Mpap Ndabhit
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 245
- 248
Kuna haja ya kuona na kupongezwa juhudi za makusudi za viongozi wetu hasa mheshimiwa Samia na Tulia.
Wananchi wa jiji la Mbeya tunaona uchumi wa mkoa wetu unakuwa Kwa kuangalia hata miundo mbinu.
Tunaona sekta ya ujenzi hususani nyumba Bora, nzuri zinaongezeka Kwa Kasi awamu hii.
Wito wangu wafanyabiashara tuendelee kuwezekeza Mbeya, pesa IPO.