jijini mbeya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania KERO Kasumba ya kukatisha ruti za daladala yageuka kero kubwa jijini Mbeya

    Kwa msafiri anayepanda daladala kutoka Uyole, Nanenane na maeneo mengine ya ukanda huo kuelekea Stendi Kuu ya Mabasi katika eneo la Uhindini, safari ambayo ilipaswa kuwa ya moja kwa moja imegeuka kuwa kero ya kila siku. Kwa muda sasa, baadhi ya abiria wamekuwa wakilalamikia tabia ya baadhi ya...
  2. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania KERO Mkuu wa shule ya Sekondari Ikulu jijini Mbeya amekuwa kero kwa wazazi

    Habari za muda huu ndugu wapenzi wa jukwaa hili la JamiiForums. Kuna Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Ikulu iliyopo jijini Mbeya, anaye julikana kwa jina la Godfrey Sitayila amekuwa kero kubwa sana kwa wazazi wa wanafunzi wanaosoma shuleni hapo. Amekuwa akitoa kauli ambazo siyo nzuri kwa...
  3. magical fire

    JamiiForums Tanzania KERO Nauli za Daladala Jijini Mbeya ni mzigo kwa Wananchi

    Kwanini daladala za Mbeya wanachukua nauli shs 1000 badala ya nauli halali ya shs 700-800. na wakati umbali hauzidi hata km 10 ?? Mfano kutoka Uyole hadi Kabwe au Mwanjelwa ni Km 7 lakin tunalipa 1000, lakini pia hata ukiwa unashuka vituo vya njiani wanatoza 1000 pia kituo hadi kituo nauli...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Chanjo ya Minyoo na Kichocho inayotolewa Shule za Msingi yadaiwa kuua Wanafunzi Jijini Mbeya

    Watoto wa shule ya msingi jijini Mbeya wamepata matatizo ya kiafya ikiwemo kuumwa tumbo na kutapika na wengine kufaliki baada ya kupewa chanjo ya vidonge kwa ajili ya minyoo na kichocho. Miongoni mwa mwanafunzi aliyefaliki ni mwanafunzi wa kike mwenye miaka minne aliyekuwa anasoma Shule ya...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kwa mwenye kufahamu kinacho endelea ujenzi wa barabara jijini Mbeya

    Wakuu msada kwa anaeye fahamu kinacho endelea juu ya ujenzi wa njia nne jijini mbeya. Mwaka jana nilishuhudia kero ya vumbi na baadaye matope! Kisa ni enzi huu sasa jana narudi Mbeya mjini hali ni ile ile! mwaka jana walau wajenzi walikuwa kazini maeneo mengi kuanzia Uyole hadi Mwanjelwa na...
  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia aahidi kuweka taa za barabarani jijini Mbeya, asema ikiwezekana Mwanjelwa patajengwa daraja la kuvusha watu

    Akizungumza katika uwanja wa Airport ya zamani jijini Mbeya, mgombea wa urais kupitia chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan ameahidi kuweka taa za barabarani katika maeneo ya Ilomba, njia panda ya Uyole, Sae jijini Mbeya, Meta na Njiapanda ya kwenda Chunya ili vijana waweze kujiajiri...
  7. gcmmedia

    JamiiForums Tanzania KERO Kukatika umeme jijini Mbeya kumezidi

    Wiki hii leo ni siku ya 5 kila siku umeme unakosekana kutwa nzima jijini Mbeya. Zaidi siku ya hapo leo 09.08.2025 muda huu saa 4:40 usiku bado umeme haujarudi tangu ulipokatika majira ya saa 1 asubuhi. Cha kushangaza, hakuna taarifa yoyote iliyotolewa na TANESCO. Kuna nini?
  8. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Mchengerwa aweka jiwe la Msingi Soko la Kimataifa la Sokomatola na kukagua Stendi ya Mabasi ya kisasa jijini Mbeya

    Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa tarehe 26 Aprili, 2025 ameweka jiwe la Msingi katika Soko la Kimataifa la Sokomatola na kukagua Stendi ya Mabasi ya kisasa iliyopo jijini Mbeya na kupongeza miradi hiyo miwili inayosimamiwa na Halmashauri ya jiji la...
  9. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Tulia azindua gari la kubebea wagonjwa lililotolewa na Serikali kwa ajili ya Kituo cha Afya cha Mwakibete, jijini Mbeya

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye pia ni Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 19 Aprili 2025, amezindua gari la kubebea wagonjwa (ambulance) lililotolewa na Serikali kwa ajili ya Kituo cha Afya cha Mwakibete, jijini Mbeya. Uzinduzi huo unalenga...
  10. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Watu 345 waugua ugonjwa wa kipindupindu jijini Mbeya

    Odas Aron ni mratibu wa elimu ya Afya jijini Mbeya anasema Mpaka kufikia sasa watu 345 wameugua ugonjwa huo katika halmashauri ya jiji la Mbeya huku wakiendelea kupata matibabu kwenye kambi maalumu zilizotengwa.
  11. lord commander

    JamiiForums Tanzania Katikati ya mapambano dhidi ya Kipindupindu jijini Mbeya, hakuna maji

    Leo nikiwa zangu kazini katika harakati za kutafuta mkate wa kila siku, wife ananipigia simu kuwa nitakaporudi nitaoga matope. Namuuliza kwanini, ananiambia kuwa maji HAKUNA. Sitaki kuiongelea Mbeya yote kwa ujumla lakini kwa maeneo ambayo mimi ninaishi haya ya Iyunga, na Nzovwe, hali hii...
  12. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Wazazi tutoe elimu ya chakula kwa Watoto wetu kuanzia nyumbani ili iwe tahadhari ya kujilinda na Kipindipindu

    Habari ndugu zangu, Wana jukwaa wenzangu hasa tunaoishi ndani ya Jiji chafu kuliko yote nchini, Jiji la Mbeya Naomba leo niwape angalizo kidogo hasa sisi wenye Watoto ambao ni Wanafunzi, tujaribu kuwapa Elimu ya usafi na kujiepusha kula kula hovyo huko mashuleni. Hali ya Kipindupindu ndani ya...
  13. Right Marker

    JamiiForums Tanzania KERO Kituo kidogo cha magari Simike - jijini Mbeya kinahatarisha usalama wa abiria

    📖Mhadhara (71)✍️ Mbeya ni mkoa ambao unakabiriwa na matukio ya ajali za mara kwa mara. Maeneo ambayo ajali hutokea sana ni; 1. Mlima nyoka, 2. Mteremko wa Simike (Nzovwe), na 3. Mlima wa Mbalizi. Licha ya ajali nyingi kutokea katika maeneo hayo hasa Mteremko wa Simike (Nzovwe), lakini mabus...
  14. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Watoto wa Mitaani Mbeya wanajihusisha na matukio ya uhalifu, wanaanza kuwa tishio, Serikali itatue kabla hali haijawa mbaya

    Habari Wana Jamvi, Mitaa mingi ya Jiji la Mbeya kwa sasa imekuwa ikikambiliwa na changamoto ya ongezeko la vibaka au matukio yanayohusisha vibaka. Kumekuwa na matukio kadhaa ya watu kuripoti kuibiwa na kwa asilimia kubwa Wananchi wengi tunaona wanaotajwa kuhusika ni Watoto wanaoonekana...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mbeya: Kuna usumbufu mkubwa Barabara ya Ilomba - Isyesye - Relini baada ya Mkandarasi kutelekeza mradi

    Ujenzi wa Kalavati umetelekezwa, Mkandarasi alianzaje kukata barabara wakati hayuko tayari kujenga? Mamlaka husika TARURA iko wapi? Wananchi tunateseka sana tunaoipita barabara hii kuelekea nyumbani hasa msimu huu wa mvua. Kalavati hilo lipo jirani kabisa na Kituo cha Radio Ushindi FM. Mamlaka...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mwenyekiti wa CCM Mbeya: Changamoto ya maji inaenda kuisha Jijini Mbeya, tunaleta mradi wa bilioni 117

    Mwenyekiti wa CCM Mbeya amesema changamoto ya maji inaenda kuisha Jijini Mbeya ifikapo mwakani (2025), kutokana na kupelekwa kwa mradi wa zaidi ya TSh. bilioni 117. Ametoa kauli hiyo katika uzinduzi wa Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Pia, Soma: Special Thread: Orodha ya Mijadala ya...
  17. C

    JamiiForums Tanzania KERO Vijana wa Kata ya Kalobe jijini Mbeya walalamikia uwanja wao wa mazoezi kutumika kama barabara

    Vijana wa kata ya kalobe wamejikuta katika hali ya mshangao baada ya uwanja wao wa mazoezi kufanywa njia mbadala ya kupitia magari na vyombo vingine. Hali hii imewafanya vijana awa kushindwa kufanya mazoezi katika eneo lao la kila siku kwa kuofia afya zao. Baada ya kutokea kwa jambo hilo vijana...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Serikali ya kata ya Kalobe jijini Mbeya imeshindwa kuwajali wananchi wake wanaotumia uwanja wa Kalobe shule ya msingi kufanya mazoezi

    Mnamo tarehe 14/2/2024 wananchi wa mtaa wa Kalobe wanaotumia uwanja wa Kalobe walipeleka malalamiko kuhusiana na uwanja wao kuaribiwa na watu wanaotumia barabara ya Kalobe kuenda itende kupita uwanjani kwao. Na kuaribu mazingira ya uwanja huo mmoja unaotumiwa na mtaa mzima vijana waliongea na...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kelele za Matangazo (PA) zinatutesa wikiendi Asubuhi Jijini Mbeya

    Kumekuwa na kero ya Watu wanaopita na magari ya matangazo (PA) Mbeya Mjini tena wanatabia ya kuanza matangazo yao mida ya Saa Kumi na Mbili kasoro asubuhi siku za mapumziko wakati tumelala. Hii ni kero na kwa sababu jiji linapokea silimia kadhaa kwenye haya matangazo tunaona hawakemai hili...
  20. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mbaroni wakitorosha Madini yenye Thamani ya Shilingi 1.5 Bln. Waziri Mavunde aagiza kufutwa kwa leseni zao ndani ya nchi

    Watu 10 wamekamatwa Jijini Mbeya Wakitorosha Madini ya Dhahabu kilo 9.5 yenye thamani ya Shilingi Bilioni 1.5 na kuisababishia Serikali hasara. Waziri wa Madini Antony Mavunde ameagiza Kamishna wa Madini kufuta leseni za watu hao popote pale ndani ya Nchi.Tukio hili la utoroshaji limekuwa ni la...
Back
Top Bottom