Magdalena Sakaya, Prof. Lipumba atakupoteza

Magdalena Sakaya, Prof. Lipumba atakupoteza

Ajabu! Wiki chache za Taslima, kama mwenyekiti wa kamati (ya watu 3), ya uongozi ndo zilizompata Sakaya ushindi?

Pia ni kuulize, Lipumba aliinfluence vipi ushindi wa Sakaya akiwa yupo Rwanda?

Kwa kukujulisha tu Kapuya kwenye kura za maoni alishika nafasi ya tatu akajachomokea mkutano mkuu wa ccm hivyo hadi wanaccm wa Kaliua walikuwa hawamtaki Kapuya
 
Naona tunaenda kupata cuf asili na cuf wasaliti hili ni jambo jema kwa afya ya chama
 
Ajabu! Wiki chache za Taslima, kama mwenyekiti wa kamati (ya watu 3), ya uongozi ndo zilizompata Sakaya ushindi?

Kuna wapumbuvu wanadhani mafanikio ya kafu au CDM yalikuja ndani ya miezi miwili ya kuelekea octoba 2015
 
Sayaka kashinda kwa nguvu ya cuf na sio ukawa kwa kuwa imshinda mgombea wa ccm na chadema jimboni kwake. Cha ajabu chadema walimuwemea mgombea kama walivyofanya kwa mtatiro segerea licha ya makubaliano ya kuachiwa jimbo ya UKawa.
Kweli hayo mkuu?
 
Chadema waliwafanyia hujuma sana CUF kipindi cha uchaguzi...hata yule dada aliemnyima ubunge Mtatiro Segerea amezawadiwa ubunge wa viti maalum.
 
Chadema waliwafanyia hujuma sana CUF kipindi cha uchaguzi...hata yule dada aliemnyima ubunge Mtatiro Segerea amezawadiwa ubunge wa viti maalum.
Mkuu laki si pesa upo?

Na ukiangalia Sakaya na Nachumu walishinda kwa kupambana na CDM, ACT na CCM.

Ndio maana hawa wapo na Lipumba. Pamoja na kuwa Lipumba ana mapungufu lakini kwenye hili anahoja, awe anatumiwa au hatumiwi.
 
Hata chadema wakivurugana mtasema ccm. Ndio maana mtabaki wapinzani milele maana bado hamjui mnataka nn.
 
Mkuu laki si pesa upo?

Na ukiangalia Sakaya na Nachumu walishinda kwa kupambana na CDM, ACT na CCM.

Ndio maana hawa wapo na Lipumba. Pamoja na kuwa Lipumba ana mapungufu lakini kwenye hili anahoja, awe anatumiwa au hatumiwi.
Nipo mkuu Lipumba mimi namuelewa sana ana hoja za msingi sana CUF kwenye huu UKAWA wanaburuzwa sana na CHADEMA !
 
Back
Top Bottom