Mkuu unahitaji mtu afanye utafiti upi,wakati kila kitu kinafahamika.Sakaya anaendeshwa na itikadi ya Cuf na sio ushirikiano wa vyama vyenye mlengo wa "ubepali uchwara" .
Suali tunalojiuliza wananchi kwa nini chadema mlisimamisha mgombea kaliua?.Au mlihitaji aanguke kama alivyoanguka Mtatiro Segerea?.
Hamkufanikisha lengo lenu la kuhakikisha cuf wanaojitambua hawaukwai ubunge ndio maana mlimyima uongozi au cheo yule mgombea wenu wa kaliua?.Na mkaamua kumzawadia yule mmama aliemuangusha mtatiro ili jimbo liende ccm?.