Magdalena Sakaya, Prof. Lipumba atakupoteza

Magdalena Sakaya, Prof. Lipumba atakupoteza

Huyu mwanamama mwanasiasa machachari sikutegemea kama angepumbazwa na Lipumba. Najiuliza kampa nini? Ni miongoni mwa viongozi na wabunge wa CUF niliokuwa nawaamini sana. Baada ya Lipumba kujiuzulu kashikamana na chama na hatimaye kuukwaa ubunge kwa tiketi ya CUF na backup kubwa ya UKAWA.

Ni miongoni mwa akina mama niliowaona shupavu na wenye kutetea hoja.
Sasa simuelewi, mbona hakumuunga mkono wakati anajiuzuru tukamuelewa?

Sakaya mama sikuelewi hata kidogo.
na lissu amepewa nini na lowasa
 
Mkuu Pasco

Nakubaliana na wewe.Nimekusoma na hata kujazia hapo ulipoweka . . .
Mkuu Ben Saanane, afadhali soma kuelewa na kujazia hivyo hivyo kimoyomoyo maana kuna vitu ukisema kila kitu, hapa jf patakuwa hapatoshi haswa kwa kuzingatia hizi ndio siasa zetu na hawa ndio wanasiasa wetu maana hata hapo ndani kwako. ...si mchezo, ila hata ningekuwa mimi!, besides everything else, we are all human! .
Pasco
 
Sakaya ni kichwa sana. Lakini loyalty ya kiwango hiki, tena kwa Lipumba na sio chama ina maanisha kuna zaidi ya siasa. Ashakum, mke wa jamaa ni anonymous-sitashangaa kama jamaa kajipatia mke ofisini.
 
Miongoni mwa watu ambao huwa very loyal ni wanawake!, na uaminifu huu huwa unazidi iwapo. ...anaweza kuamua kufa na wewe! .
Pasco
Na loyalty huchagizwa zaidi na ......
 
Huyu mwanamama mwanasiasa machachari sikutegemea kama angepumbazwa na Lipumba. Najiuliza kampa nini? Ni miongoni mwa viongozi na wabunge wa CUF niliokuwa nawaamini sana. Baada ya Lipumba kujiuzulu kashikamana na chama na hatimaye kuukwaa ubunge kwa tiketi ya CUF na backup kubwa ya UKAWA.

Ni miongoni mwa akina mama niliowaona shupavu na wenye kutetea hoja.
Sasa simuelewi, mbona hakumuunga mkono wakati anajiuzuru tukamuelewa?

Sakaya mama sikuelewi hata kidogo.
Tulijitahidi hata kumsimamisha agombee unaibu spika kwa heshima zote , sasa atavuna alichopanda , maisha ukiyakosea tu umekwisha .
 
Sakaya ni kichwa sana. Lakini loyalty ya kiwango hiki, tena kwa Lipumba na sio chama ina maanisha kuna zaidi ya siasa. Ashakum, mke wa jamaa ni anonymous-sitashangaa kama jamaa kajipatia mke ofisini.
Mkuu ndio loyalty inayotakiwa.
 
Yule mmama nilimhurumia kabisa. Muongo mwangalie atoavyo mimacho, utadhani katafuna kamongo mkavu. Dah! Sijui, siku ya siku Lipumba akimwaga vumbi Magdalena utakwenda wapi??
Lipumba ana ofisi Kigali, weye mama, utaenda wapi??
Kwan prof. Ana mke ?!!
 
Dah..maneno kama haya aliambiwa binti wa Sokoine..akayadharau..akabaki na heshima yake..
 
Namshauri dada yangu Magdalena Sakaya akae mbali na Prof. Lipumba kwani yatakayomkuta atayajutia.

Nimemshangaa Magdalena Sakaya anadiriki kusema eti leo ndio wanataka watafakari uchaguzi mkuu ulivyokuwa.

Muda wote walikuwa wapi? Kwanza Prof. Lipumba alitangaza eti kamfukuza kazi Maalim Seif sasa iweje leo anadai wanamsubiri Maalim Seif?
ewe mjinga kaa mbali kabisa na mambo ya CUF. hayo hayakuhusu. wewe kaendelee kuimba mapambio pale ufika au hata lumumba ukitaka. between UKUTA lini?
 
Kwan prof. Ana mke ?!!

Mkuu;
Sidhani na kama angelikuwa naye, basi huyo mama atajifia kwa BP. Mwanamume kuacha nyumba yake na kwenda kulala ofisini ati analinda wasije kuingia wengine wakajifungia ndani. Nonsense kabisa
 
Namshauri dada yangu Magdalena Sakaya akae mbali na Prof. Lipumba kwani yatakayomkuta atayajutia.

Nimemshangaa Magdalena Sakaya anadiriki kusema eti leo ndio wanataka watafakari uchaguzi mkuu ulivyokuwa.

Muda wote walikuwa wapi? Kwanza Prof. Lipumba alitangaza eti kamfukuza kazi Maalim Seif sasa iweje leo anadai wanamsubiri Maalim Seif?
JEMBE LA KAZI ,MAMA KOMAAA HAO HAWANA ADABU...........................
 
Ukiwa mjinga huwezi kuuelewa Ukawa
nakuona kifaranga cha mbowe ulivyofura kwa hasira!! amini amini amini nakwambia sio mbuzi na ng'ombe wenye mikia hata mbowe pia ana mikia na ukitaka kuamini njoo jamiiforum utaikuta
 
Back
Top Bottom