Nyanya mbichi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 3,716
- 2,218
Hivi haya magazeti huwa yana wateja kweli?
Hivi haya magazeti huwa yana wateja kweli?
Mkuu hanunui mtu ila kodi zetu ndio zinaendesha haya magazeti
Hivi haya magazeti huwa yana wateja kweli?
Hivi haya magazeti huwa yana wateja kweli?
Halijavinja katiba ya nchi lakini.![]()
Hivi huyu aliyeandika hapa anajielewa kweli!... au anadhani Tanzania hii yuko peke yake?....ama anafikiri sisi hatujui kinachoendelea?
.......eti J😛M kichocheo cha kukua kwa uchumi![]()
![]()
hili gazeti hata nikute wamenifungia maandazi sikubali bora niyaweke kwenye mfuko wa suruali.
Utasubiri sana,labda likafungiwe Magogonihili ndilo gazeti la kufungiwa kwa kuandika uongo mtupu
Nimekuja mbio kumbe gazeti lenyewe Mzalendo, ulitaka liandike nini?Hahaha....Mkapa alipowaita hawa jamaa Makanjanja unafikir alikosea...ni mikanjanja kweli
Kweli kabisa mkuu![]()
![]()
![]()
unaweza pata hasira ukamchoma mtu na kitu chenye ncha kali
Hizi ndio akili za wasomi kutoka znz?Sasa tatzo liko wapi hapo?! Na ww tafuta chapa yako uandike lako.au Kama una dukuduku tafuta address ya mhariri uandikie.
Ndiyo maana jecha alifanya alivyojisikia kufanyaHizi ndio akili za wasomi kutoka znz?

Mwandishi atakuwa analinda kucha zake![]()
Hivi huyu aliyeandika hapa anajielewa kweli!... au anadhani Tanzania hii yuko peke yake?....ama anafikiri sisi hatujui kinachoendelea?
.......eti J😛M kichocheo cha kukua kwa uchumi![]()
![]()
hili gazeti hata nikute wamenifungia maandazi sikubali bora niyaweke kwenye mfuko wa suruali.
Eti anakuambia elimu bure imevuka malengo kwa asilimia 100%Mwandishi atakuwa analinda kucha zake

Hizo ndiyo dalili za Uchumi kupanda.Hatuna ajira mpya, no salary increment, no ..........
Bombadia iliyokamatwa inakuja wiki lijalo na ile dreamliner inakuja mwezi wa kumi na mbili!Tanzania Daima limeandika nini?
Bombadia iliyokamatwa inakuja wiki lijalo na ile dreamliner inakuja mwezi wa kumi na mbili!
Huko nyuma watu walioshindwa kununua toilet tissue waliyanunua sana kwa matumizi ya chooni. Siku hizi sijui hali ilivyo.Hivi haya magazeti huwa yana wateja kweli?
Mimi nikipewa naenda kuchambia![]()
Hivi huyu aliyeandika hapa anajielewa kweli!... au anadhani Tanzania hii yuko peke yake?....ama anafikiri sisi hatujui kinachoendelea?
.......eti J😛:M kichocheo cha kukua kwa uchumi![]()
![]()
hili gazeti hata nikute wamenifungia maandazi sikubali bora niyaweke kwenye mfuko wa suruali.