyingi sana. Mashirika mengine yalikuwa yanalipa hadi $10million in cash ili kukomboa meli moja na kipindi kile waliziteka meli nyingi sana. Sasa wanaenda katika nchi mbali mbali za afrika hasa Afrika Mashariki kuzitakasa pesa zao haramu kwa kuwekeza sehemu mbali mbali hasa ununuzi wa nyumba. Tungekuwa na Serikali na vyombo vya dola makini vingewafuatilia wasomali hawa ili kujua vyanzo vya pesa chungu nzima ambazo wanaingiza nchini, lakini kwa kuwa tuna Serikali na vyombo vya dola DHAIFU wasomali na pesa zao haramu wanapeta tu.

Watanzania wenye mapenzi na nchi yetu wakianza kuhoji mfumuko wa wasomali hawa na wageni wengine mbali mbali nchini huonekana ni Wabaguzi wa rangi!!!!

Hii ndoa ya Al Shabaab na CCM ni hatari kwa watanzania. CCM na serikali yake wameishiwa kiasi cha kupwakia kila pesa bila kujali ni chafu au safi halali au haramu. Taratibu wanauza Tanzania kwa kila jambazi mwenye pesa. Jana waliuza bendera yetu kwa wairan. Leo wameuza majumba kwa Al Shabaab. Juzi waliuza nchi kwa wawekezaji. Tumegeuzwa kama vyangu wanaoweza kuhudumia kila bwana bila kujali ni jambazi au mtu mwema. Hayo ndiyo maisha bora kwa wote?
 
Wasomali waliokuwa wanateka meli mbali mbali za usafirishaji mafuta na bidhaa nyingine muhimu wametengeneza pesa haramu nyingi sana. Mashirika mengine yalikuwa yanalipa hadi $10million in cash ili kukomboa meli moja na kipindi kile waliziteka meli nyingi sana. Sasa wanaenda katika nchi mbali mbali za afrika hasa Afrika Mashariki kuzitakasa pesa zao haramu kwa kuwekeza sehemu mbali mbali hasa ununuzi wa nyumba. Tungekuwa na Serikali na vyombo vya dola makini vingewafuatilia wasomali hawa ili kujua vyanzo vya pesa chungu nzima ambazo wanaingiza nchini, lakini kwa kuwa tuna Serikali na vyombo vya dola DHAIFU wasomali na pesa zao haramu wanapeta tu.

Watanzania wenye mapenzi na nchi yetu wakianza kuhoji mfumuko wa wasomali hawa na wageni wengine mbali mbali nchini huonekana ni Wabaguzi wa rangi!!!!

Skia Bubu,

Kuwafuatilia hawa jamaa yaweza kua rahisi sana, suala ni kua wamejiingiza mpaka kwenye serikali yetu, na pengine wana influence kubwa serikalini.

Juzi hapa tumesikia kuna Ex-PM mmoja kalamba 400Mil kutoka kwa hawa jamaa, huyo Ex-Pm ni mojawapo ya wawania Uprezidaa ajae, wafikiri kwa mahusiano aliyo nayo na hawa jamaa, akifanikiwa kuukwaa huo uprezidaa (mungu epushia mbali) kuna kuwakamata kweli??

Inasemekana hata Kampeni meneja maarufu wa chama cha huyu Ex-PM ni "wa kulekule", unategemea nini hapo??
 
Back
Top Bottom