Magazeti mengine yanatia kichefuchefu

Magazeti mengine yanatia kichefuchefu

Nilikwenda kijiji fulani mwaka 2014.Baada ya kusalimiana na wenyeji wangu ghafla tumbo la kuhara likanishika nami huyoo nikaingia chooni.Pembeni kulikuwa na gazeti lenye jina hilo limechanwachanwa wee! Sikulitumia nilichukua hankachif yangu kujisafi nikatoka.Mgazeti wa ovyo sana huo haufai hata ku......
 
Mmiliki wa wamagazeti ya Uhuru na Mzalendo ni CCM. Ulitegemea kupata habari tofauti na hii mkuu?
 
85bccad43a7f6fc61f53cc3e71d5529f.jpg

Hivi huyu aliyeandika hapa anajielewa kweli!... au anadhani Tanzania hii yuko peke yake?....ama anafikiri sisi hatujui kinachoendelea?
.......eti J😛:M kichocheo cha kukua kwa uchumi hili gazeti hata nikute wamenifungia maandazi sikubali bora niyaweke kwenye mfuko wa suruali.
Mkuu achana na watu walioshikiwa akili
 
85bccad43a7f6fc61f53cc3e71d5529f.jpg

Hivi huyu aliyeandika hapa anajielewa kweli!... au anadhani Tanzania hii yuko peke yake?....ama anafikiri sisi hatujui kinachoendelea?
.......eti J😛:M kichocheo cha kukua kwa uchumi hili gazeti hata nikute wamenifungia maandazi sikubali bora niyaweke kwenye mfuko wa suruali.
Ukisikia akili imewekwa kwenye chupa halafu chupa ikahifadhiwa kabatini, ndio namna hii.
 
Huo ni uchochezi - lifunguwe kusema habari za urongo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom