Magdalena Sakaya, Prof. Lipumba atakupoteza

Wafuasi wengi wa CDM mnamlaum Sakaya kwanini yupo pamoja na Prof. Lipumba, wakati alipita kwa nguvu ya UKAWA?.

Jibu nikuwa Magdalena Sakaya hakupita kwa nguvu ya ukawa bali alipita kwa nguvu ya CUF maana washiliki wenza wa UKAWA walisimamisha wagombea (hasa CDM). Na kila chama kilivuna kura kulingana na kukubalika kwake.
 
Wafuasi wengi wa CDM mnamlaum Sakaya kwa nini yupo pamoja na Prof Lipumba,wakati alipita kwa nguvu ya ukawa?.

Jibu nikuwa Magdalena Sakaya hakupita kwa nguvu ya ukawa bali alipita kwa nguvu ya CUF maana washiliki wenza wa ukawa walisimamisha wagombea(hasa CDM).Na kila chama kilivuna kura kulingana na kukubalika kwake.

Mod naomba msihamishe Uzi huu katika nyuzi zingine.

Ukawa wa kinafki , yule wa segerea alizawadiwa ,viti maalum
 
ukabila tu unamsumbuwa hana lolote, Lipumba wa Tabora na yeye wa Tabora.

wabunge wote wanaotambuwa nguvu ya Ukawa ndio imewapa ushindi kamwe hawawezi kusimama na mtu kama Lipumba.
Kwa hiyo unataka kutuambia Mbowe, Lowassa, Mbatia, ukaskazini wao ndiyo umewaunganisha siyo utaifa.
 
Wafuasi wengi wa CDM mnamlaum Sakaya kwa nini yupo pamoja na Prof Lipumba,wakati alipita kwa nguvu ya ukawa?.

Jibu nikuwa Magdalena Sakaya hakupita kwa nguvu ya ukawa bali alipita kwa nguvu ya CUF maana washiliki wenza wa ukawa walisimamisha wagombea(hasa CDM).Na kila chama kilivuna kura kulingana na kukubalika kwake.

Mod naomba msihamishe Uzi huu katika nyuzi zingine.

Sawa ni kwa nguvu ya CUF lakini chini ya uenyekiti wa Taslima maana kampeni zote alizifanya ilhali Lipumba kaishapewa chake yupo Rwanda anakula maisha.
 
sio wote wataiunga mkono chadema jiongeze dogo, kwenye siasa lolote hutokea.
 
Wafuasi wengi wa CDM mnamlaum Sakaya kwa nini yupo pamoja na Prof Lipumba,wakati alipita kwa nguvu ya ukawa?.

Jibu nikuwa Magdalena Sakaya hakupita kwa nguvu ya ukawa bali alipita kwa nguvu ya CUF maana washiliki wenza wa ukawa walisimamisha wagombea(hasa CDM).Na kila chama kilivuna kura kulingana na kukubalika kwake.

Mod naomba msihamishe Uzi huu katika nyuzi zingine.
huyu binti ni kichwa sana!! ana msimamo thabiti
 
wale vijana wa chadema wa mitandaoni ni wangapi vile? ndicho wanachonishinda hawa jamaa, hawana ajenda maalum, ukianza kuwafuatilia mara hao wanachepukia hoja ingine
 
Wafuasi wengi wa CDM mnamlaum Sakaya kwanini yupo pamoja na Prof. Lipumba, wakati alipita kwa nguvu ya UKAWA?.

Jibu nikuwa Magdalena Sakaya hakupita kwa nguvu ya ukawa bali alipita kwa nguvu ya CUF maana washiliki wenza wa UKAWA walisimamisha wagombea (hasa CDM). Na kila chama kilivuna kura kulingana na kukubalika kwake.
Pia Sakaya ana misimamo thabiti ya kiitikadi, si mtu wa ndimi mbili, alishaamini kuwa Lowasa hana maadili.
 
Mbona mnashambulia huyu mwanamke muacheni yeye ni mwanasiasa ana ufahamu wake nyie mbona mnashindwa kumuuliza Mbowe, Lowassa kampa nini?

Kwani Mbowe na Lowasa wanagombana kama vongozi wa CUF?
 
Wafuasi wengi wa CDM mnamlaum Sakaya kwanini yupo pamoja na Prof. Lipumba, wakati alipita kwa nguvu ya UKAWA?.

Jibu nikuwa Magdalena Sakaya hakupita kwa nguvu ya ukawa bali alipita kwa nguvu ya CUF maana washiliki wenza wa UKAWA walisimamisha wagombea (hasa CDM). Na kila chama kilivuna kura kulingana na kukubalika kwake.
watu walikwisha nusa harufu kuwa huyu ni msaliti.
 
watu waliwauliza mbowe kapewa nini na lowasa mkaishia kuwatukana lipumba na slaa rais wa mioyo yenu, na huko chadema swali hilo hamlitaki
lowasa hakumpa chochote mbowe bali lowasa aliwaeleza chadema kwa undani hali halisi jinsi kikwete alivyopiga Dili kisha akamchonekea na pia lowasa alikuwa na Network kubwa chama chochote wangemchukua hilo halina ubishi. Cha ajabu eti hadi leo umekariri propaganda za membe na January wakati wenzako walitengeneza pesa kueneza uzushi huo, wewe umekariri bure hadi leo.
 
Back
Top Bottom