Prof. Lipumba: Maalim Seif hajahama Chama, amefukuzwa

mamayoyo1

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2018
Posts
1,011
Reaction score
1,019

Mwenyekiti wa CUF Taifa, Prof. Ibrahi Lipumba amewataka Wanachama wa chama hicho wanaotaka kukihama chama na kuhamia ACT Wazalendo kuungana na katibu mkuu wa Zamani Maalim Seif Shariff Hamadi, kuchanganya akili zao na kutokurupuka kwani wanaweza kujulikuta wamekuwa bendera fuata upepo pasipo kujua upepo una uelekeo gani.

Akizungumza leo na Waandishi wa Habari Dar es Salaam, Prof. Lipumba amesema kuwa kwanza kabla ya Maalim Seif kukihama chama hicho tayari alikuwa amefukuzwa.

"Mimi na sisi kama Chama cha Wananchi CUF tunachokijua Maalim Seif alifukuzwa kuwa mwanachama wa chama chetu kwenye mkutano mkuu uliopita, baada ya kubaini hana nia njema ya chama na anataka kukidhoofisha sio kwamba amehama chama bali amefukuzwa," amesema Prof. Lipumba.

Utakumbuka hapo jana Marchi 18, 2018 aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif alitangaza kujiunga na Chama cha ACT Wazalendo. Hiyo ni baada ya Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba kutimua kiongozi hiyo.
 
Inawauma sana, nadhani CCM hawakuitarajia hii move.

Wamemdhamini Lipumba kumtoa kwenye system jamaa naye kawapiga chenga.

Tutasikia matamko mengi sana ya Lipumba.

Lipumba kabaki na ofisi yake ya Buguruni, namsikitikia sana yasije yakamkuta ya Mrema sioni ushawishi wa CUF tena. Katika miaka yote aliyokuwa mwenyekiti alishindwa kuifanya Tabora iwe ngome ya CUF
 
Mwenyekiti wa CUF Taifa, Prof. Ibrahi Lipumba amewataka Wanachama wa chama hicho wanaotaka kukihama chama na kuhamia ACT Wazalendo kuungana na katibu mkuu wa Zamani Maalim Seif Shariff Hamadi, kuchanganya akili zao na kutokurupuka kwani wanaweza kujulikuta wamekuwa bendera fuata upepo pasipo kujua upepo una uelekeo gani.

Akizungumza leo na Waandishi wa Habari Dar es Salaam, Prof. Lipumba amesema kuwa kwanza kabla ya Maalim Seif kukihama chama hicho tayari alikuwa amefukuzwa.

"Mimi na sisi kama Chama cha Wananchi CUF tunachokijua Maalim Seif alifukuzwa kuwa mwanachama wa chama chetu kwenye mkutano mkuu uliopita, baada ya kubaini hana nia njema ya chama na anataka kukidhoofisha sio kwamba amehama chama bali amefukuzwa," amesema Prof. Lipumba.

Utakumbuka hapo jana Marchi 18, 2018 aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif alitangaza kujiunga na Chama cha ACT Wazalendo. Hiyo ni baada ya Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba kutimua kiongozi hiyo.
Hiyo safu ya maslahi ya tumbo aka ruzuku! sasa iwapo wabunge wa CUF-Maalima wakijiengua ruzuku haitawatosha. Jamani bado mnawahitaji kwa maslahi ya ruzuku
 
Mwenyekiti wa CUF Taifa, Prof. Ibrahi Lipumba amewataka Wanachama wa chama hicho wanaotaka kukihama chama na kuhamia ACT Wazalendo kuungana na katibu mkuu wa Zamani Maalim Seif Shariff Hamadi, kuchanganya akili zao na kutokurupuka kwani wanaweza kujulikuta wamekuwa bendera fuata upepo pasipo kujua upepo una uelekeo gani.

Akizungumza leo na Waandishi wa Habari Dar es Salaam, Prof. Lipumba amesema kuwa kwanza kabla ya Maalim Seif kukihama chama hicho tayari alikuwa amefukuzwa.

"Mimi na sisi kama Chama cha Wananchi CUF tunachokijua Maalim Seif alifukuzwa kuwa mwanachama wa chama chetu kwenye mkutano mkuu uliopita, baada ya kubaini hana nia njema ya chama na anataka kukidhoofisha sio kwamba amehama chama bali amefukuzwa," amesema Prof. Lipumba.

Utakumbuka hapo jana Marchi 18, 2018 aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif alitangaza kujiunga na Chama cha ACT Wazalendo. Hiyo ni baada ya Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba kutimua kiongozi hiyo.

Jamani huyo Bwana sasa ana wanachama kweli au kabaki na jina la chama.tusubiri yajao yatasikitisha sana kwa Profesa.
 
Mkuu hii move ya Maalim inawauma sana CCM..
Walivyoamua kuwekeza kwa Jinga Lipumba hawakutegemea kabisa Maalim itatokea siku atamove on..
Walijua atang'ang'ana palepale ili faida ya mgogoro iwanufaishe hasa kwa upande wa Zbar..
Lumumba ndio basi tena.
Akili zero hawa watu!
 
Sawa amefukuzwa. So what? Ina fanya tofauti yoyote?
 
Back
Top Bottom