ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,239
- 40,778
Hayo ndio magoli yako 3 πTyping...................delete
Typing.................delete
Typing.............delete
Wewe ni yanga? PoleAisee
Kulombana sio anasa!Hayo ndio magoli yako 3 π
Nilifunga moja tu kwa ufanisi . . . ushindi ni ushindi tuπ mengi yanini kuchoshana tu kwani kesho si mchecho upo??!!!
Ila tukiongea ule uhalisia hamna kitu raha duniani kama kula mzigo bn!Ni takwa la mwili ila Mpaji Munguππ
Na bila mashabiki team inakosa vibeKwa wanaume, goli la kwanza ndo hua tunalitambua, hayo mengine n kwa ajili ya kufurahisha mashabiki na kupandisha takwimu tuu.
Wametufukuzia my wetu π’π’Azam wamenikera sana wametupeperushia njiwa wetu tulikuwa tunamsubiria tunduni
Kwamba, kwenu nyie simba n kushindana na Yanga tuu na sio kushindana na timu bora?Azam wamenikera sana wametupeperushia njiwa wetu tulikuwa tunamsubiria tunduni
Jiulize kwanini mchezo una dakk 90 na nyongeza juu hii ni kutaka mchezo unoge na kuonesha ufundi wa wachezaji wa pande zote mbiliAisee
Hv ishu hua n idadi ya magoli au muda unaoutumia kufunga hayo magoli?
Mfano, nifunge magoli matatu ndani ya dkk 10 na mwngn afunge magoli matatu ndani ya masaa mawili, yupi yupo vzr?
Nazungumzia magoli yanayosemwa Na mtoa mada baada ya kusoma uzi vzr
π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯Ila tukiongea ule uhalisia hamna kitu raha duniani kama kula mzigo bn!
Hatutaki kushinda nae ila tulitaka kumuweka mabao mithili ya yale ya azam leoKwamba, kwenu nyie simba n kushindana na Yanga tuu na sio kushindana na timu bora?