Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,256
- 3,892
Kabla ya kumuuliza Sakaya kapewa nini unatakiwa ujiulize hivi imekuwaje Mbowe ameahirisha ukuta,
Hii issue ina maana gani
Hii issue ina maana gani
Sayaka kashinda kwa nguvu ya cuf na sio ukawa kwa kuwa imshinda mgombea wa ccm na chadema jimboni kwake. Cha ajabu chadema walimuwemea mgombea kama walivyofanya kwa mtatiro segerea licha ya makubaliano ya kuachiwa jimbo ya UKawa.yaani sakaya anaamini kashinda ubunge Kwa nguvu za lipumba na sio ukawa , acha cuf wajitoe ukawa kama atashinda tena
Muasisi wa Ukawa ni Lipumba.. Kwahiyo amechangia ushindi.. Lowasa ameukuta Ukawa... Chadema na CUF kama wanataka waunde Umoja wao.. Maana Ukawa, Lipumba unamuhusu.. Alizikosa posho za bunge la katiba.. Lowasa alibaki bungeniUkawa ndio imewapa ushindi kamwe hawawezi kusimama na mtu kama Lipumba.
we hujielewi kamuulize Sefu aliyemsimamisha uanachama huku akijua kuwa ni machachaliHuyu mwanamama mwanasiasa machachali sikutegemea kama angepumbazwa na lipumba. Najiuliza kampa nini... ni miongoni mwa viongozi na wabunge wa cuf niliyokuwa nawaamini sana. Baada ya lipumba kujiuziri kashikamana na chama na hatimaye kuukwaa ubunge kwa tiketi ya cuf na backup kubwa ya ukawa.
Ni miongoni mwa akina mama niliyowaona shupavu na wenye kutetea hoja.
sasa simuelewi...mbona hakumuunga mkono wakati anajiuzuru ili tukamuelewa..
sakaya mama sikuelewi hata kidigo.
Ukiwauliza hilo wanakuwa mbogo kama nini. Ila ukweli ni kwamba CDM inachochea mgogoro wa CUF, na siku ikijatokea CDM kimebuma utaona wanavyotafuta mchawi wa mgogoro. Ohh mapandikizi, oohh CUF ni CCM-B, kila neno litatumika ili kuchagiza maamuzi ya wahafidhina.Mbona mnashambulia huyu mwanamke muacheni yeye ni mwanasiasa ana ufahamu wake nyie mbona mnashindwa kumuuliza Mbowe, Lowassa kampa nini?
Wanapeleka vitu vya ofisi vipi wakati barua ya usajiri na document zote muhimu anazo lipumbaSakaya na yeye aende akalale pia mana tayari cuf washapata mjengo mwengine temeke kesho wanapeleka vitu vya office Professor Lipumba anaachiwa alale buguruni chezea cuf
Kama ni kweli basi wewe umemaliza kila kitu.Sayaka kashinda kwa nguvu ya cuf na sio ukawa kwa kuwa imshinda mgombea wa ccm na chadema jimboni kwake. Cha ajabu chadema walimuwemea mgombea kama walivyofanya kwa mtatiro segerea licha ya makubaliano ya kuachiwa jimbo ya UKawa.